Pengine kuna siku tutakutana na wapendwa wetu tena

Mi nahisi ni kweli,maana Kuna muda unafanya kitu au kuona Jambo....unahisi kama hicho kitu ulishawahi kufanya kabla au kuona kabla
Mkuu,

Mimi sio muamini katika reincarnation, ila ningependa kujua haswa nini hutokea endapo unajikuta katika hali/situation au mazingira ambapo ghafla akili inafunguka na unakumbuka kuwa hapa au hili si jambo linatokea leo kwa mara ya kwanza. Nimekuwepo/nimeliona au kulipitia hili hapo kabla.
 

Attachments


Hivi undugu ni jambo la limwili ama la karoho?
Mwili ni kasha la muda liharibikalol
Kifo kinatuachia majonzi makubwa ni maumivu. Nimejariwa uwezo flani kuna si

Duuh mmenikumbusha mbali kipindi cha uhai wangu!!
Nimemiss sana kuishi ila ndio hivyo tena
Mmh
Asante kwa burudani hii nimei download kabisa for future use
Bonus
Utanitag ukiweza nitafurahi sana
Your request is my command
 
Mwili ni kasha la muda liharibikalol



Mmh

Bonus

Your request is my command
Halafu mshana kwanini ukiniquote sipati notification?

Kuna jambo nimelisoma bbc swahili kuhusu marais wa kenya kuzozana na makamu wao wa rais wakiwa madarakani ilhali wakianza harakati zao za kuingia ikulu pamoja, imenishtua sana ujue, tangu kwa mzee Jomo mpaka wa sasa kitu ni hichohicho, hebu ichimbue kiroho hii ni kwanini inakuwa hivyo

Si kwa jirani zetu tu hata kwenye mafamilia hiyo kitu ipo km babu wa babu alifanya jambo fulani basi na vitukuu mtafuata uelekeo huo huo???? Kuna nguvu gani hapo
 

Hii app ngeni hata mimi inanitoa ushamba.. Hilo la malumbano naomba nilijibu kwenye post yake.. Hii ni ahadi ya pili.. Sitakuangusha na nitakualika
 
Hii app ngeni hata mimi inanitoa ushamba.. Hilo la malumbano naomba nilijibu kwenye post yake.. Hii ni ahadi ya pili.. Sitakuangusha na nitakualika
App ya gen z we njoo kwenye website tu mzee mwenzangu😜
 

Hii app ngeni hata mimi inanitoa ushamba.. Hilo la malumbano naomba nilijibu kwenye post ya
App ya gen z we njoo kwenye website tu mzee mwenzangu😜
Hahaha
 
Nataka nikufungue code leo,mtu akifa roho yake huwa inabaki hewani inaelea na inajua kila kitu, inawaona wapendwa zao na hata kama kuna watu waliidhuruma haki yake inaweza ikafanya mpaka malipizi
Mfano umemuuwa mtu atakuwa anakutokea kila wakati kwenye ndoto kukuulizia kwa nini uliniuwa?
Wakati mwingine kuna wale wanaozulumu mali za marehemu, bado roho za waliozurumiwa huwa zinapambana nao mpaka mwisho, unashaanga nyumba, magari, mashamba yanaishia kuungua bila sababu
Kwa hiyo tukifa hatupote, bali tutakuwepo kiroho zaidi kusubiria siku ya hukumu
 

Tunaweza kuwaombea kama walikua sehem mbaya basi maombi yetu yakawaponya na kuwaweka sehem salama Zaid?
 
Mtani kifo ni mwanzo sio mchakato.. Death is a state not a process .. Waliowahi kunusurika kifo wanajua hili.. Huko kifoni ni mbali sana barabara ni ndefu haina mwisho halafu haina watu wala wanyama
Nnliiiiiiik
 
Basi tuu Kuna ndg zangu wawili hua nikiwakimbuka najifungia chumbani naliaa afu natoka maisha yanaendelea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…