Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

Umechemka, papa, pengo na mleta mada ni sawa mbele ya mungu na kanisa ni mapokeo kwa hiyo mleta mada anao uwezo wa kulielewa kanisa katoliki kuliko pengo, kama wewe unavyo ijua katiba ya CCM kuliko viongozi wengi wa CCm wakati wewe sio kiongozi.

Siyo kweli! Mleta Mada hawezi kulielewa Kanisa Katoliki na mambo yake jinsi linavyofanya kazi kuliko Pengo kwani hana access yoyote!

Usichanganye Kanisa Katoliki na Imani kwa ujumla wake, Kanisa Katoliki limeanzishwa na Binadamu ni Dola kamili kama vile Serikali ya Tanzania na halina uhusiano na Yesu kwani Yesu hakuanzisha Kanisa lolote lile hapa Duniani!

Hivyo kusema mleta Mada analielewa Kanisa Katoliki klk Kardinali wa Kanisa Katoliki ni sawa na kusema Kubenea anailewa Dola ya Tanzania kuliko WM Majaliwa!
 
Hapo uko sawa, lkn kumbuka tunaongelea Kanisa Katoliki ambalo Mkuu wake ni Papa, ukitoka nje ya Kanisa Katoliki unaweza kumkwepa Papa lkn siyo ndani, na pia Kanisa Roma lina wafuasi 1.23 billion Duniani kati Binadamu Billioi 7, na hawa wote 1.24 billion Mkuu wao ni Papa!
Lakini hizo takwimu hazihalalishi kauli kakasi toka kwa Askofu Pengo!!
 
Mwanahabari Huru

Askofu Pengo unafiki sio sehemu yetu wakatoliki, sikutaka kuandika chochote kuhusiana na wewe, mimi nimebatizwa katika RC nimekuwa muumini mkubwa, nimesoma shule ya Upadri St Mary's Seminary, ninaijua Rc.

Nimesikitishwa sana na kauli zako za kipuuzi, zilizo jaa unafiki, tumekusikia sana ukijipambanua kuwa wewe si muumini wa mabadiliko, tuambie upande wako ni UPI.

Askofu wangu Pengo umemjibu Askofu Niwemugizi alie jitokeza hadhalani na kusema watanzania wanataka katiba mpya, umefufuka ulikotoka na kumshambulia Askofu kuwa katiba au maneno ya Askofu sio msimamo wa RC lakini hakusema kuwa ni msimamo wa RC. Lakini unajua Askofu Niwemugizi si msemaji wa Rc, maana yake alisema kama Mawazo yake kikatiba, na wewe unamjua msemaji wa RC ulitaka kutafuta uhalali wa kujibu mashambulizi la watawala, of target.

Naona umetoka kwa kasi sana kujibu shambulizi hill!,! Lakini hutoki hadhalani kuonya matukio ya kuuwawa kwa watanzania na kutupwa kwenye maji wakiwa wamefungwa mikono Nyuma, wanaopigwa Risasi kama kina tundu Lissu, kuonya viongozi wanao toa maneno ya kibaguzi na kikabila, huwezi kuonya kufokea au kushauri, kazi yako imekuwa ni kujibu mashambulizi kwa wanao ikosoa serikali,

Au unavyeti feki? Unamiliki Mali zisizo halali? Kiongozi wa kiroho unashindwa kujua nini wajibu wako? Sio mala ya kwanza kupingwa na maaskofu wenzio akiwepo Gwajima na kupelekana mahakamani ambapo Askofu Gwajima alikushinda kesi.

Viongozi wa dini simamieni haki na sio unafiki kujipendekeza kama mnataka ubunge, au teuzi za kina mama Lwakatale sawa, Hata mkitaka usemaji wa Ccm nafasi za kina polepole.

