Pengine kuna siku tutakutana na wapendwa wetu tena

Unajidanganya mwenyewe
Ukichukia kufa tafsiri rahisi wew unachukia kuishi.
Maana kifo ni sehemu ya maisha.
Na usipokipenda kwa moyo wako wote unakosa ladha ya kuishi .

Umenikumbusha sana kipindi cha uhai wangu
Vip mkuu? ulipo Kuna jamaa angu mmoja alkufariki 2015 anaitwa Dennis mariki yupo hapo ulipo?
 
Maadui wakubwa wa sisi binadamu ni wafuatao:
1. Shetani
2. Kifo
3. Sisi wenyewe (watu)

Si maradhi, umaskini wala ujinga!

Hadi sasa ni Yesu pekee aliyewashinda hao maadui watatu: shetani, kifo na watu. Sisi wenyewe hatuwezi kumshinda shetani, kifo au mtu (adui wa mtu ni mtu!).
 
Ndio
 

Hii app ngeni hata mimi inanitoa ushamba.. Hilo la malumbano naomba nilijibu kwenye post ya
App ya gen z we njoo kwenye website tu mzee mwenzangu😜
Hahaha
View attachment 3109095
the first day in the grave!!!. daah huwa nikiwaza hii kitu naogopa sanaa, napata wasiwasi mkubwa
Halafu ujue kaburini ni mbali sana ukilala ndani yake na kuangalia juu
 
Mtu akifa ndio imetoka hamna tena kukutana Wala kuishi.. ni chakula cha wadudu na mbolea Kwa miti
Binadamu hua tunapenda kujifariji. Hua tunajipa moyo kwamba kuna lengo fulani la ziada la maisha, kwamba kuna mambo mazuri yanakuja baada ya maisha haya.

Ukweli unabaki kwamba, kama jinsi ambavyo hukuwahi kuwepo, wala kujua chochote kabla ya kuzaliwa, vivyo hivyo hautakuwepo, wala hautajua chochote baada ya kifo.
 
Mimi huwa nashtuka tu na kupotezea
 
E
Ewe kaka angu mshana paragraph ya mwisho umepatia lakini hyo ya mwanzo imejaa nadharia za ungo kama wachangiaji wengi walivyo changia why?, hawa elezei tukio la kufa na hitimisho baada ya kufa, ngoja nikupe mfano mmoja walau upate concept ipi nadharia ya kweli mafundisho ya mtume Muhammad (s.a.w) yana sisitiza kusoma dua unapotaka kulala,ukiamka ghafla usiku na asubuhi pia usingizi ni nusu ya kifo na yeye alitoa nadharia hizi miaka 1500 na leo wataalam wa wa sayansi wamekuja kuyakubali maneno yake baada ya wao kufanya utafiti wa muda mrefu kuhusu vifo vya usingizini, a part from that hakuna kitabu kilocho eleza in deep kuhusu kifo na baada ya kifo isipokuwa Quran kariim, tena imeweka na mifano mingi, maana haya maswali yalisha ulizwa sna na watu wa zama hizo kama ambavyo tunavyo ulizana hapa na ndio maana Allah (s.w) akaweka clearly kupitia mtume Muhammad (s.a.w) , kuhusu kuonana baada ya kufa, tutaonana na wapendwa wetu lakini Kwa Uzito wa siku hyo tutakimbiana, why?, kila mtu analo linalo mshughulisha hvo kila mtu ana haya na huzuni (anaogopa lawama, majukumu ambayo haku tekeleza duniani hvo mtu hato kubali iwe Mtoto,baba,mama au mke), la mwisho hautaji roho mtakatifu (mfano) ili uilewe isipokuwa unahitaji akili tu Ili uilewe Quran kariim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…