Pendekezo: Posho na mshahara wa mbunge, usizidi milioni 5 Kwa mwezi

So sad,

Yaani sisi wananchi tunatuma wabunge watuwakilishe Ili kujitajirisha, sie tukizidi kudidimia katika lindi la Umaskini!!
 
Watamalizana time hii,kugombea ubunge.
 
So sad,

Yaani sisi wananchi tunatuma wabunge watuwakilishe Ili kujitajirisha, sie tukizidi kudidimia katika lindi la Umaskini!!

Kwani haya maharamia yaliyopo Bungrni safari hii yalitumwa na mwananchi yeyote? Haya yalipewa tu ubunge na ofisi ya Rais, na ofisi hiyo ya Rais safari hii imeamua kuyajazia pesa huku wananchi maskini wakibanwa na kodi na tozo kila sehemu ili wao watawala waogolee kwenye utajiri wa pesa.

Ofisi ya Rais imeamua kuwapumbaza ili wasihoji yeye anapotapanywa pesa na kugawa rasilimali za nchi kama mtu anavyowagawia marafiki zake mali zake binafsi.

Hao wabunge kumfanikishia Rais, familia yake na marafiki wa familia kwenye deal la DPW, si jambo dogo, ndiyo maana ameamua kuwashukuru kwa ujinga wao.
 
Mali ya URITHI haiwezi kuuza na mtoto wa kambo kukatulia,

Waliouziwa wametapeliwa,

Tusubiri.
 
Hawakusikii kwa hili wamezipa masikio, wabunge wa bunge la tanzania ni wabinafsi sana
 
UMEONGEA KWA SAUTI NGOJA WAKUSIKIE WATU WASIOJULIKANA
 
Hoja yako hujaisuka sawa sawa! Ungewianisha na kiwango fulani ingekuwa vizuri zaidi.

Kwa mfano, kwa kuwa Waheshimiwa ni wawakilishi na watetezi wa wananchi wanyonge na wapiga kura wao ingekuwa hivi; mshahara wao usizidi mara X ya kima cha chini kilichotangazwa na Serikali.
 
ukitaka kujua watu weusi ni nyani mfano mzuri ni tz. eti bunge lina wabunge 396. hiki ni kituko cha kutosha kuonyesha uchache wa akili wa watu fulani hapa duniani.
Na anaweza kumaliza bunge bila kuchangia chochote na hakuna Sheria inayomkaba.

Mbunge wa Jimbo LANGU aliwahi kutia fora, miaka 5 ya kwanza, hakuwahi kuchangia chochote bungeni,

Tulipomuuliza, akadai Eti alikuwa akiusoma upepo!!
 
Hilo ndio la kwanza nitalifanya nikiingia!!

Kwenye Uzi wangu wa "fedha nyingi zisiwekezwe kwenye siasa Bali kwenye utaalam na ueledi"!

Magari ya V8,bill za umeme na maji ,kiinua mgongo Cha 250 millions kitakuwa historia TU!!!

Ujinga was kuwekeza fedha nyingi kwenye siasa unazalisha chawa na wajinga wengi nchini!!
 
Ningekuwa Mh Polepole,

Ningesema unalijua v8 wewe?

Wabunge kiukweli wangepanda public transport kwenda bungeni Dodoma,

Wale ni wawakilishi wa wananchi.
 
Kiwango kilichozidi 5 ml.

Sasa wao waiweke vizuri, maana kuna mdau amependekeza walipe lak 9 tu kama walimu.
 
Kiwango kilichozidi 5 ml.

Sasa wao waiweke vizuri, maana kuna mdau amependekeza walipe lak 9 tu kama walimu.
My point is; wao ndio wanaopitisha viwango vya mishahara including viwango vya chini. Kwa kuwa wao ni wawakilishi wa wanyonge, their salaries benchmark should be multiple of the minimum salaries/wages!

Wapimwe kwa hiyo factor ya mvuja jasho wa chini. Understand?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…