Pendekezo: Wakili wa Kimataifa, Robert Amsterdam apewe nishani ya kupigania haki, uhuru na utu wa mtu mweusi

Gonga link umjue vizuri huyu "mwanasheria" kabla ya kuandika mada ambayo huna uelewa mzuri!

 
Kuna waafeika wachache wajinga sio kidogo wanaamini kabisa wazungu wanahanaika wa ajili ya mtu mweusi. Never leo salary slip nataka nikusaidie hautawaza kizembe hivo tenaView attachment 1631013
Anachoongea hapo kinadhibitisha kabisa yuko kutetea mtu mweusi tena hata dhidi ya wazungu wenzake na wachina pia.

Kwa kifupi, hii clip inathibitisha kuwa Robert Amsterdam ni mtetezi na rafiki wa mtu mweusi.
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Ccm ni wafaidika wa huu udictator, unategemea wajichurie? Yesu wa ccm anafamika na Kange Lugola alishamsema.

Vp yule Yesu wa Ufipa! Ukitaka kukosana nae sema unataka kugombea nafasi ya uenyekiti cha moto utakiona, nawaonea huruma sana wale waliojitokeza kupambana kipindi cha corona alafu wakatimuliwa kisa tu walienda bugeni? ndo maaana kigogo anaishia kuwatukana tu
 
Kama mwislaeri ni mzungu na yesu alizaliwa kwenye familia ya wazungu ni wazi kuwa yesu hakuwa mweusi kwa ajili ya movie tu.

Kwa kweli wewe ni li-CCM tu huwezi kuta CDM akili fupi za hivyo.

Vp shetani alitokea mkoa gan upande wa afrika?
 
Robert Amsterdam ni shujaa.

Ni mzungu mwema anayeitakia Afrika uongozi bora na siasa safi kwa maana hiyo anaitakia Afrika maendeleo!

Namuunga mkono Robert Amsterdam!

kuandamana mkashindwa, uchaguzi mkashindwa! sasahv ni mwendo wa kuandika threads, kwa lugha rahisi we call it last kick ya farasi asie na marinda
 
ningekuonyesha picha za Mambo anayofanya mtu unayemshabikia nawewe ungeonekana upo kama yeye.
 
Hata wakoloni walionekana kuwa nia juhudi hizihizi; walipogain ground, wakatutawala na kuwasomba watu wetu wakawatumikisha kama watumwa. Tayari umeliwa ubongo wewe.
 
Mungu ni fundi Sana kila TAIFA kaweka watu wake mahalum na kwa kazi mahalum, kuanzia kila TAIFA duniani kuwepo, historia ipo hivyo watu Kama ,Amsterdam,lissu malema, Bob wa unganda wapo kila taifa, duniani ni mpango wa mungu kwa watu Kama kuwepo,so mkuu naunga mkono kwa 100% andiko lako, watabeza Kama kawaida yao ila ukweli ndo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…