Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
- #21
Rudisheni hela za wazungu mlizokwapua!!Hatimae makamanda uchwara mmechoka kiakili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudisheni hela za wazungu mlizokwapua!!Hatimae makamanda uchwara mmechoka kiakili.
Lazima roho ziwaume.Hivi kumbe we fala kiasi hiki. Nlikuwanakurank pakubwa sana.
www.empireofthedeceit.com
Isipokuwa CCM ya Magu!!Hakuna mzungu yoyote atakayepigania uhuru wa kweli wa Afrika, hakuna !
Mikopo ya wabunge ya magari mmepewa milioni 50 mwaka huu na wote mmeufyata kwakua wote mliingia bungeni kwa hisani ya mtu wa Chato.Hatimae makamanda uchwara mmechoka kiakili.
Anachoongea hapo kinadhibitisha kabisa yuko kutetea mtu mweusi tena hata dhidi ya wazungu wenzake na wachina pia.Kuna waafeika wachache wajinga sio kidogo wanaamini kabisa wazungu wanahanaika wa ajili ya mtu mweusi. Never leo salary slip nataka nikusaidie hautawaza kizembe hivo tenaView attachment 1631013
Mungu wabariki WazunguHuyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.
Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:
"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"
Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.
Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.
Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Ccm ni wafaidika wa huu udictator, unategemea wajichurie? Yesu wa ccm anafamika na Kange Lugola alishamsema.
Matagarubbish!
Kama mwislaeri ni mzungu na yesu alizaliwa kwenye familia ya wazungu ni wazi kuwa yesu hakuwa mweusi kwa ajili ya movie tu.
Kwa kweli wewe ni li-CCM tu huwezi kuta CDM akili fupi za hivyo.
proud matagaMataga
Robert Amsterdam ni shujaa.
Ni mzungu mwema anayeitakia Afrika uongozi bora na siasa safi kwa maana hiyo anaitakia Afrika maendeleo!
Namuunga mkono Robert Amsterdam!
ningekuonyesha picha za Mambo anayofanya mtu unayemshabikia nawewe ungeonekana upo kama yeye.Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.
Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:
"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"
Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.
Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.
Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Hata wakoloni walionekana kuwa nia juhudi hizihizi; walipogain ground, wakatutawala na kuwasomba watu wetu wakawatumikisha kama watumwa. Tayari umeliwa ubongo wewe.Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.
Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:
"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"
Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.
Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.
Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Mungu ni fundi Sana kila TAIFA kaweka watu wake mahalum na kwa kazi mahalum, kuanzia kila TAIFA duniani kuwepo, historia ipo hivyo watu Kama ,Amsterdam,lissu malema, Bob wa unganda wapo kila taifa, duniani ni mpango wa mungu kwa watu Kama kuwepo,so mkuu naunga mkono kwa 100% andiko lako, watabeza Kama kawaida yao ila ukweli ndo huoHuyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.