Pendekezo: Siku Samia Suluhu akifa, tufute Majina yake kwenye Miradi yote ya Serikali

Kwa yaliyotokea 29 Oktoba 2025, ni laana kwa Nchi. Jina lake libaki kwenye Misikiti alojenga pekee.

Kwenye Utawala wake aliruhusu Watanzania kuuana wao kwa wao ili yeye asalie madarakani.. Katiba akaiita kijitabu.. Kijitabu akakitumia kuapa asalie madarakani bila ya kuchaguliwa na yoyote.

Kuna Wale walionunuliwa Magandwa na Silaha kwa fedha za Wananchi, walitumwa Wakaue Wananchi wanaotoa Kodi kulipa Mishahara yao na kununua nguo zao hata Magari wanayotembelea.

Ni akili za Kizanzibari pekee zinazo weza kuua Mtu anayekupa kula. Wazanzibar wanatuona Watanganyika ni Makafiri hata tukifa hakuna anayeumia..

Hayo majina ya Samia yakaandikwe kwenye Mitaa ya Kizimkazi iliyojaa michanga bila Lami..

Akifa tufute kila kitu alichofanya tuanze upya.

Sasa wanatakka daraja la Mkwajuni eti liitwe Abdul kuonesha mshikamano na Muungano imara wa Zanzibar na Tanganyika.

Ukitoka Mkwajuni kuelekea Magomeni Jijini Dar Es Salaam pale Bondeni, Samia anataka aweke Daraja liitwe Abdul.. Fedha wametoa Uarabuni eti. Wanadai ni mkopo nafuu.

Yaani hii Nchi!
Mkuu usije ukafa wewe yeye ukamuacha!
 
Kinachowasumbua ni chuki sio haki kwamba wewe una uchungu kiasi hicho Kwa watanzania na Taifa Kwa ujumla.
 
Na Ukimtangulia kufa wewe?
Huu ni wito kwa Watanzania wapenda haki. Si wito kwenu machawa.

Hata mtu yoyote akifa Haijalishi, Muhimuu majina yafutwe.. Huu ni utamaduni wa Uarabuni..

Mtu kuweka jina kwenye miradi ambayo hujajenga bali umerithi
 
Kwa yaliyotokea 29 Oktoba 2025, ni laana kwa Nchi. Jina lake libaki kwenye Misikiti alojenga pekee.

Kwenye Utawala wake aliruhusu Watanzania kuuana wao kwa wao ili yeye asalie madarakani.. Katiba akaiita kijitabu.. Kijitabu akakitumia kuapa asalie madarakani bila ya kuchaguliwa na yoyote.

Kuna Wale walionunuliwa Magandwa na Silaha kwa fedha za Wananchi, walitumwa Wakaue Wananchi wanaotoa Kodi kulipa Mishahara yao na kununua nguo zao hata Magari wanayotembelea.

Ni akili za Kizanzibari pekee zinazo weza kuua Mtu anayekupa kula. Wazanzibar wanatuona Watanganyika ni Makafiri hata tukifa hakuna anayeumia..

Hayo majina ya Samia yakaandikwe kwenye Mitaa ya Kizimkazi iliyojaa michanga bila Lami..

Akifa tufute kila kitu alichofanya tuanze upya.

Sasa wanatakka daraja la Mkwajuni eti liitwe Abdul kuonesha mshikamano na Muungano imara wa Zanzibar na Tanganyika.

Ukitoka Mkwajuni kuelekea Magomeni Jijini Dar Es Salaam pale Bondeni, Samia anataka aweke Daraja liitwe Abdul.. Fedha wametoa Uarabuni eti. Wanadai ni mkopo nafuu.

Yaani hii Nchi!
Sio akifa tu, sema tukisha mtimua
 
Hiyo haitoshi ,huyu akifa kaburi lake badala ya kujazwa kwa mchanga/udongo linanapaswa kujazwa kwa kinyezi,yaani Kila mtanganyika Mzalendo na mpenda haki anapaswa kunya kwenye kaburi lake hadi lijae na lifukiwe kwa kinyesi Kuonesha utawala wake ulikuwa chanzo cha laana kwa Tanganyika.

Na hapaswi kukumbukwa popote kwa chochote alichofanya zaidi ya kumkumbuka kwa mauaji ya watanganyika 10,000+
🤣Dah mkuu Kuna kipindi ulikua chawa wa mama imekuaje Tena?
 
Back
Top Bottom