Pengine kwenye hili wataona haya ama wataona aibu

Bi Chura ametoa pole akiwa angani.

Mkuu.
Hatuna serikali. Tuna kikundi cha watu wasiojali thamani ya maisha ya watu
Kifo ni kifo tuupe na majanga ni majanga tuu.. Haviwezi kuzuia ratiba muhimu😭
 
Nadhani si mjinga tuu bali ni MtC..
 
Hahaha kwenye hili msimseme MAMA yuko safarini, tuwaseme aliowaachia majukumu. Hawezi kujigawa kwenye kila kitu. Na hata kama angekuwepo labda asingeingia kuokoa majeruhi, wangekuwepo hawahawa waliopo leo. Tulilie mpangilio mzuri ku deal na majanga yanapotokea.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Nimeona ni hatari sana. Tunahitaji coordination nzuri, na vifaa pia, kuokoa kwa mikono hii inaweza isiwe uokoaji bali kuua,kwa kuwazika wakiwa hai.
Sahihi kabisa
 
Niliona pole ya Mheshimiwa huku akiwa on the way, sikushangaa nikajua labda she's not well.

Pole sana kwa ajili ya King Kiki.

Pole nyingi sana wahanga wa Kariakoo kwa kupoteza watu na mali.

Pole Mshana Jr
 
Hayawani hawana aibu na hawajui vibaya
 

Attachments

  • FB_IMG_1644236040854.jpg
    15.8 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1616545580714.jpg
    90.9 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1570958487510.jpg
    9.8 KB · Views: 1
  • JamiiForums2012770947.png
    68.8 KB · Views: 1
Niliona pole ya Mheshimiwa huku akiwa on the way, sikushangaa nikajua labda she's not well.

Pole sana kwa ajili ya King Kiki.

Pole nyingi sana wahanga wa Kariakoo kwa kupoteza watu na mali.

Pole Mshana Jr
Asante sana mtani wangu

Hawa Ni Baadhi Ya Rafiki Zetu Waliotangulia Mbele Ya Haki Kwenye Ajali Ya Kuporomoka Kwa Ghorofa Leo Asubuhi.
"Kwaherini Wanetu Tunaonana Tena Baadae🙏💔🕊
 
Chadema kuweni na utu acheni kutumia majanga na misiba ya watu kujinufaisha kisiasa
 
Ukiwa COMMON MAN Moja kwa moja unakua kwenye group la NYUMBU ni mwendo wa kuswagwa huku na kule..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…