PostGE2025 Pendekezo Rahisi: Maneno 3 akiyasema Samia kesho yatazuia Maandamano yasiyo na Ukomo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,256
Reaction score
44,597
Na. M. M. Mwanakijiji

Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza mandarin wa vijana na labda kwa kiasi kupunguza ukali wa adhabu dhidi yake na watendaji waliohusika na mauaji yale ya mamia ya Watanzania.

1. Akubali kubeba lawama kwa yote yaliyotokea kabla, wakati, na mara baada ya uchaguzi mkuu uliovurugika. Asitafute wa kuwabebesha lawama wengine. The bucks stops with the President. Ajiwabishe mwenyewe kwa kukiri kukosea.

2. Atangaze mara moja kuagiza kukamatwa na kuwekwa nguvuni kwa maafisa wote wa Jeshi la Polisi walioratibu, kusimamia, kuficha, na kuharibu ushahidi wa mauaji ya raia. Pamoja na hili atangaze kuachiwa mara moja kwa wafungwa wote wa kisiasa akianzia na Tundu Antipas Lissu na atoe si zaidi ya masaa 48 kwa wale wote wanaoshikiliwa kwenye vyumba vya mateso kuachiliwa na wale waliouawa mikononi mwa dola miili yao au kilichofanywa kwa miili hiyo kiwekwe wazi mara moja.

3. Kwa vile sehemu kubwa ya uchaguzi mkuu ulivurugika azungumze na Tume ya uchaguzi kuona ni kwa namna gani sehemu ya uchaguzi urudiwe na kuwa yeye mwenyewe yuko tayari kurudi kwa wananchi ndani ya miezi mitatu baada ya kuwekwa taratibu mpya na kuhusisha vyama vyote vya siasa na atangaze kuwa tayari kuheshimu matokeo hayo.

Akizungumzia mambo mengine yoyote ambayo yataonekana ni kuleta mipasho na kuuza maneno sioni ni kwa vipi Watanzania watatulia.

Jambo pekee asilifanye ni kuwatishia Watanzania tena. Wameshavuka mpaka wa woga na malango ya hofu wameyavunja.
 
Naona mshaingia live huko
Screenshot_20251201_220703_One UI Home.jpg
 
Acha tuone hiyo kesho itakuwaje, nahisi kama atarudia yale yale tu, hakutakua na jipya!
 
Akifanya haya mbona atajishindia MO Ibrahim prize na Nobel prize! This is beyond her and all her mogues thinking capacity, hata uunganishe akili zao zote haziwezi kuwa na bold decision ya namna hii! Actually ipo juu sana ya akili ya mtu mweusi, sorry kama ntamkwaza ntu kwa hii fact
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza mandarin wa vijana na labda kwa kiasi kupunguza ukali wa adhabu dhidi yake na watendaji waliohusika na mauaji yale ya mamia ya Watanzania.

1. Akubali kubeba lawama kwa yote yaliyotokea kabla, wakati, na mara baada ya uchaguzi mkuu uliovurugika. Asitafute wa kuwabebesha lawama wengine. The bucks stops with the President. Ajiwabishe mwenyewe kwa kukiri kukosea.

2. Atangaze mara moja kuagiza kukamatwa na kuwekwa nguvuni kwa maafisa wote wa Jeshi la Polisi walioratibu, kusimamia, kuficha, na kuharibu ushahidi wa mauaji ya raia. Pamoja na hili atangaze kuachiwa mara moja kwa wafungwa wote wa kisiasa akianzia na Tundu Antipas Lissu na atoe si zaidi ya masaa 48 kwa wale wote wanaoshikiliwa kwenye vyumba vya mateso kuachiliwa na wale waliouawa mikononi mwa dola miili yao au kilichofanywa kwa miili hiyo kiwekwe wazi mara moja.

3. Kwa vile sehemu kubwa ya uchaguzi mkuu ulivurugika azungumze na Tume ya uchaguzi kuona ni kwa namna gani sehemu ya uchaguzi urudiwe na kuwa yeye mwenyewe yuko tayari kurudi kwa wananchi ndani ya miezi mitatu baada ya kuwekwa taratibu mpya na kuhusisha vyama vyote vya siasa na atangaze kuwa tayari kuheshimu matokeo hayo.

