Kwa sasa kitita cha fedha kwa mbunge :
Mshahara wa mbunge ni zaidi ya bilioni moja akitumika miaka 5 (miezi 12 x 5 ) ktk kikokotoo:
Mchanganuo wa mshahara wa miaka mitano wa mbunge ni
Bilioni 1 na milioni themanini :
Shilingi 18,000,000 x miezi 12 = 216,000,000
Shilingi 216,000,000 × miaka 5 =1,080,000,000
- Bado hapo pia anapokea allowance za vikao vya bajeti
- Ziara za mafunzo Dubai, India n.k
- Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge PAC, LAAC, Mambo ya Nje na ulinzi usalama n.k
- Marupurupu ya mkopo wa gari n.k
- Bima ya Afya kwa mbunge hospitali VIP Class n.k
- Pensheni ya mkupuo akimaliza ubunge miaka