Pendekezo: Siku Samia Suluhu akifa, tufute Majina yake kwenye Miradi yote ya Serikali

Machawa wanajipendekeza hadi Boss anachukia na kukereka🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Halafu tuandike majina ya mamaako sio?
 
Akiondoka mtamkumbuka
 
Hata kesho
 
TUJITOKEZE KWA WINGI TAREHE 12/1/2026 KWENYE MAANDAMANO YA AWAMU YA PILI KUMUONDOA HUYU MWANAMAMA ILI TUFUTE TAKATAKA ZAKE ZOTE NCHINI KWETU.AWAMU HII HADI ARUDI KWAO UARABUNI.
Hizo ndoto huwa mnaota au mnaoteshwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…