Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,308
- 21,507
Tupige kura kwa kupanga mstari kwenye picha ya kiongozi husika halafu ndo utajua upepo ukoje!Chadema upepo umebadilika...2020 mtalia zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupige kura kwa kupanga mstari kwenye picha ya kiongozi husika halafu ndo utajua upepo ukoje!Chadema upepo umebadilika...2020 mtalia zaidi
Upepo umebadilikaje? Mbona wananchi huku "field" wako na CHADEMA bega kwa bega? Waza tu CHADEMA haifanyi hata mkutano mmoja bado mnahemewa jee na yenyewe ikiwa majukwaani si ndiyo kitakuwa kiyama chenu?Chadema upepo umebadilika...2020 mtalia zaidi
Umechemka, papa, pengo na mleta mada ni sawa mbele ya mungu na kanisa ni mapokeo kwa hiyo mleta mada anao uwezo wa kulielewa kanisa katoliki kuliko pengo, kama wewe unavyo ijua katiba ya CCM kuliko viongozi wengi wa CCm wakati wewe sio kiongozi.
Lakini hizo takwimu hazihalalishi kauli kakasi toka kwa Askofu Pengo!!Hapo uko sawa, lkn kumbuka tunaongelea Kanisa Katoliki ambalo Mkuu wake ni Papa, ukitoka nje ya Kanisa Katoliki unaweza kumkwepa Papa lkn siyo ndani, na pia Kanisa Roma lina wafuasi 1.23 billion Duniani kati Binadamu Billioi 7, na hawa wote 1.24 billion Mkuu wao ni Papa!
Mwanahabari Huru
Askofu Pengo unafiki sio sehemu yetu wakatoliki, sikutaka kuandika chochote kuhusiana na wewe, mimi nimebatizwa katika RC nimekuwa muumini mkubwa, nimesoma shule ya Upadri St Mary's Seminary, ninaijua Rc.
Nimesikitishwa sana na kauli zako za kipuuzi, zilizo jaa unafiki, tumekusikia sana ukijipambanua kuwa wewe si muumini wa mabadiliko, tuambie upande wako ni UPI.
Askofu wangu Pengo umemjibu Askofu Niwemugizi alie jitokeza hadhalani na kusema watanzania wanataka katiba mpya, umefufuka ulikotoka na kumshambulia Askofu kuwa katiba au maneno ya Askofu sio msimamo wa RC lakini hakusema kuwa ni msimamo wa RC. Lakini unajua Askofu Niwemugizi si msemaji wa Rc, maana yake alisema kama Mawazo yake kikatiba, na wewe unamjua msemaji wa RC ulitaka kutafuta uhalali wa kujibu mashambulizi la watawala, of target.
Naona umetoka kwa kasi sana kujibu shambulizi hill!,! Lakini hutoki hadhalani kuonya matukio ya kuuwawa kwa watanzania na kutupwa kwenye maji wakiwa wamefungwa mikono Nyuma, wanaopigwa Risasi kama kina tundu Lissu, kuonya viongozi wanao toa maneno ya kibaguzi na kikabila, huwezi kuonya kufokea au kushauri, kazi yako imekuwa ni kujibu mashambulizi kwa wanao ikosoa serikali,
Au unavyeti feki? Unamiliki Mali zisizo halali? Kiongozi wa kiroho unashindwa kujua nini wajibu wako? Sio mala ya kwanza kupingwa na maaskofu wenzio akiwepo Gwajima na kupelekana mahakamani ambapo Askofu Gwajima alikushinda kesi.
Viongozi wa dini simamieni haki na sio unafiki kujipendekeza kama mnataka ubunge, au teuzi za kina mama Lwakatale sawa, Hata mkitaka usemaji wa Ccm nafasi za kina polepole.
Swali la Kizushi: WATU WASIOJULIKANA WANATOKEA RWANDA PREY FOR TUNDU LISSU
Ishu hapo ni hoja, hayo mambo ya kujuana hayana tija katika taifa, kama mnafiki asiambiwe [emoji30] eti kisa anamjua papa na kuongea naye kwa simu [emoji36] hebu badilika acha fikra mgando....Wewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
Lakini hizo takwimu hazihalalishi kauli kakasi toka kwa Askofu Pengo!!
Mwanahabari Huru
Askofu Pengo unafiki sio sehemu yetu wakatoliki, sikutaka kuandika chochote kuhusiana na wewe, mimi nimebatizwa katika RC nimekuwa muumini mkubwa, nimesoma shule ya Upadri St Mary's Seminary, ninaijua Rc.
Nimesikitishwa sana na kauli zako za kipuuzi, zilizo jaa unafiki, tumekusikia sana ukijipambanua kuwa wewe si muumini wa mabadiliko, tuambie upande wako ni UPI.
Askofu wangu Pengo umemjibu Askofu Niwemugizi alie jitokeza hadhalani na kusema watanzania wanataka katiba mpya, umefufuka ulikotoka na kumshambulia Askofu kuwa katiba au maneno ya Askofu sio msimamo wa RC lakini hakusema kuwa ni msimamo wa RC. Lakini unajua Askofu Niwemugizi si msemaji wa Rc, maana yake alisema kama Mawazo yake kikatiba, na wewe unamjua msemaji wa RC ulitaka kutafuta uhalali wa kujibu mashambulizi la watawala, of target.
