PostGE2025 Pendekezo Rahisi: Maneno 3 akiyasema Samia kesho yatazuia Maandamano yasiyo na Ukomo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hii nchi kuna hawa wajinga ambao walizoea kuona serikali ina viongozi wenye majina kama yao, miaka nenda rudi wakati wa nyerere na kuendelea na hakuna mendeleo yoyote walioleta kwa wananchi zaidi ya wizi
Sasa wanaumia sana kuona majina ya waliokuwa wanawaita vilaza, ndio maana tuona TEC wameshika bango

Kama maandamano yalikuwa ya amani kwa nini watu wameibiwa na kuchomewa mali zao, na miundo mbinu kuharibiwa?
Sina huruma kwa waliouwawa kwa kukutwa kwenye uharibifu wa mali za watu au miundo mbinu.....
Ukisha Toka kuinamisha mgongo masjid akili zinarudi matakoni? Hoja zinawekwa mezani wewe unakuja na ishu za kijinga kutoka kwa mabasha wenu kina duli?
 
Wabongo siku zote ni shida tu
Badala ya kulaumu chanzo cha balaa yote mnalaumu Rais na Askari na serikali yote.
Hao majambazi wasie anza kuchoma magari ya watu na kuvunja maduka na kuiba na kuchoma vituo vya polisi na kuchukua silaha zao na KUUA POLISI hivyo vifo vya wanyonge wasio na hatia vingetokea?
Lini hapa Tanzania Askari waliwahi kuingia tu kwenye nyumba ya mtu wakaanza kuua watu ovyo?

Acheni kupendelea ushetani. Mimi pia nimepoteza ndugu waliokuwa wana kwenda KUSALI MSIKITINI. Wamepigwa Risasi sababu walijikuta wako ktkt ya hilo kundi la majambazi.
Askari kala kiapo cha kulinda wananchi na mali zao . We ulitaka askari wote wauwawe ?

Wewe kweli bure kabisa. Yaani wewe hujui chanzo mpaka sasa...!? Hebu tuonyeshe msiba wowote wa askari au number ya hao Askari waliokufa.

Hebu tupe ushahidi wa mtu yeyote aliyekufa akifanyavurugugu au kuchoma kitu chochote.

Hebu tupe udhahifi kuwa watu waliuawa baada ya kuchoma vituo vya mafuta na siyo vise Vesa.

Kama police hawakuhusika ilikuwaje wawazuie wayu wasitibiwe na kuwapeleka mortuary wangali hai wakafie huko?

Open your eyes bro.
 
Wabongo siku zote ni shida tu
Badala ya kulaumu chanzo cha balaa yote mnalaumu Rais na Askari na serikali yote.
Hao majambazi wasie anza kuchoma magari ya watu na kuvunja maduka na kuiba na kuchoma vituo vya polisi na kuchukua silaha zao na KUUA POLISI hivyo vifo vya wanyonge wasio na hatia vingetokea?
Lini hapa Tanzania Askari waliwahi kuingia tu kwenye nyumba ya mtu wakaanza kuua watu ovyo?

Acheni kupendelea ushetani. Mimi pia nimepoteza ndugu waliokuwa wana kwenda KUSALI MSIKITINI. Wamepigwa Risasi sababu walijikuta wako ktkt ya hilo kundi la majambazi.
Askari kala kiapo cha kulinda wananchi na mali zao . We ulitaka askari wote wauwawe ?
Kwa nini unajitoa ufahamu??? Chanzo cha haya yote ni Samia na CCM kupuuza matakwa ya wananchi.

Wananchi tulitaka na bado tunataka katiba mpya inayotokana na sisi wananchi. Kupitia hii katiba mpya tupate tume huru kweli kweli ya uchaguzi ambayo ita-FACILITATE and NOT dictate upatikanaji wa viongozi wetu. Pia, tuondokane na Wimbi la utekaji, uuaji na upotezwaji holela wa raia iwe walitenda kosa au kutofautiana mtizamo, kuwe na utawala unaofuata misingi tuliyojiwekea ya sheria.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza mandarin wa vijana na labda kwa kiasi kupunguza ukali wa adhabu dhidi yake na watendaji waliohusika na mauaji yale ya mamia ya Watanzania.

