Pengine Unamsikia tu Shetani Juu juu. Humfahamu Vizuri na Unasema ni Adui Yako

Mkuu naomba na mm nitie neno hapa.
Ungesoma mpaka mwisho nadhan ungeandika tofauti.
Katka uandishi au usimulizi huwez andika au kusinulia kama kilivyoandikwa sehemu.
Mwandishi kuandika kiwa shetan alikuwa na nguvu kama waziri mkuu nadhan hajamaanisha shetani alikuwa waziri mkuu ila anajaribu kuonesha nguvu na madaraka alokuwa nayo shetani.
Kama ntakuwa nipo kinyume na mtoa mada atanisahihisha pia wewe

Pili kule jangwani shetani alikuwa na Yesu na hata alipomchukua hadi kwenye kinara na kumwonesha zile milka na akamwambia ukinisujudia milki yote na vyote nitakupa.

Ukisoma ayubu unaona shetan alikuwa anazunguka zunguka duniani na aliweza kuwa na hata na famlia ya ayubu na akaijua vyema na alipokuwa na Mungu aliweza kujibu swali la Mungu. Hasa alipoulizwa kama amemona mtumishi wake Ayubu.

Kiufup maandiko n meng ila tujitahid kuyasoma na kuyaelewa na kuyaishi.
Sisi sote ni wa Mungu na tunatamani kurudi kwake salama. Kama kunamakosa ya kiuandishi na kimitizamo hayo n ya kawaida katika neno la Mungu.
 
Mungu alitaka kumwonesha shetani kuwa na mm nina watu katika nchi ile. Sasa tujiulize Mungu akitaka kumwonesha shetan kuwa mm na weww ni watu wakamilifu tutamwaibisha au tutamwakilisha vyemaa? Mungu atutie nguvu na rehema zake.
Sitamani hayo majaribu naomba Mungu asiniache maana sijui itakuwaje
 
Bro mi nimeonjeshwa nukta ndogo tu ya unga wa ngano kwa alichopitia Ayubu nimechemka saa hii natafuta sehemu nilipoipoteza imani yangu ya mwanzano kwa Mungu
 
Ahsante Sana ndugu yangu uchira . Umefafanua vizuri sana
 
Upo sawa kabisa ndugu yangu
 
Ni hatari Sana mambo ya Ulimwengu wa roho
 
Huu ni ukweli na jamaa amemwambia sana japo hilo la kuwaogopa akina Samael na Azael halijaandikwa kwenye hivyo vitabu ulivyovitaja. Umetunga na kutudanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…