Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana tuko pamoja kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote.Uki kumbuka ilo wazo lako inabidi hao hao wabunge ndo wapitishe mwili wote una isha nguvu
Hicho kipengele ndio hakiwahusu. Wanakuona kama una matatizo ya akiliWabunge oneni Aibu na muwe na huruma Kwa wananchi.
Mroho hasusiwi chakula mkuu. Ukimsusia anafurahia. Pambana nae kwenye sinia hadi ajue kama nawewe umoMkiendelea na uroho huo, tutasusia mikutano yenu na hatutowapigia kura!!
So sad,Viongozi wangzkuwa wanatumia public transport , huenda miundo mbinu ingeboreshwa na wengeweza elewa shida zenu.
Kwa Africa, uongozi ni ulaji na utajiri, ni kawaida kukuta Rais mstaafu au waziri mstaafu ana Trilion kwenye Ac yake
Kwa Developed countries , Uongozi ni Accountability Ni kawaida kukuta kiongozi mkuu akiwa na normal life.
Niliwahi kusema being in Africa is a curse
Haiwezekan nchi kama Tanzania ni masikini kweli kweli but viongoz wao ni Trilionea
Wananchi hawajaamua kupigania haki zao. Bado wanawatuma na kuwategemea hao wanaowalaumu kila sikuSo sad,
Yaani sisi wananchi tunatuma wabunge watuwakilishe Ili kujitajirisha, sie tukizidi kudidimia katika lindi la Umaskini!!
Watamalizana time hii,kugombea ubunge.Kwa sasa kitita cha fedha kwa mbunge :
Mshahara wa mbunge ni zaidi ya bilioni moja akitumika miaka 5 (miezi 12 x 5 ) ktk kikokotoo:
Mchanganuo wa mshahara wa miaka mitano wa mbunge ni Bilioni 1 na milioni themanini :
Shilingi 18,000,000 x miezi 12 = 216,000,000
Shilingi 216,000,000 × miaka 5 =1,080,000,000
- Bado hapo pia anapokea allowance za vikao vya bajeti
- Ziara za mafunzo Dubai, India n.k
- Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge PAC, LAAC, Mambo ya Nje na ulinzi usalama n.k
- Marupurupu ya mkopo wa gari n.k
- Bima ya Afya kwa mbunge hospitali VIP Class n.k
- Pensheni ya mkupuo akimaliza ubunge miaka
So sad,
Yaani sisi wananchi tunatuma wabunge watuwakilishe Ili kujitajirisha, sie tukizidi kudidimia katika lindi la Umaskini!!
Mali ya URITHI haiwezi kuuza na mtoto wa kambo kukatulia,Kwani haya maharamia yaliyopo Bungrni safari hii yalitumwa na mwananchi yeyote? Haya yalipewa tu ubunge na ofisi ya Rais, na ofisi hiyo ya Rais safari hii imeamua kuyajazia pesa huku wananchi maskini wakibanwa na kodi na tozo kila sehemu ili wao watawala waogolee kwenye utajiri wa pesa.
Ofisi ya Rais imeamua kuwapumbaza ili wasihoji yeye anapotapanywa pesa na kugawa rasilimali za nchi kama mtu anavyowagawia marafiki zake mali zake binafsi.
Hao wabunge kumfanikishia Rais, familia yake na marafiki wa familia kwenye deal la DPW, si jambo dogo, ndiyo maana ameamua kuwashukuru kwa ujinga wao.
Salaam, Shalom!!
Niliwahi kuandika thread isemayo, Wabunge wafanyabiashara matajiri wanasimamia Maslahi ya nani bungeni?
Haijaisha miezi SITA tangu kuandikwa thread hiyo, tayari Kuna tetesi kuwa Wabunge wamejiongezea posho na marupurupu Yao Kutoka ml 13 Hadi ml 15 Kwa mwezi.
