Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 2,330
- 4,048
Kama ni mtihani basi umeshampa majibu TATIZO anamsikiliza sana Mzee wa Msoga...
Kwa kuongezea;
i. Aseme kuanzia sasa UTEKAJI mwisho
ii. Atamke mara moja kuanza kwa mchakato wa KATIBA MPYA ILIYO BORA , kwa kuunda katechnical team kadogo (sio TUME) chini ya mwanasheria mbobevu wa kuipitia Rasimu ya Warioba na kuiboresha kidogo,iletwe kwa wananchi haraka
iii. Avunjilie mbali "TUME HURU YA UCHAGUZI" na mchakato wa kuundwa upya uanze kwa mujibu wa KATIBA MPYA NA BORA