PostGE2025 Pendekezo Rahisi: Maneno 3 akiyasema Samia kesho yatazuia Maandamano yasiyo na Ukomo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Yaani unataka ASKARI alieua majambazi walikuwa wanavunja na kupora mali za RAIA wawajibishwe?
Hawa watu 8 hapa chini waliouawa kwa pamoja waliiba nini??

Majambazi yaliyoiba Kwa Gwajima ni kinani chini ya ulinzi mkali ???
Kwa GWAJIMA kuna nini cha kuibiwa zaidi ya mabenchi na spika?
Au yale maji ya upako ambayo kayapa thamani ya bilion pia unayakubali?

Wewe na akili za wastani tu kweli unakubali kuna mchungaji wa KISUKUMA anaweka vitu vya KUHAMISHIKA vyenye thamani ya BILIONI 2?
Amka ndugu.
Gwajima tunajua ni Tapeli Lkn huu sasa sio utapeli bali ni UCHIZI
 
ANATAKIWA AACHE KUREMBA REMBA MANENO, AWAPANDISHE CHEO ASKARI WOTE WALIDHIBITI MAJAMBAZI YA TEREHE 29 NA AWASHUKURU HADHARANI NA AAAHIDI RISASI ZA KICHWA KWA TAKAYELETA CHOCHOKO TENA
Wewe utamponza, wananchi wataona kama D9 ni mbali sana
 
Hawa watu 8 hapa chini waliouawa kwa pamoja waliiba nini??

Sio 8 tu.
Wamekufa wengi tu wasio na hatia yyt. Na sababu kubwa ni hao majambazi walikuwa wanaua askari na kuchoma vituo vyao na kuiba mali za raia.

Mimi binafsi nimepoteza ndugu waliokuwa wanakwenda MSIKITINI KUSALI.
Usiangalie nani kafa. Angalia nani kasababisha hayo mauwaji.
Wewe ungekuwa askari kisha umeona kundi la watu ambao baadhi yao wameua askari wenzako n. Je utajali kuwa hao wanaenda kusali au wamekaa wametulia?

Serikali ilitangaza kuwa ni MARUFUKU KUKAA SEHEMU YYT ZAIDI YA WATU 3. Na USITOKE NJE BAADA YA SAA 12 JIONI.
wewe ukileta Jeuri utalaumu askari?
 
Kwa kweli...
Abaki kama Raisi kwa sasalakini....
Awaachie wote ikwemo Lissu..
Avunje tume ya uchaguzi...
Aiitishe uchaguzi upya, halafu asimame tena na wagombea wanaokuwepo akiwepo Lissu kwenye sanduku la kura , bila uwepo wa tume.., uchaguzi usimamamiwe na vyama vyote.....
Akishindwa, tunamsamehe na kumtaka apotee kwenye siasa, akaishe huko omani au Zanzibar maisha yake yote....
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza mandarin wa vijana na labda kwa kiasi kupunguza ukali wa adhabu dhidi yake na watendaji waliohusika na mauaji yale ya mamia ya Watanzania.

1. Akubali kubeba lawama kwa yote yaliyotokea kabla, wakati, na mara baada ya uchaguzi mkuu uliovurugika. Asitafute wa kuwabebesha lawama wengine. The bucks stops with the President. Ajiwabishe mwenyewe kwa kukiri kukosea.

2. Atangaze mara moja kuagiza kukamatwa na kuwekwa nguvuni kwa maafisa wote wa Jeshi la Polisi walioratibu, kusimamia, kuficha, na kuharibu ushahidi wa mauaji ya raia. Pamoja na hili atangaze kuachiwa mara moja kwa wafungwa wote wa kisiasa akianzia na Tundu Antipas Lissu na atoe si zaidi ya masaa 48 kwa wale wote wanaoshikiliwa kwenye vyumba vya mateso kuachiliwa na wale waliouawa mikononi mwa dola miili yao au kilichofanywa kwa miili hiyo kiwekwe wazi mara moja.

3. Kwa vile sehemu kubwa ya uchaguzi mkuu ulivurugika azungumze na Tume ya uchaguzi kuona ni kwa namna gani sehemu ya uchaguzi urudiwe na kuwa yeye mwenyewe yuko tayari kurudi kwa wananchi ndani ya miezi mitatu baada ya kuwekwa taratibu mpya na kuhusisha vyama vyote vya siasa na atangaze kuwa tayari kuheshimu matokeo hayo.

Akizungumzia mambo mengine yoyote ambayo yataonekana ni kuleta mipasho na kuuza maneno sioni ni kwa vipi Watanzania watatulia.