1. Akubali kubeba lawama kwa yote yaliyotokea kabla, wakati, na mara baada ya uchaguzi mkuu uliovurugika. Asitafute wa kuwabebesha lawama wengine. The bucks stops with the President. Ajiwabishe mwenyewe kwa kukiri kukosea.

2. Atangaze mara moja kuagiza kukamatwa na kuwekwa nguvuni kwa maafisa wote wa Jeshi la Polisi walioratibu, kusimamia, kuficha, na kuharibu ushahidi wa mauaji ya raia. Pamoja na hili atangaze kuachiwa mara moja kwa wafungwa wote wa kisiasa akianzia na Tundu Antipas Lissu na atoe si zaidi ya masaa 48 kwa wale wote wanaoshikiliwa kwenye vyumba vya mateso kuachiliwa na wale waliouawa mikononi mwa dola miili yao au kilichofanywa kwa miili hiyo kiwekwe wazi mara moja.

3. Kwa vile sehemu kubwa ya uchaguzi mkuu ulivurugika azungumze na Tume ya uchaguzi kuona ni kwa namna gani sehemu ya uchaguzi urudiwe na kuwa yeye mwenyewe yuko tayari kurudi kwa wananchi ndani ya miezi mitatu baada ya kuwekwa taratibu mpya na kuhusisha vyama vyote vya siasa na atangaze kuwa tayari kuheshimu matokeo hayo.

Akizungumzia mambo mengine yoyote ambayo yataonekana ni kuleta mipasho na kuuza maneno sioni ni kwa vipi Watanzania watatulia.

Jambo pekee asilifanye ni kuwatishia Watanzania tena. Wameshavuka mpaka wa woga na malango ya hofu wameyavunja.
Hiyo akili hana jamani mnamsingizia tu!
 
Mzee.

Hayo yote hawezi kufanya ameonja utamu wa damu za watu huyu mama.
 
Mzee Mwanakijiji Tz kuna ugonjwa viongozi wetu waliong’ang’ania kuongoza wanaugua, na huo ni ugonjwa wa kukataa ukweli. Dkt Samia huu ushauri ungekuwa sehemu ya team yake useme hivyo basi anakuua hapo hapo. Akina Mchengerwa hawataki kusikia hawapendwi. Dkt Tulia aliyemdanyanya rais enzi hizo eti wanaokuchukia wachache aliponea chupu chupu kuuawa na waandamanaji aliowaita wachache 😂. Dkt Samia ni sikio la kufa!
 
Hakuna maandamano tutawafurahisha Dec 9 ole wenu vibaka mtoke kuwatia hasira watu
Pole sana, nadhani this time umeona jeshi lilivyojipanga kuzuia mauaji, nyie mliojineemesha kuua watu safari hii hamna pa kutokea
 
Kama Farao tu, Mungu amejaa huruma na hutoa kila fursa ya toba ya kweli na kubadilika, ukivuka mipaka anaufanya moyo wako kuwa mgumu kama Farao ili akikupiga na kila jicho lione na litambue ukuu wake. Tusubiri
 
Teh teh teh.
Hizo mbege mnazokunywa bila kula zina madhara mabaya sana.
Yaani unataka ASKARI alieua majambazi walikuwa wanavunja na kupora mali za RAIA wawajibishwe?

🤣🤣
Dah we mpemba hujaacha tu mizinguo yako mwanang kahtan
 
I rate this post 2 out of 10

Atleast bc ungesema aachie madaraka ndipo D9 hatuandamani.

Bila ya manyonyo kufa siwezi kuelewa chochote kile.
 
Gwajima mwenyewe MWIZI. na ningefurahi sana kama kweli ANGEIBIWA na KUFILISIWA KABISA.
Wewe wapi umeshakusikia msukuma mmoja mwenye mtaji wa spika na mic akapata za kuibiwa zenye thamani ya BILIONI 2?