Akizungumzia mambo mengine yoyote ambayo yataonekana ni kuleta mipasho na kuuza maneno sioni ni kwa vipi Watanzania watatulia.

Jambo pekee asilifanye ni kuwatishia Watanzania tena. Wameshavuka mpaka wa woga na malango ya hofu wameyavunja.
Kina Kijo Bisimba, Jenerali Ulimwengu na Kina Warioba hawajaalikwa.

Maana yake anakutana na watu wenye akili kama zake tu, kwaajili ya PROPAGANDA, KUWAHUTUBIA na stori za kudumisha Amani.
 
Father kitu pekee akisema Ili tusiandamane ni kusema yeye anaachia ngazi! Hapohapo tutakesha usiku kucha kusherehekea!!

Tofauti na hapo anajikosha tu
 
Teh teh teh.
Hizo mbege mnazokunywa bila kula zina madhara mabaya sana.
Yaani unataka ASKARI alieua majambazi walikuwa wanavunja na kupora mali za RAIA wawajibishwe?

🤣🤣
 
Hayo yote uliyosema hawezi kuyafanya. Hata kusema pole kwa Waliopoteza Wapendwa wao halitatokea. Wala usitegemee kusia neno SAMAHAJI AU I AM SORRY.

MAZA ana kiburi sana ingawa kwake anafikiri anaonyesha STRENGTH.
 
Kina Kijo Bisimba, Jenerali Ulimwengu na Kina Warioba hawajaalikwa.

Maana yake anakutana na watu wenye akili ka azake tu, kwaajili ya PROPAGANDA na stori za kudumisha Amani.
Ukisikia "Wazee wa Dar es Salaam" unapata picha gani?

Walijaribu kulipeleka hili jambo kwa mkondo wa kidini mara kadhaa ikashindikana ila naona bado wanataka kulilazimisha maana hawaoni njia nyingine itakayowaokoa. Wako tayari nchi ilipuke ili wao wapone.

Tanzania inaelekea kubaya saana maana watawala wameamua kuvimba na kutunisha vifua.
 
Ul
Na. M. M. Mwanakijiji

Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza mandarin wa vijana na labda kwa kiasi kupunguza ukali wa adhabu dhidi yake na watendaji waliohusika na mauaji yale ya mamia ya Watanzania.

1. Akubali kubeba lawama kwa yote yaliyotokea kabla, wakati, na mara baada ya uchaguzi mkuu uliovurugika. Asitafute wa kuwabebesha lawama wengine. The bucks stops with the President. Ajiwabishe mwenyewe kwa kukiri kukosea.

2. Atangaze mara moja kuagiza kukamatwa na kuwekwa nguvuni kwa maafisa wote wa Jeshi la Polisi walioratibu, kusimamia, kuficha, na kuharibu ushahidi wa mauaji ya raia. Pamoja na hili atangaze kuachiwa mara moja kwa wafungwa wote wa kisiasa akianzia na Tundu Antipas Lissu na atoe si zaidi ya masaa 48 kwa wale wote wanaoshikiliwa kwenye vyumba vya mateso kuachiliwa na wale waliouawa mikononi mwa dola miili yao au kilichofanywa kwa miili hiyo kiwekwe wazi mara moja.

3. Kwa vile sehemu kubwa ya uchaguzi mkuu ulivurugika azungumze na Tume ya uchaguzi kuona ni kwa namna gani sehemu ya uchaguzi urudiwe na kuwa yeye mwenyewe yuko tayari kurudi kwa wananchi ndani ya miezi mitatu baada ya kuwekwa taratibu mpya na kuhusisha vyama vyote vya siasa na atangaze kuwa tayari kuheshimu matokeo hayo.

Akizungumzia mambo mengine yoyote ambayo yataonekana ni kuleta mipasho na kuuza maneno sioni ni kwa vipi Watanzania watatulia.

