Pendekezo: Rais kwa mwaka 2025 napendekeza awe Kassim Majaliwa au Selemani Jafo

Kama kichwa cha habari kinavyosema hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana uthubutu katika kufanya maamuzi magumu.
MAMA SAMIA AENDELEE TU, KAMA AKIKATAA KUENDELEA BASI JANUARY MAKAMBA APEWE MIKOBA. WATU WA KARBA YA JIWE SIO WATU POA KWA MAENDELEO YA WATU. HAO ULIOWATAJA WATATURUDISHA KULEKULE KWAMA ALIVYOKUWA MWENDAZAKE.
 
CCM twende na Majaliwa na Bashiru, kama nchi chini ya Majaliwa na Bashiru tutarudi kwenye mstari.
 
Hatuta teuwa muislam kwa nafasi nyeti kama hiyo......
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana uthubutu katika kufanya maamuzi magumu.
Jafo hapana, hatutaweza kuvumilia hiyo misafara ya wake wanne wa rais.
 
Huwa ukawa waziri mkuu then uwe Rais haipo hio,ukishawahi kuwa waziri mkuu cheo chako ndo kimeishia hapo si zaidi ya hapo hata ujaribu vipi utashindwa tu ni hadi lile agano lililofanyika mapangoni livunjwe kitu ambacho nacho sio rahisi hivihivi.
Mara mhe.Rais Samia atakapomaliza awamu ya sita ya kutawala nchi yetu; anayefaa kuongoza Tanzania kama Rais wa awamu ya saba ni MHE.DKT.HUSSEIN ALLY MWINYI kutokana uzoefu na kazi kubwa aliyofanya Zanzibar mpaka sasa.
 
Hoja yoyote inayotoka kwa MATAGA ni ya kupuuzwa. Unataka utupatie kazi nyingine Kama ya hayati Magufuli?
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana uthubutu katika kufanya maamuzi magumu.
tuliza mshono kijana !! bado tuna kazi kubwa mno ya kusafisha hili jumba lililo hoi kwa uchafu kila kona.
 
Mara mhe.Rais Samia atakapomaliza awamu ya sita ya kutawala nchi yetu; anayefaa kuongoza Tanzania kama Rais wa awamu ya saba ni MHE.DKT.HUSSEIN ALLY MWINYI kutokana uzoefu na kazi kubwa aliyofanya Zanzibar mpaka sasa.
Hawa huwa na hekima ya uongozi
 
Back
Top Bottom