Mbunge anayeona posho na marupurupu ya ml 13 kuwa haitoshi, huyo hawezi kamwe kutosheka. Na watu Hawa, lazima ni matajiri wakubwa walioacha biashara zao na kwenda bungeni wakidhani bungeni Pana maslah binafsi ya kiuchumi.
KAZI ya ubunge ni KAZI ya season, Si ajira ya kudumu, lazima uwe na KAZI Yako ,bungeni unaenda kutetea Maslahi ya wananchi, wabunge wanaodhani kuwa ubunge ni ajira ndio wanatuletea shida.
Pale Uingereza, mbunge anapanda treni ya umma kwenda bungeni, gari yake binafsi anatumia akiwa jimboni kwake na umma hawajibiki kumlipia mambo lukuki kama huku.
Mshahara na marupurupu usizidi ml 5 Kwa mwezi, na mbunge lazima awe na KAZI yake, bungeni pasifanywe ajira.
Wabunge wapande mabasi kama raia wengine waendapo Dodoma, Kodi zetu zisitumike kulipa mshahara wa dereva, mbunge akitaka gari, akopeshwe na alipe Yeye mwenyewe na ajigharamie gharama za mafuta.
Tunachagua wabunge Ili wasaidie wananchi tupate bima walau za watoto chini ya miaka mitano iliyofutwa Ili kujazia pesa za kulipa wabunge ml 18 Kwa mwezi na kulipa wake wa wastaafu.
Wabunge oneni Aibu na muwe na huruma Kwa wananchi.
FAIDA ZA KULIPA MISHAHARA YA WABUNGE CHINI YA ML 5 KWA MWEZI.
1. Itasaidia wabunge wazalendo kuingia bungeni.
2. Itapunguza wizi wa kura.
3. Itasaidia kujipunguzia Serikali Mzigo kuhudumia wabunge, Badala yake, pesa hizo zitasaidia kulipa posho walimu mashuleni Ili wafundishe Kwa Ari na morali zaidi.
Hivi wabunge jiulizeni, bodaboda, matching guys ,wakulima, wavuvi ambao Kwa mwezi hawapati hata laki 5 Kwa mwezi, wamepata wapi uwezo kuwalipeni wabunge 399 , milioni 18 Kwa mwezi?
Mkiendelea na uroho huo, tutasusia mikutano yenu na hatutowapigia kura!!
KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa, wabunge wamedhihirisha wazi kuwa hawaangalii maslah ya Wananchi maskini, wanajiangalia wao na familia zao.
Pia wabunge wazuiwe kujiongezea mshahara bila kupata ridhaa ya walipakodi.
Karibuni 🙏
Kinachonjshangaza,Hawakusikii kwa hili wamezipa masikio, wabunge wa bunge la tanzania ni wabinafsi sana
UMEONGEA KWA SAUTI NGOJA WAKUSIKIE WATU WASIOJULIKANASalaam, Shalom!!

Hoja yako hujaisuka sawa sawa! Ungewianisha na kiwango fulani ingekuwa vizuri zaidi.Salaam, Shalom!!

Mimi na wewe ndo boss wao hao wasiojulikana.UMEONGEA KWA SAUTI NGOJA WAKUSIKIE WATU WASIOJULIKANA
Na anaweza kumaliza bunge bila kuchangia chochote na hakuna Sheria inayomkaba.ukitaka kujua watu weusi ni nyani mfano mzuri ni tz. eti bunge lina wabunge 396. hiki ni kituko cha kutosha kuonyesha uchache wa akili wa watu fulani hapa duniani.
Hilo ndio la kwanza nitalifanya nikiingia!!Salaam, Shalom!!
Niliwahi kuandika thread isemayo, Wabunge wafanyabiashara matajiri wanasimamia Maslahi ya nani bungeni?
Haijaisha miezi SITA tangu kuandikwa thread hiyo, tayari Kuna tetesi kuwa Wabunge wamejiongezea posho na marupurupu Yao Kutoka ml 13 Hadi ml 15 Kwa mwezi.
