PostGE2025 Pendekezo Rahisi: Maneno 3 akiyasema Samia kesho yatazuia Maandamano yasiyo na Ukomo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kama ni mtihani basi umeshampa majibu TATIZO anamsikiliza sana Mzee wa Msoga...
Kwa kuongezea;
i. Aseme kuanzia sasa UTEKAJI mwisho
ii. Atamke mara moja kuanza kwa mchakato wa KATIBA MPYA ILIYO BORA , kwa kuunda katechnical team kadogo (sio TUME) chini ya mwanasheria mbobevu wa kuipitia Rasimu ya Warioba na kuiboresha kidogo,iletwe kwa wananchi haraka
iii. Avunjilie mbali "TUME HURU YA UCHAGUZI" na mchakato wa kuundwa upya uanze kwa mujibu wa KATIBA MPYA NA BORA
 
Usinilishe maneno, vyanzo siyo JF.
Kama wewe una chanzo kimoja usifikiri kila mmoja ni hivyo.

Mauaji yalikuwa mengi sana hivyo kuna uthibitisho na shuhuda za aina nyingi
We hivyo vyanzo vyako hapa tukusome!
Au utadai ni siri ya chadema! .
Manake nyie kwa mihemko hatari. Mnaiweka Chadema km KGB ya Russia.
Teh teh teh
 
Kumbe Hilo swala la 29 ndivyo linavyo someka kwa vibogoyo wa akili hapo ikulu na kwenye vyombo vya wauwaji wanaojiita wana usalama? BASI TUKUTANE ICC TU HAKUNA NAMNA
Teh teh teh
Eti ICC. Yaani nyie viumbe ndio akili maboga kabisa.
Mkoloni anabaka anaua ananyonga wafrika kila siku kisha bado mnamshobokea. Kisha akaamua kuweka mahakama mbuzi ya kufunga waafrika wote wanaokwenda kinyume na wanachotaka wao kisha wakuda km wewe bado mnashangalia.
Umeshawahi kusikia kiongozi yyt wa ULAYA au USA kafikishwa ICC?

Hivi nyie kondoo lini mtaamka?
 
Hii nchi kuna hawa wajinga ambao walizoea kuona serikali ina viongozi wenye majina kama yao, miaka nenda rudi wakati wa nyerere na kuendelea na hakuna mendeleo yoyote walioleta kwa wananchi zaidi ya wizi
Sasa wanaumia sana kuona majina ya waliokuwa wanawaita vilaza, ndio maana tuona TEC wameshika bango

Kama maandamano yalikuwa ya amani kwa nini watu wameibiwa na kuchomewa mali zao, na miundo mbinu kuharibiwa?
Sina huruma kwa waliouwawa kwa kukutwa kwenye uharibifu wa mali za watu au miundo mbinu.....
Ukisha Toka kuinamisha mgongo masjid akili zinarudi matakoni? Hoja zinawekwa mezani wewe unakuja na ishu za kijinga kutoka kwa mabasha wenu kina duli
Teh teh teh
Eti ICC. Yaani nyie viumbe ndio akili maboga kabisa.
Mkoloni anabaka anaua ananyonga wafrika kila siku kisha bado mnamshobokea. Kisha akaamua kuweka mahakama mbuzi ya kufunga waafrika wote wanaokwenda kinyume na wanachotaka wao kisha wakuda km wewe bado mnashangalia.
Umeshawahi kusikia kiongozi yyt wa ULAYA au USA kafikishwa ICC?

Hivi nyie kondoo lini mtaamka?
Time time time
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza mandarin wa vijana na labda kwa kiasi kupunguza ukali wa adhabu dhidi yake na watendaji waliohusika na mauaji yale ya mamia ya Watanzania.

1. Akubali kubeba lawama kwa yote yaliyotokea kabla, wakati, na mara baada ya uchaguzi mkuu uliovurugika. Asitafute wa kuwabebesha lawama wengine. The bucks stops with the President. Ajiwabishe mwenyewe kwa kukiri kukosea.

2. Atangaze mara moja kuagiza kukamatwa na kuwekwa nguvuni kwa maafisa wote wa Jeshi la Polisi walioratibu, kusimamia, kuficha, na kuharibu ushahidi wa mauaji ya raia. Pamoja na hili atangaze kuachiwa mara moja kwa wafungwa wote wa kisiasa akianzia na Tundu Antipas Lissu na atoe si zaidi ya masaa 48 kwa wale wote wanaoshikiliwa kwenye vyumba vya mateso kuachiliwa na wale waliouawa mikononi mwa dola miili yao au kilichofanywa kwa miili hiyo kiwekwe wazi mara moja.

