digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Na hapa tutasema ni mabeberu,ushahidi upo Kuna maelfu ya waliouliwa walitupwa ziwani kupoteza ushahidi.Hawakufa watu 10,000 zile ni siasa za kichochezi kutoka kwa Mzee Warioba na wanaharakati.
Habari za wazungu hao hao kina EU wanaotaka kuitawala Tanzania kwa mfumo wa remote control, washenzi tu hao.Na hapa tutasema ni mabeberu,ushahidi upo Kuna maelfu ya waliouliwa walitupwa ziwani kupoteza ushahidi.
Hili gazeti linesema hivi karibuni litatoa ushahidi wa hao maelfu waliotupwa ziwani.
Kiufupi Samia ni mtu mbaya sana,sijui anakufa lini huyu hayawani.
Kwahiyo tuamini za Samia au!? Acha kumtetea huyu kibibi,nakuambia magumu yanakuja,huoni hadi sasa hajitokezi .huyo lazima akafie Hague.Habari za wazungu hao hao kina EU wanaotaka kuitawala Tanzania kwa mfumo wa remote control, washenzi tu hao.
Hakutakiwa afe hata mmoja. Jenga picha angekufa mama yako tu mmoja. Ungesema mabeberu?Hawakufa watu 10,000 zile ni siasa za kichochezi kutoka kwa Mzee Warioba na wanaharakati.
Kwenda The Hague sio sawa na kwenda Feri kununua samaki, kiongozi mkuu wa TZ kaunda tume ambayo ipo kazini, ukishaunda tume tayari umejiwekea ulinzi wa kisheria.Kwahiyo tuamini za Samia au!? Acha kumtetea huyu kibibi,nakuambia magumu yanakuja,huoni hadi sasa hajitokezi .huyo lazima akafie Hague.
Vipi na hii picha ni ya wazungu wa EU?
Naona naongea na mchumia tumbo.tuishie hapoKwenda The Hague sio sawa na kwenda Feri kununua samaki, kiongozi mkuu wa TZ kaunda tume ambayo ipo kazini, ukishaunda tume tayari umejiwekea ulinzi wa kisheria.
Inabidi hao wazungu walete tume yao ifanye kazi na hii ya kwetu.
Ndio maana jamaa anasema akifa tutafuta kumbukumbu sababu mojawapo kumwaga damu za watanganyikaMada mezani ni damu ya October 29?.
P
Kiazi mbatata chakula kitamu sana kuliko maugali mnayojaza kwenye tumboni na kwenye machogo yenuUna utoto mwingi KIAZI mbatata wewe🚮
Hata kwenye Misikiti hatumtaki.Kwa yaliyotokea 29 Oktoba 2025, ni laana kwa Nchi. Jina lake libaki kwenye Misikiti alojenga pekee.
Kwenye Utawala wake aliruhusu Watanzania kuuana wao kwa wao ili yeye asalie madarakani.. Katiba akaiita kijitabu.. Kijitabu akakitumia kuapa asalie madarakani bila ya kuchaguliwa na yoyote.
Kuna Wale walionunuliwa Magandwa na Silaha kwa fedha za Wananchi, walitumwa Wakaue Wananchi wanaotoa Kodi kulipa Mishahara yao na kununua nguo zao hata Magari wanayotembelea.
Ni akili za Kizanzibari pekee zinazo weza kuua Mtu anayekupa kula. Wazanzibar wanatuona Watanganyika ni Makafiri hata tukifa hakuna anayeumia..
Hayo majina ya Samia yakaandikwe kwenye Mitaa ya Kizimkazi iliyojaa michanga bila Lami..
Akifa tufute kila kitu alichofanya tuanze upya.
Sasa wanatakka daraja la Mkwajuni eti liitwe Abdul kuonesha mshikamano na Muungano imara wa Zanzibar na Tanganyika.
Ukitoka Mkwajuni kuelekea Magomeni Jijini Dar Es Salaam pale Bondeni, Samia anataka aweke Daraja liitwe Abdul.. Fedha wametoa Uarabuni eti. Wanadai ni mkopo nafuu.
Yaani hii Nchi!
watakaokuwepo huu wosia waufanyie kaziNa Ukimtangulia kufa wewe?
Kwenda The Hague sio shughuli nyepesi. Mwanasheria Mkuu aliyepo hivi sasa ana utaalam wa sheria za kimataifa, haya masuala ya kupelekana The Hague ndiyo aliyoyasomea kule Kiev Ukraine miaka ya 90 mwishoni.Naona naongea na mchumia tumbo.tuishie hapo
Mbona hii post yako unairua kila thread. Uhaisi utajibu nini kuwafanya wafiwa wamuone samia mtu wa maana?Kwenda The Hague sio shughuli nyepesi. Mwanasheria Mkuu aliyepo hivi sasa ana utaalam wa sheria za kimataifa, haya masuala ya kupelekana The Hague ndiyo aliyoyasomea kule Kiev Ukraine miaka ya 90 mwishoni.
Samia anaheshimu hao wafiwa siku zote Rais anaposema tusimame dakika moja kuwakumbuka marehemu ni sawa na serikali kuomba radhi kwa waliyotokea.Mbona hii post yako unairua kila thread. Uhaisi utajibu nini kuwafanya wafiwa wamuone samia mtu wa maana?
Kweli kabisa mkuu.Hawa vibaka walitaka yatokee yale ya kule Sri Lanka ambapo watu walipindua nchi wakaingia mpaka ikulu wakaanza kulalia vitanda vya rais na ndugu zake wakaanza kutumia miswaki iliyokuwepo bafuni.
Wanaishi na njozi fulani za ujana vichwani mwao, walipojaribu kuleta ujinga waliouona kwenye TV wakakutana na cha moto.
Hakuna ambaye ataingia tena huko mitaani kujaribu kuleta upuuzi ule wamejifunza kwa njia mbaya sana.