Pendekezo: Siku Samia Suluhu akifa, tufute Majina yake kwenye Miradi yote ya Serikali

Mkuu usije ukafa wewe yeye ukamuacha!
 
Iko hizi
Siku ikitokea ccm imeondolewa yapaswa miradi yote ipewe majina ya eneo husika, kuanzia mashule, mitaa, masoko n.k
 
Kinachowasumbua ni chuki sio haki kwamba wewe una uchungu kiasi hicho Kwa watanzania na Taifa Kwa ujumla.
 
Na Ukimtangulia kufa wewe?
Huu ni wito kwa Watanzania wapenda haki. Si wito kwenu machawa.

Hata mtu yoyote akifa Haijalishi, Muhimuu majina yafutwe.. Huu ni utamaduni wa Uarabuni..

Mtu kuweka jina kwenye miradi ambayo hujajenga bali umerithi
 
Sio akifa tu, sema tukisha mtimua
 
🤣Dah mkuu Kuna kipindi ulikua chawa wa mama imekuaje Tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…