Acheni kutetea MWIZI. na MNAFIKI.
Yule jamaa ni MNAFIKI NA ADUI KABISA.
Hana ukweli hata kidogo.
Siku za nyuma alikuwa namba moja kupigia promo CCM. Leo kibao kimegeuka kawa adui yao
Hao wote CCM, CHADEMA sio Nani WOTE WEZI MAJAMBAZI wanaotaka kuimaliza hii nchi.
Na wajinga km wewe mnatokwa mapovu meengi as if lissu Ndio mkombozi wa taifa hili la waungwana

Lissu siku akiongoza nchi hii haitofika mwezi tutachinjana humu fasta sana.
Yule ni kibaraka wa wazungu.
Chadema chama cha mafisadi kama CCM.
No different whatsoever.
Kuandika tu sentensi za kiswahili zinakushinda. Jifunze kwanza kuandika sentensi za kiswahili.

Sijui ccm inatoa wapi watu wajinga hivi .
 
Again And again you keep on repeating garbage.
Wewe hizi habari unachota JF kisha unataka wote tule.
Acha kupenda kudakia story kisha ulazimishe watu wote wazikubali.
Bora kukaa kimya.
Usinilishe maneno, vyanzo siyo JF.
Kama wewe una chanzo kimoja usifikiri kila mmoja ni hivyo.

Mauaji yalikuwa mengi sana hivyo kuna uthibitisho na shuhuda za aina nyingi
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza mandarin wa vijana na labda kwa kiasi kupunguza ukali wa adhabu dhidi yake na watendaji waliohusika na mauaji yale ya mamia ya Watanzania.

1. Akubali kubeba lawama kwa yote yaliyotokea kabla, wakati, na mara baada ya uchaguzi mkuu uliovurugika. Asitafute wa kuwabebesha lawama wengine. The bucks stops with the President. Ajiwabishe mwenyewe kwa kukiri kukosea.

2. Atangaze mara moja kuagiza kukamatwa na kuwekwa nguvuni kwa maafisa wote wa Jeshi la Polisi walioratibu, kusimamia, kuficha, na kuharibu ushahidi wa mauaji ya raia. Pamoja na hili atangaze kuachiwa mara moja kwa wafungwa wote wa kisiasa akianzia na Tundu Antipas Lissu na atoe si zaidi ya masaa 48 kwa wale wote wanaoshikiliwa kwenye vyumba vya mateso kuachiliwa na wale waliouawa mikononi mwa dola miili yao au kilichofanywa kwa miili hiyo kiwekwe wazi mara moja.

3. Kwa vile sehemu kubwa ya uchaguzi mkuu ulivurugika azungumze na Tume ya uchaguzi kuona ni kwa namna gani sehemu ya uchaguzi urudiwe na kuwa yeye mwenyewe yuko tayari kurudi kwa wananchi ndani ya miezi mitatu baada ya kuwekwa taratibu mpya na kuhusisha vyama vyote vya siasa na atangaze kuwa tayari kuheshimu matokeo hayo.

Akizungumzia mambo mengine yoyote ambayo yataonekana ni kuleta mipasho na kuuza maneno sioni ni kwa vipi Watanzania watatulia.

Jambo pekee asilifanye ni kuwatishia Watanzania tena. Wameshavuka mpaka wa woga na malango ya hofu wameyavunja.
Upo sahihi ila sio rahisi kiasi hicho.
 
Hawezi kujaribu hata moja au ata nusu ya moja uliloliandika.

Ni mwendo wa drama, Tunaanza katiba, Tutafanya maridhiano, Tutatoa pole kwa Familia zilizo Adhirika,wananibagua, Kuweni Makini wanatuonea wivu kwa Rasilimali zetu,Sijahusika kwa chochote waliohusika watatajwa na Tume ya Chqnde tuwe na Imani nayo,Maoni yetu Ameyasikia Mambo Mazuri ya nakuja,Tuilinde Tanzania yetu Hatuna Nchi nyingine.
 
Back
Top Bottom