Naona umetoka kwa kasi sana kujibu shambulizi hill!,! Lakini hutoki hadhalani kuonya matukio ya kuuwawa kwa watanzania na kutupwa kwenye maji wakiwa wamefungwa mikono Nyuma, wanaopigwa Risasi kama kina tundu Lissu, kuonya viongozi wanao toa maneno ya kibaguzi na kikabila, huwezi kuonya kufokea au kushauri, kazi yako imekuwa ni kujibu mashambulizi kwa wanao ikosoa serikali,
Au unavyeti feki? Unamiliki Mali zisizo halali? Kiongozi wa kiroho unashindwa kujua nini wajibu wako? Sio mala ya kwanza kupingwa na maaskofu wenzio akiwepo Gwajima na kupelekana mahakamani ambapo Askofu Gwajima alikushinda kesi.
Viongozi wa dini simamieni haki na sio unafiki kujipendekeza kama mnataka ubunge, au teuzi za kina mama Lwakatale sawa, Hata mkitaka usemaji wa Ccm nafasi za kina polepole.
Swali la Kizushi: WATU WASIOJULIKANA WANATOKEA RWANDA PREY FOR TUNDU LISSU
Uko nje ya mada, mtoa mada haongelei kuongea na cm na papa, halafu by the way who is papa?we unamuona papa mtu muhimu sana? Huu bado ni utumwa wa fikraWewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
Kwani kuongea napapa ndo nini sasa
Pengo anakuwa mungu au
Unajua ni kwa nini Paulo Mtume kuna wakati alikuwa anasema maneno haya' Hapa ni mimi wala si Bwana"? Paulo Mtume alijua wakati mwingine anatoa maoni kama yeye binafsi na si kama Mtume wa Kristo.Ni swala la mtazamo tu, kwako ni kauli ya ukakasi kwa wengine ni kauli ya Mungu kwani Kardinali ni mtumishi wa Mungu ambaye ameteuliwa na Mungu kuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki hivyo sauti yake ni sauti ya Mungu kwa wafuasi wa Kanisa Katoliki!
Ishu hapo ni hoja, hayo mambo ya kujuana hayana tija katika taifa, kama mnafiki asiambiwe [emoji30] eti kisa anamjua papa na kuongea naye kwa simu [emoji36] hebu badilika acha fikra mgando....
Unajua ni kwa nini Paulo Mtume kuna wakati alikuwa anasema maneno haya' Hapa ni mimi wala si Bwana"? Paulo Mtume alijua wakati mwingine anatoa maoni kama yeye binafsi na si kama Mtume wa Kristo.
Kadinali Pengo kama anataka kuongea kama mwana CCM awe anasema "hapa naongea kama mwana CCM na si kama Askofu" na watu tutamwelewa!
Huyo askofu kama unataka asijibiee yeye?? nani kama anakosewa ataelezwa tu hata awe pengo au mwanya [emoji31]Hiyo shule ya Upadri uliyosoma ipo mkoa gani? Acha mambo yako ya ajabu kumuhusisha Askofu na siasa zenu chafu, unatafuta huruma kwa kanisa.
Mwanahabari Huru
Askofu Pengo unafiki sio sehemu yetu wakatoliki, sikutaka kuandika chochote kuhusiana na wewe, mimi nimebatizwa katika RC nimekuwa muumini mkubwa, nimesoma shule ya Upadri St Mary's Seminary, ninaijua Rc.
Nimesikitishwa sana na kauli zako za kipuuzi, zilizo jaa unafiki, tumekusikia sana ukijipambanua kuwa wewe si muumini wa mabadiliko, tuambie upande wako ni UPI.
Askofu wangu Pengo umemjibu Askofu Niwemugizi alie jitokeza hadhalani na kusema watanzania wanataka katiba mpya, umefufuka ulikotoka na kumshambulia Askofu kuwa katiba au maneno ya Askofu sio msimamo wa RC lakini hakusema kuwa ni msimamo wa RC. Lakini unajua Askofu Niwemugizi si msemaji wa Rc, maana yake alisema kama Mawazo yake kikatiba, na wewe unamjua msemaji wa RC ulitaka kutafuta uhalali wa kujibu mashambulizi la watawala, of target.
Naona umetoka kwa kasi sana kujibu shambulizi hill!,! Lakini hutoki hadhalani kuonya matukio ya kuuwawa kwa watanzania na kutupwa kwenye maji wakiwa wamefungwa mikono Nyuma, wanaopigwa Risasi kama kina tundu Lissu, kuonya viongozi wanao toa maneno ya kibaguzi na kikabila, huwezi kuonya kufokea au kushauri, kazi yako imekuwa ni kujibu mashambulizi kwa wanao ikosoa serikali,
Au unavyeti feki? Unamiliki Mali zisizo halali? Kiongozi wa kiroho unashindwa kujua nini wajibu wako? Sio mala ya kwanza kupingwa na maaskofu wenzio akiwepo Gwajima na kupelekana mahakamani ambapo Askofu Gwajima alikushinda kesi.
Viongozi wa dini simamieni haki na sio unafiki kujipendekeza kama mnataka ubunge, au teuzi za kina mama Lwakatale sawa, Hata mkitaka usemaji wa Ccm nafasi za kina polepole.
Swali la Kizushi: WATU WASIOJULIKANA WANATOKEA RWANDA PREY FOR TUNDU LISSU
Kristo amejaa unyenyekevu wa hali ya juu sana, lakini maneno yako haya ni kama vile unataka watu wawatukuze Papa na kadinali Pengo! Jee Kadinali Pengo na Papa si binadamu waliojaa madhaifu kama tulivyo sisi kwa ivo kukosea ni jambo linalotegemewa?Wewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?