Jambo pekee asilifanye ni kuwatishia Watanzania tena. Wameshavuka mpaka wa woga na malango ya hofu wameyavunja.
Asema ndugu Watanzania Mimi najiuzulu maana sikupita kwa haki. Hivyo

Uchaguzi uludiwe.
 
Ukisikia "Wazee wa Dar es Salaam" unapata picha gani?

Walijaribu kulipeleka hili jambo kwa mkondo wa kidini mara kadhaa ikashindikana ila naona bado wanataka kulilazimisha maana hawaoni njia nyingine itakayowaokoa. Wako tayari nchi ilipuke ili wao wapone.

Tanzania inaelekea kubaya saana maana watawala wameamua kuvimba na kutunisha vifua.
Masikini Tanzania
 
Kwa GWAJIMA kuna nini cha kuibiwa zaidi ya mabenchi na spika?
Au yale maji ya upako ambayo kayapa thamani ya bilion pia unayakubali?

Wewe na akili za wastani tu kweli unakubali kuna mchungaji wa KISUKUMA anaweka vitu vya KUHAMISHIKA vyenye thamani ya BILIONI 2?
Amka ndugu.
Gwajima tunajua ni Tapeli Lkn huu sasa sio utapeli bali ni UCHIZI
Kichwa sio Cha kubebea masikio TU , tumia akili kabla ya kujibu ?

Unataka tuache kuamini watu wenye mali zao tuamini serikali ya waongo ya kijana kupewa b5 ?
Tuamini serikali ya waongo kwamba waliuwawa ni watu wa nje ?

Ok hata kama Kwa ufinyo wako wa akili hayo maspeaker nani aliiba ?
Kwanini Jeshi liliopewa dhamana ya kulinda Hilo kanisa halijakanusha hizo tuhuma

Wewe chawa mwenye njaa Kali ndo unakanusha huku
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza mandarin wa vijana na labda kwa kiasi kupunguza ukali wa adhabu dhidi yake na watendaji waliohusika na mauaji yale ya mamia ya Watanzania.

1. Akubali kubeba lawama kwa yote yaliyotokea kabla, wakati, na mara baada ya uchaguzi mkuu uliovurugika. Asitafute wa kuwabebesha lawama wengine. The bucks stops with the President. Ajiwabishe mwenyewe kwa kukiri kukosea.

2. Atangaze mara moja kuagiza kukamatwa na kuwekwa nguvuni kwa maafisa wote wa Jeshi la Polisi walioratibu, kusimamia, kuficha, na kuharibu ushahidi wa mauaji ya raia. Pamoja na hili atangaze kuachiwa mara moja kwa wafungwa wote wa kisiasa akianzia na Tundu Antipas Lissu na atoe si zaidi ya masaa 48 kwa wale wote wanaoshikiliwa kwenye vyumba vya mateso kuachiliwa na wale waliouawa mikononi mwa dola miili yao au kilichofanywa kwa miili hiyo kiwekwe wazi mara moja.

3. Kwa vile sehemu kubwa ya uchaguzi mkuu ulivurugika azungumze na Tume ya uchaguzi kuona ni kwa namna gani sehemu ya uchaguzi urudiwe na kuwa yeye mwenyewe yuko tayari kurudi kwa wananchi ndani ya miezi mitatu baada ya kuwekwa taratibu mpya na kuhusisha vyama vyote vya siasa na atangaze kuwa tayari kuheshimu matokeo hayo.

Akizungumzia mambo mengine yoyote ambayo yataonekana ni kuleta mipasho na kuuza maneno sioni ni kwa vipi Watanzania watatulia.

Jambo pekee asilifanye ni kuwatishia Watanzania tena. Wameshavuka mpaka wa woga na malango ya hofu wameyavunja.
Yeah well that is not happening, mkutano wa kesho ni moja ya njia za kutafuta pa kutokea
 
None of that will happen
 
Kichwa sio Cha kubebea masikio TU , tumia akili kabla ya kujibu ?

Unataka tuache kuamini watu wenye mali zao tuamini serikali ya waongo ya kijana kupewa b5 ?
Tuamini serikali ya waongo kwamba waliuwawa ni watu wa nje ?

Ok hata kama Kwa ufinyo wako wa akili hayo maspeaker nani aliiba ?
Kwanini Jeshi liliopewa dhamana ya kulinda Hilo kanisa halijakanusha hizo tuhuma

Wewe chawa mwenye njaa Kali ndo unakanusha huku
Teh teh teh
Yaani ulitaka jeshi liseme "hapana, ziliibiwa spika tu.au umesahau andiko lako linasemaje kuhusu mpumbavu akiongea?

