Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

Yani chadema sasa hivi kumejaa ujinga uliopitiliza. Eti huyo ni msemaji wa chama hapa jukwaani!
Kukosa exposure nako ni janga la taifa. Huko marekani waliko na JFK International Airport nako utaenda kuwaabia wabadilishe jina? Huko France waliko na Charles De Gaulle International Airport nako utaenda kuwaambia wafute jina? Au uanzie hapa jirani kwa Jomo Kenyatta International Airport!
Chadema iwe inawapeleka japo kwenye ziara fupi fupi nje ya nchi mkapate exposure.
 
Kumbuka hao unaowasema ni waporaji maarufu waliopora viwanja vya mpira vyote Tanzania, hivyo wameendelea kwa kupachika majina yao angalau waone nayo wamepora.
 
Nchi inafika mahala pengi ina majina ya wanasiasa na watu wa CCM.

Tuendelee kujizatiti kupitia kura zetu kuondoa haya mazonge.
 
Uko sahihi... Mtoa post amedhihirisha Ujinga wake....
Post yake imekosa akili kabisa
Badala ya kuweka usahihi wa hoja unavyotakiwa, badala yqke unamshambulia mtoa hoja

Haya ndiyo matokeo ya wananchi wengi kufanywa ndondocha na serikali ya CCM.

Hoja ya Erythrocyte inaenda kutibua nyongo za waliomeza bungo la Taifa.

Mtatapika this tyme
 
Usifananishe viongozi wenu na wale , mkileta ujinga tutafumua uchafu wao zaidi uone kama wanafaa hata kutajwa popote
 
Kumbuka hao unaowasema ni waporaji maarufu waliopora viwanja vya mpira vyote Tanzania, hivyo wameendelea kwa kupachika majina yao angalau waone nayo wamepora.
Msingi wa hoja yangu ndio huo haswa yaani
 
Ni kweli kabisa tutakuwa na nchi ambayo kila mtaa ni majina ya wanasiasa.
Mfano mzuri.
Kuna mkoa ambao hauna barabara au mtaa wa SAMIA? Hebu tujiulize bila kuegemea upande wowote wa kisiasa.
 
huwa ninajiuliza ingeitwa Mbezi Regional Bus Stand, Ubungo Interchange, Tazara flyover, Dar es Salaam National stadium, Rufiji Basin HydroPower Plant.....nini kingepunguka?

Shule za sekondary nazo zipo nyingi zina majina yao.....nimeshangaa Tanga kuna January Makamba Secondary school.

viongozi wa Tanzania wanapenda kuabudiwa sana
 
Majina ya miradi inaweza kuwa ya watu lakini sio lazima wawe viongozi WA juu Bali mwanamchi yoyote mwenye mchango uliotukuka kwenye fani au mradi husika au hata shujaa aliyefanya kitu cha kishujaa mf. Uwanja WA mwanza inaweza kuitwa Majaliwa international airport ie majaliwa yule aliyekoa watu kwenye ajali ya ndege.
 
"We are all equal before the law,but there are others who are more equal than others"
Mkuu umewahi kutoka nje ya nchi ukaona aya mambo ya kuweka majina kwenye miundombinu ya umma hayapo?
Ukiona jina la mtu kwenye miundombinu ya umma, fuatilia historia ya mchango wake kwa taifa lake,ayawekwi tu na ndiyo maana jina la Mzee wako halijawekwa kwasababu mchango wake kwa taifa ni mdogo au hana kabisa.
Najua unazunguka ila hutaki kuona Stendi ya Mbezi ikiitwa Magufuli na Daraja la Ubungo likiitwa Kijazi na lile la Buguruni likiitwa Mfugale.(Hao ni mabingwa wa Ujenzi wa miundombinu nchi hii).
Hutaki,hamia Burundi
 
Ok sawa, haya taja mtu mmoja mwenye kujielewa ambaye alimkubali huyo shujaa wenu.
Na wale walikuwa wamefurika uwanjani siku ya msiba wake ni mbu siyo watu?.Kwani wewe usipomkubali JPM basi ni lazima na watu wote wasimkubali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…