Jambo pekee asilifanye ni kuwatishia Watanzania tena. Wameshavuka mpaka wa woga na malango ya hofu wameyavunja.
Ulichoandika ni sahihi kabisa, na kwa Kiongozi yeyote hasa anayefahamu misingi ya uongozi angefanya hayo

Lakini, ataweza tu kufanya hayo ikiwa hakushiriki kwa asilimia kubwa au kwa 100%

LAKINI, utawezaje kuwawajibisha na kutoa hizo amri kwa watu au mapolisi ambao labda wewe ndio uliyewatuma na kuwaagiza waue na kutesa watu mpaka sasa? Utaanzia wapi?

Vijana wa Arusha wameshaanza kuwapasua vibaya Polisi kwa mawe mpaka wanapelekwa hospitalini

Kurudia Uchaguzi ni gharama kubwa sana, hili nalifahamu vizuri...kuanza kuorganize Wasimamizi watakaolipwa kwa Mikoa yote, Wilaya zote, Halmashauri zote, Tarafa,Kata, Vitongoji na vijiji pamoja na vifaa vitakavyotumika, usafiri na hili akitaka kurudia anaweza kupingwa na watu wa bajeti kwasababu kuna mambo mengine yatasimama...

Na ndio wamemaliza kulipa gharama za uendeshaji wa mitihani ya Taifa Nchini.
 
kwa watanzania ni haya yafuatayo;
1.Ni nani aliagiza watu wapigwe risasi na kuuawa vile?
2.Wapigaji risasi wale ni wakina nani na wapo wapi?
3.Ni kwanini uchaguzi ufanyike kwa namna OVU kwa kiwango kile?
4.Watu waliokufa wapo wapi?
5.Wataongozaje taifa la watu wasiowataka?
6.Ni nani anayeteka na kuua watanzania?
Waliotekwa wapo wapi?

Haya maswali wayatafakari na wayazingatie

"MAMAA AMKA, AMKA MAMAAA" sauti hii ikinijia machozi yanashuka.
Eeee Mungu shusha pigo lako.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza mandarin wa vijana na labda kwa kiasi kupunguza ukali wa adhabu dhidi yake na watendaji waliohusika na mauaji yale ya mamia ya Watanzania.

1. Akubali kubeba lawama kwa yote yaliyotokea kabla, wakati, na mara baada ya uchaguzi mkuu uliovurugika. Asitafute wa kuwabebesha lawama wengine. The bucks stops with the President. Ajiwabishe mwenyewe kwa kukiri kukosea.

2. Atangaze mara moja kuagiza kukamatwa na kuwekwa nguvuni kwa maafisa wote wa Jeshi la Polisi walioratibu, kusimamia, kuficha, na kuharibu ushahidi wa mauaji ya raia. Pamoja na hili atangaze kuachiwa mara moja kwa wafungwa wote wa kisiasa akianzia na Tundu Antipas Lissu na atoe si zaidi ya masaa 48 kwa wale wote wanaoshikiliwa kwenye vyumba vya mateso kuachiliwa na wale waliouawa mikononi mwa dola miili yao au kilichofanywa kwa miili hiyo kiwekwe wazi mara moja.

3. Kwa vile sehemu kubwa ya uchaguzi mkuu ulivurugika azungumze na Tume ya uchaguzi kuona ni kwa namna gani sehemu ya uchaguzi urudiwe na kuwa yeye mwenyewe yuko tayari kurudi kwa wananchi ndani ya miezi mitatu baada ya kuwekwa taratibu mpya na kuhusisha vyama vyote vya siasa na atangaze kuwa tayari kuheshimu matokeo hayo.

Akizungumzia mambo mengine yoyote ambayo yataonekana ni kuleta mipasho na kuuza maneno sioni ni kwa vipi Watanzania watatulia.

Jambo pekee asilifanye ni kuwatishia Watanzania tena. Wameshavuka mpaka wa woga na malango ya hofu wameyavunja.
She won’t do any of these. She’s responsible for the entire mess—no scapegoating. The fazafaka must just go!
 
Back
Top Bottom