Ngoja nikupe mstari huenda ukakusaidia mbele ya safari.

METHALI 26 -4

Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi.
 
Kwa kweli...
Abaki kama Raisi kwa sasalakini....
Awaachie wote ikwemo Lissu..
Avunje tume ya uchaguzi...
Aiitishe uchaguzi upya, halafu asimame tena na wagombea wanaokuwepo akiwepo Lissu kwenye sanduku la kura , bila uwepo wa tume.., uchaguzi usimamamiwe na vyama vyote.....
Akishindwa, tunamsamehe na kumtaka apotee kwenye siasa, akaishe huko omani au Zanzibar maisha yake yote....
Sasa hii itakuwa nchi au Baraza la Maaskofu
 
Teh teh teh
Yaani ulitaka jeshi liseme "hapana, ziliibiwa spika tu.au umesahau andiko lako linasemaje kuhusu mpumbavu akiongea?

Ngoja nikupe mstari huenda ukakusaidia mbele ya safari.

METHALI 26 -4

Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi.
Hata manabii wa uongo wanatumia mistari hiyo hiyo kupotosha

So sishangai kibaraka ya serikali ya waongo kutumia mistari kupotosha

Ni vizuri umetambua kuwa umeongea upumbavu
 
Serikali ilitangaza kuwa ni MARUFUKU KUKAA SEHEMU YYT ZAIDI YA WATU 3. Na USITOKE NJE BAADA YA SAA 12 JIONI.
wewe ukileta Jeuri utalaumu askari?
Unapojadili mambo serious achana na uchawa, ongea ukweli. Uongo hausaidii.

Watu waliouliwa wakiandamana ni wachache, wengi zaidi ni wale waliouliwa wakiwa manyumbani mwao, tena mida ya asubuhi na mchana, siyo baada ya saa 12.

Kwa mfano kuna taarifa kuwa kmkm na polisi waliteka watu wakiwa nyumbani na kuondoka nao, mmoja wao ni binti mwenye mtoto wa miezi 6, hadi sasa hawajulikani walipo

Hayo maandamano tunayataka yawepo ili polisi wafanye mazoezi ya kulenga shabaha kwa nyumbu , kwahiyo wala hamna ambae anataka yasiwepo polisi wenyewe wanatamaki yawepo ili wafanye mazoezi ya shabaha
Sawa sawa kabisa maana naona kuna watu wanafanya mchezo na amani yetu na sasahivi polisi wasifanye kosa wapige wa kutosha
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza mandarin wa vijana na labda kwa kiasi kupunguza ukali wa adhabu dhidi yake na watendaji waliohusika na mauaji yale ya mamia ya Watanzania.

1. Akubali kubeba lawama kwa yote yaliyotokea kabla, wakati, na mara baada ya uchaguzi mkuu uliovurugika. Asitafute wa kuwabebesha lawama wengine. The bucks stops with the President. Ajiwabishe mwenyewe kwa kukiri kukosea.

2. Atangaze mara moja kuagiza kukamatwa na kuwekwa nguvuni kwa maafisa wote wa Jeshi la Polisi walioratibu, kusimamia, kuficha, na kuharibu ushahidi wa mauaji ya raia. Pamoja na hili atangaze kuachiwa mara moja kwa wafungwa wote wa kisiasa akianzia na Tundu Antipas Lissu na atoe si zaidi ya masaa 48 kwa wale wote wanaoshikiliwa kwenye vyumba vya mateso kuachiliwa na wale waliouawa mikononi mwa dola miili yao au kilichofanywa kwa miili hiyo kiwekwe wazi mara moja.

3. Kwa vile sehemu kubwa ya uchaguzi mkuu ulivurugika azungumze na Tume ya uchaguzi kuona ni kwa namna gani sehemu ya uchaguzi urudiwe na kuwa yeye mwenyewe yuko tayari kurudi kwa wananchi ndani ya miezi mitatu baada ya kuwekwa taratibu mpya na kuhusisha vyama vyote vya siasa na atangaze kuwa tayari kuheshimu matokeo hayo.

Akizungumzia mambo mengine yoyote ambayo yataonekana ni kuleta mipasho na kuuza maneno sioni ni kwa vipi Watanzania watatulia.

Jambo pekee asilifanye ni kuwatishia Watanzania tena. Wameshavuka mpaka wa woga na malango ya hofu wameyavunja.
Hilo sahau, huyo ni mnufaika mkuu
 
Back
Top Bottom