3. Kwa vile sehemu kubwa ya uchaguzi mkuu ulivurugika azungumze na Tume ya uchaguzi kuona ni kwa namna gani sehemu ya uchaguzi urudiwe na kuwa yeye mwenyewe yuko tayari kurudi kwa wananchi ndani ya miezi mitatu baada ya kuwekwa taratibu mpya na kuhusisha vyama vyote vya siasa na atangaze kuwa tayari kuheshimu matokeo hayo.

Akizungumzia mambo mengine yoyote ambayo yataonekana ni kuleta mipasho na kuuza maneno sioni ni kwa vipi Watanzania watatulia.

Jambo pekee asilifanye ni kuwatishia Watanzania tena. Wameshavuka mpaka wa woga na malango ya hofu wameyavunja.
Hakuna hata moja hapo linatekelezeka. Kwa kukiri yote uliyoandika hapohapo serekalj yake inakosa uhalali. Polisi na waliohusika kuua kujeruhi kutesa nk wamepokea amri yoka juu. Kwa maelekezo yake. Hii maanake muuaji ni yeye. Hakuna polisi wengeweza kufanya ule unyama bila kupewa kibali na wakuu wa ulinzi na usalama ambao nao wamepewa na amiri jeshi mkuu ambage ni Mama Samia Suluhu Hassan.
Mzee Mwanakijiji hili halitawezekana kwa hawa mbwa.
 
Teh teh teh.
Hizo mbege mnazokunywa bila kula zina madhara mabaya sana.
Yaani unataka ASKARI alieua majambazi walikuwa wanavunja na kupora mali za RAIA wawajibishwe?

🤣🤣
Dah we mpemba hujaacha tu mizinguo yako mwana
 
Ukisha Toka kuinamisha mgongo masjid akili zinarudi matakoni? Hoja zinawekwa mezani wewe unakuja na ishu za kijinga kutoka kwa mabasha wenu kina duli?
Bora basi hata ungejibu kilichoandikwa lakini kwa kama kawaida yenu akili za kushikiwa na wachungaji wenu ambao wengi ni machoko au wanabaka watoto, unabwabwaja matusi, na huu ndio udhaifu tunaofurahia unaoonyeshwa na wagalati wa siku hizi, wengi ni vilaza sababu mmejulikana ule mfumo ulikuwa unawapendelea leo haupo
Mnashangaa sana kuona mambo yamebadilika na sio tu kwa akili bali pia kwa nguvu.

Haya sasa rudini tena kuharibu mali za watu na miundo mbinu muone nini kitawakuta....
 
Ukisha Toka kuinamisha mgongo masjid akili zinarudi matakoni? Hoja zinawekwa mezani wewe unakuja na ishu za kijinga kutoka kwa mabasha wenu kina duli

Time time time
Kujibu matusi inatosha kusema hivi ndio inaonyesha jinsi viwango vyenu vya akili vilipofikia, mnatia huruma sana siku hizi mpaka mnaanza kuomba hao voingozi wenu wa dini wawatetee,
Hii inaonyesha hakuna mwenye akili wala nguvu ya kushindana na wakati,
 
Njoo na Ile ID Yako nyingine kiongozi
 
Bora basi hata ungejibu kilichoandikwa lakini kwa kama kawaida yenu akili za kushikiwa na wachungaji wenu ambao wengi ni machoko au wanabaka watoto, unabwabwaja matusi, na huu ndio udhaifu tunaofurahia unaoonyeshwa na wagalati wa siku hizi, wengi ni vilaza sababu mmejulikana ule mfumo ulikuwa unawapendelea leo haupo
Mnashangaa sana kuona mambo yamebadilika na sio tu kwa akili bali pia kwa nguvu.

Haya sasa rudini tena kuharibu mali za watu na miundo mbinu muone nini kitawakuta....
Nitakujibi ukija na Ile ID iliyo zoeleka
 
Wahuni wanamshikilia mateka. Hawezi kusema chochote cha maana zaidi ya bla bla tu za hapa na pale.
Kwa bahati mbaya, ameshindwa kujinasua...generations z maandamano yale yalikuwa uokozi mkubwa kwake ila ndio hivyo tena...watesi wake wana nguvu...yeye anajiona amepata kumbe amepatikana...!​
 
ukiwa kama mods unatakiwa uongee kikakamavu, naona unanibembeleza....
taja moja kati ya tatu....
Usimpe cheo sio chake.
Admin gani hana hoja zaidi ya matusi.
Huyu ukimuita mods unafanya viongozi wa JF waonekane dhaifu.

Kuna msemo unasema "mtoto wa haramu hata ukimtia kwenye chupa atatoa japo kidole nje ili aonekane tu kuwa yupo"
 
Cc
Na. M. M. Mwanakijiji
You don't get it , Samia is part of the problem .......ccm banditry cartel must fall

Back
Top Bottom