Pendekezo: Siku Samia Suluhu akifa, tufute Majina yake kwenye Miradi yote ya Serikali

Pendekezo: Siku Samia Suluhu akifa, tufute Majina yake kwenye Miradi yote ya Serikali

Hawakufa watu 10,000 zile ni siasa za kichochezi kutoka kwa Mzee Warioba na wanaharakati.
Na hapa tutasema ni mabeberu,ushahidi upo Kuna maelfu ya waliouliwa walitupwa ziwani kupoteza ushahidi.

Hili gazeti linesema hivi karibuni litatoa ushahidi wa hao maelfu waliotupwa ziwani.

Kiufupi Samia ni mtu mbaya sana,sijui anakufa lini huyu hayawani.
 
Attachments

  • 1767157525390.jpg
    1767157525390.jpg
    294.5 KB · Views: 14
Na hapa tutasema ni mabeberu,ushahidi upo Kuna maelfu ya waliouliwa walitupwa ziwani kupoteza ushahidi.

Hili gazeti linesema hivi karibuni litatoa ushahidi wa hao maelfu waliotupwa ziwani.

Kiufupi Samia ni mtu mbaya sana,sijui anakufa lini huyu hayawani.
Habari za wazungu hao hao kina EU wanaotaka kuitawala Tanzania kwa mfumo wa remote control, washenzi tu hao.
 
Habari za wazungu hao hao kina EU wanaotaka kuitawala Tanzania kwa mfumo wa remote control, washenzi tu hao.
Kwahiyo tuamini za Samia au!? Acha kumtetea huyu kibibi,nakuambia magumu yanakuja,huoni hadi sasa hajitokezi .huyo lazima akafie Hague.

Vipi na hii picha ni ya wazungu wa EU?
 
Attachments

  • G9kJ67zaMAQSSuR.jpeg
    G9kJ67zaMAQSSuR.jpeg
    73 KB · Views: 15
Kwahiyo tuamini za Samia au!? Acha kumtetea huyu kibibi,nakuambia magumu yanakuja,huoni hadi sasa hajitokezi .huyo lazima akafie Hague.

Vipi na hii picha ni ya wazungu wa EU?
Kwenda The Hague sio sawa na kwenda Feri kununua samaki, kiongozi mkuu wa TZ kaunda tume ambayo ipo kazini, ukishaunda tume tayari umejiwekea ulinzi wa kisheria.

Inabidi hao wazungu walete tume yao ifanye kazi na hii ya kwetu.
 
Huo no uchawi kabisa!

Tukubaliane na ukweli kwamba samiah no mtanzania na ana haki ya kuliongoza taifa hili kama watangulizi wake walivyofanya!

Pia

Tukubali kwamba mfumo mbovu ulioasisiwa na baba was taifa unaitafuna Tanzania yetu!!mfumo wa kulazimisha chama kimoja lazima kishinde bila kujali mahitaji ya nyakati lazima utaleta mauaji!!

Hivyo tu
 
Go, Mama Samia gooooooo!!
Wanazidi kuchanganyikiwa tu hawa haters, piga mwendo Mama.
 
Anza leo kwenda kufuta ufutwe wewe
 
Hii kali ya mwaka
daraja lipewe jina la abdul mtoto wa bi chura??
Au sijaelewa mada!
 
Kwa yaliyotokea 29 Oktoba 2025, ni laana kwa Nchi. Jina lake libaki kwenye Misikiti alojenga pekee.

Kwenye Utawala wake aliruhusu Watanzania kuuana wao kwa wao ili yeye asalie madarakani.. Katiba akaiita kijitabu.. Kijitabu akakitumia kuapa asalie madarakani bila ya kuchaguliwa na yoyote.

Kuna Wale walionunuliwa Magandwa na Silaha kwa fedha za Wananchi, walitumwa Wakaue Wananchi wanaotoa Kodi kulipa Mishahara yao na kununua nguo zao hata Magari wanayotembelea.

Ni akili za Kizanzibari pekee zinazo weza kuua Mtu anayekupa kula. Wazanzibar wanatuona Watanganyika ni Makafiri hata tukifa hakuna anayeumia..

Hayo majina ya Samia yakaandikwe kwenye Mitaa ya Kizimkazi iliyojaa michanga bila Lami..

Akifa tufute kila kitu alichofanya tuanze upya.

Sasa wanatakka daraja la Mkwajuni eti liitwe Abdul kuonesha mshikamano na Muungano imara wa Zanzibar na Tanganyika.

Ukitoka Mkwajuni kuelekea Magomeni Jijini Dar Es Salaam pale Bondeni, Samia anataka aweke Daraja liitwe Abdul.. Fedha wametoa Uarabuni eti. Wanadai ni mkopo nafuu.

Yaani hii Nchi!
Hata kwenye Misikiti hatumtaki.
 
Naona naongea na mchumia tumbo.tuishie hapo
Kwenda The Hague sio shughuli nyepesi. Mwanasheria Mkuu aliyepo hivi sasa ana utaalam wa sheria za kimataifa, haya masuala ya kupelekana The Hague ndiyo aliyoyasomea kule Kiev Ukraine miaka ya 90 mwishoni.
 
Mbona hii post yako unairua kila thread. Uhaisi utajibu nini kuwafanya wafiwa wamuone samia mtu wa maana?
 
Mbona hii post yako unairua kila thread. Uhaisi utajibu nini kuwafanya wafiwa wamuone samia mtu wa maana?
Samia anaheshimu hao wafiwa siku zote Rais anaposema tusimame dakika moja kuwakumbuka marehemu ni sawa na serikali kuomba radhi kwa waliyotokea.

Lakini wengi wao wanafahamu kwamba watoto wao walicheza mchezo wa hatari sana, huwezi kutaka kutunishiana misuli na polisi wakati huna silaha hujapitia mafunzo yoyote yale.

Waliuchukulia poa ulinzi mzima wa TZ kwa sababu ya uchanga wao kiumri. Kuna kitu kizito sana wamejifunza.
 
Hawa vibaka walitaka yatokee yale ya kule Sri Lanka ambapo watu walipindua nchi wakaingia mpaka ikulu wakaanza kulalia vitanda vya rais na ndugu zake wakaanza kutumia miswaki iliyokuwepo bafuni.

Wanaishi na njozi fulani za ujana vichwani mwao, walipojaribu kuleta ujinga waliouona kwenye TV wakakutana na cha moto.

Hakuna ambaye ataingia tena huko mitaani kujaribu kuleta upuuzi ule wamejifunza kwa njia mbaya sana.
Kweli kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom