Pendekezo: Wakili wa Kimataifa, Robert Amsterdam apewe nishani ya kupigania haki, uhuru na utu wa mtu mweusi


Hoja yako ni nini hapa boss? Nimeishia kucheka kwa nguvu.
 
Akienda marekani akawafungulia kesi kwa kunyanyasa watu weusi ndionitaweza kumtathimini kama anafaa au hafai
Wewe huijui Marekani, Watu weusi ndio wanauawana wao kwa wao zaidi.

Polisi brutality wameuwa zaidi wazungu kuliko walivyouwa watu weusi.

Kinachowasumbuwa watu weusi ni ubaguzi, ona hata Tanzania nchi ya watu weusi usipokuwa ccm unabaguliwa na kuteswa.

Watu weusi ni wabaguzi kuliko wazungu nina ushahidi wa hili kwa 200%
 
Duuuu Ndugu yangu amka katika usingizi; tangu lini Amsterdam akawa na mapenzi na watu weusi? Ingekuwa hivyo angeanza kutetea Weusi wa USA, Ulaya, nk. Huyu Bwana hatupendi; anapenda kutunyonya mali zetu tuu. Ndiyo maana ataendelea kusema uongo ili afikie azma yake ya kuweka madarakani Vibaraka kama akina Lissu watakaomruhusu kupora mali zetu. HATUDANGANYIKI. Mungu yuko nasi hivyo tutashinda katika vita hii. Mola ametuwezesha kushinda corona na baadaye uchaguzi wetu ukawa huru na bila machafuko, sembuse hili; achana naye endelea kuchapa kazi.
 
Endeleeni kuweweseka na Hilo beberu lenu Amsterdam. Chadema mna ruzuku na zile mishahara ya wabunge mtunukieni huyo beberu.
 
Kinachoniumiza ni kuzidi kuona Wapumbavu wanazidi kuongezeka duniani!

Salary Slip sijui mlienda shule kweli? Ni aibu kuanzisha uzi kama huu!
Rubbish

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sina shaka zile tabia za amsterdam na wewe unazo, sio bure kabisa.
 
kuna watu wanafunga kwa maombi ila wanachadema wanafunga kuandika post. jitokezeni barabarani kuandamana hamtaki. Ila kwenye kufungua thread mpya tu mpo vizuri, keep it up
Hatutaki auwaji,watuue,hivyo tumeamua kutumia jukwaa lingine.
 
nikija sikia we jamaa ni shoga wala sitoshangaa..sio kwa kulamba miguu hivi mabeberu
 
Kinachoniumiza ni kuzidi kuona Wapumbavu wanazidi kuongezeka duniani!

Salary Slip sijui mlienda shule kweli? Ni aibu kuanzisha uzi kama huu!
Rubbish

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kinachonimiza mini ni kuona mashetani wenye miili ya kibinadamu wanavyoongezeka awamu hii, mashetani wasiojali utu wa watu wengine kisa madaraka na kutafuta uteuzi
 
kwahio na wewe umekaa unaamini propaganda zao? Kwamba yule jamaa aliigiza movie ndo mnasema ni Yesu? as always ni chadema! huezi kuta ccm wana mada kama izi
siku hizi wanamwita Tundu Lissu Mwokozii
 
Hoja zenu ni ushoga tu.CCM mna propaganda za kipuuzi kweli.
Ndo nasema kuwa puppet wa mabeberu huchelewi fanywa ushoga...nijibu kwanini Amsterdam and partner ni kampuni ya canada,ndege yetu ilikamatwa canada,barick gold makao makuu canadsa...Tundu Lissu katoka Ubelgiji kaenda canada...Na hii kampuni haichukui chini ya billion tano kama malipo unakuja na ujinga wa Pro-Borno...ni bange au Unyumbu

https://news.yahoo.com/ap-exclusive-maduro-taps-dc-173805542.html

The previous firm, Foley & Lardner, backed out of a $12.5 million, five-month contract after Scott in a letter urged his Senate colleagues to boycott the firm. In a filing with the U.S. Justice Department on Friday, Foley said it had transferred to Amsterdam & Partners all funds - a little more than $1 million - it has received from its client.
 
Hamna hoja nyie.Wauji na majizi ya pesa za watu.Rudisheni hela za watu.
 
Sishangai kabisa sisi kutetewa na wazungu, maana hata Yesu mwenyewe ni mzungu, na ndio ametukomboa.
Yesu ni mzungu?
Mkuu hivi kumbe una akili ndogo hivi?
 
Hao wana ela wanajisimamia wenyewe, iyo familia ya floyd I Cant Breath ina mwanasheria wake, wewe na familia yako mnaye mwanasheria??.

Anaangaika kutusaidia sisi tsokuwa na uwezo
Mbona hajamfungulia kesi Trump unakumbuka " I can't breath
 
Yes, kama Yesu kabisa. Ingia kanisa usikie anayejadiliwa humo, kama hujisikia huyo mzungu aitwaye Yesu kuwa ndio mkombozi wetu.
Unataka ajadiliwe muhamad?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…