Mbunge anayeona posho na marupurupu ya ml 13 kuwa haitoshi, huyo hawezi kamwe kutosheka. Na watu Hawa, lazima ni matajiri wakubwa walioacha biashara zao na kwenda bungeni wakidhani bungeni Pana maslah binafsi ya kiuchumi.
KAZI ya ubunge ni KAZI ya season, Si ajira ya kudumu, lazima uwe na KAZI Yako ,bungeni unaenda kutetea Maslahi ya wananchi, wabunge wanaodhani kuwa ubunge ni ajira ndio wanatuletea shida.
Pale Uingereza, mbunge anapanda treni ya umma kwenda bungeni, gari yake binafsi anatumia akiwa jimboni kwake na umma hawajibiki kumlipia mambo lukuki kama huku.
Mshahara na marupurupu usizidi ml 5 Kwa mwezi, na mbunge lazima awe na KAZI yake, bungeni pasifanywe ajira.
Wabunge wapande mabasi kama raia wengine waendapo Dodoma, Kodi zetu zisitumike kulipa mshahara wa dereva, mbunge akitaka gari, akopeshwe na alipe Yeye mwenyewe na ajigharamie gharama za mafuta.
Tunachagua wabunge Ili wasaidie wananchi tupate bima walau za watoto chini ya miaka mitano iliyofutwa Ili kujazia pesa za kulipa wabunge ml 18 Kwa mwezi na kulipa wake wa wastaafu.
Wabunge oneni Aibu na muwe na huruma Kwa wananchi.
FAIDA ZA KULIPA MISHAHARA YA WABUNGE CHINI YA ML 5 KWA MWEZI.
1. Itasaidia wabunge wazalendo kuingia bungeni.
2. Itapunguza wizi wa kura.
3. Itasaidia kujipunguzia Serikali Mzigo kuhudumia wabunge, Badala yake, pesa hizo zitasaidia kulipa posho walimu mashuleni Ili wafundishe Kwa Ari na morali zaidi.
Hivi wabunge jiulizeni, bodaboda, matching guys ,wakulima, wavuvi ambao Kwa mwezi hawapati hata laki 5 Kwa mwezi, wamepata wapi uwezo kuwalipeni wabunge 399 , milioni 18 Kwa mwezi?
Mkiendelea na uroho huo, tutasusia mikutano yenu na hatutowapigia kura!!
KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa, wabunge wamedhihirisha wazi kuwa hawaangalii maslah ya Wananchi maskini, wanajiangalia wao na familia zao.
Pia wabunge wazuiwe kujiongezea mshahara bila kupata ridhaa ya walipakodi.
Karibuni 🙏
Ningekuwa Mh Polepole,Hilo ndio la kwanza nitalifanya nikiingia!!
Kwenye Uzi wangu wa "fedha nyingi zisiwekezwe kwenye siasa Bali kwenye utaalam na ueledi"!
Magari ya V8,bill za umeme na maji ,kiinua mgongo Cha 250 millions kitakuwa historia TU!!!
Ujinga was kuwekeza fedha nyingi kwenye siasa unazalisha chawa na wajinga wengi nchini!!
Kiwango kilichozidi 5 ml.Hoja yako hujaisuka sawa sawa! Ungewianisha na kiwango fulani ingekuwa vizuri zaidi.
Kwa mfano, kwa kuwa Waheshimiwa ni wawakilishi na watetezi wa wananchi wanyonge na wapiga kura wao ingekuwa hivi; mshahara wao usizidi mara X ya kima cha chini kilichotangazwa na Serikali.
My point is; wao ndio wanaopitisha viwango vya mishahara including viwango vya chini. Kwa kuwa wao ni wawakilishi wa wanyonge, their salaries benchmark should be multiple of the minimum salaries/wages!Kiwango kilichozidi 5 ml.
Sasa wao waiweke vizuri, maana kuna mdau amependekeza walipe lak 9 tu kama walimu.