Swali la Kizushi: WATU WASIOJULIKANA WANATOKEA RWANDA PREY FOR TUNDU LISSU

Nakupongeza kwa uliyoyaandika. Na nakupa hapa nyongeza:

1. Kwa waliosoma walau classical philosophy, Pengo is INSTRINSICALLY EVIL. Hiyo yatosha kumwelezea alivyo.
2. Askofu Niwemugizi ana mamlaka kamili na timilifu ndani ya Jimbo la Rulenge. Ana haki na wajibu wa kulisemea jimbo la Rulenge. Anakuwa summoned na Papa peke yake.
3. Pengo ni mkuu wa jimbo la Dar es Salaam peke yake. SIO mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania.
4. Pengo wala sio Rais wa Baraza la Maaskofu wa Tanzania ambaye ndiye "msemaji" wa kanisa la Tanzania.

Niwape mfano... Pengo amewatenga wanamaombi...lakini hao wanamaombi wakiwa nje ya Dar es Salaam ni waamini halali katika majimbo mengine.
 
Wewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
Ishu hapo ni hoja, hayo mambo ya kujuana hayana tija katika taifa, kama mnafiki asiambiwe [emoji30] eti kisa anamjua papa na kuongea naye kwa simu [emoji36] hebu badilika acha fikra mgando....
 
Lakini hizo takwimu hazihalalishi kauli kakasi toka kwa Askofu Pengo!!

Ni swala la mtazamo tu, kwako ni kauli ya ukakasi kwa wengine ni kauli ya Mungu kwani Kardinali ni mtumishi wa Mungu ambaye ameteuliwa na Mungu kuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki hivyo sauti yake ni sauti ya Mungu kwa wafuasi wa Kanisa Katoliki!
 
Huyu jamaa amekuwa km mchungaji wa mshahara akiona fisi hukimbia na kuwaacha kondoo, bali bishop Niwemugizi mchungaji mwema kaamua kupambana na hao fisi na mbwa mwitu kuokoa kondoo wake wasitawanywe...!
 
Mwanahabari Huru

Askofu Pengo unafiki sio sehemu yetu wakatoliki, sikutaka kuandika chochote kuhusiana na wewe, mimi nimebatizwa katika RC nimekuwa muumini mkubwa, nimesoma shule ya Upadri St Mary's Seminary, ninaijua Rc.

Nimesikitishwa sana na kauli zako za kipuuzi, zilizo jaa unafiki, tumekusikia sana ukijipambanua kuwa wewe si muumini wa mabadiliko, tuambie upande wako ni UPI.

Askofu wangu Pengo umemjibu Askofu Niwemugizi alie jitokeza hadhalani na kusema watanzania wanataka katiba mpya, umefufuka ulikotoka na kumshambulia Askofu kuwa katiba au maneno ya Askofu sio msimamo wa RC lakini hakusema kuwa ni msimamo wa RC. Lakini unajua Askofu Niwemugizi si msemaji wa Rc, maana yake alisema kama Mawazo yake kikatiba, na wewe unamjua msemaji wa RC ulitaka kutafuta uhalali wa kujibu mashambulizi la watawala, of target.

Naona umetoka kwa kasi sana kujibu shambulizi hill!,! Lakini hutoki hadhalani kuonya matukio ya kuuwawa kwa watanzania na kutupwa kwenye maji wakiwa wamefungwa mikono Nyuma, wanaopigwa Risasi kama kina tundu Lissu, kuonya viongozi wanao toa maneno ya kibaguzi na kikabila, huwezi kuonya kufokea au kushauri, kazi yako imekuwa ni kujibu mashambulizi kwa wanao ikosoa serikali,

Au unavyeti feki? Unamiliki Mali zisizo halali? Kiongozi wa kiroho unashindwa kujua nini wajibu wako? Sio mala ya kwanza kupingwa na maaskofu wenzio akiwepo Gwajima na kupelekana mahakamani ambapo Askofu Gwajima alikushinda kesi.

Viongozi wa dini simamieni haki na sio unafiki kujipendekeza kama mnataka ubunge, au teuzi za kina mama Lwakatale sawa, Hata mkitaka usemaji wa Ccm nafasi za kina polepole.

Swali la Kizushi: WATU WASIOJULIKANA WANATOKEA RWANDA PREY FOR TUNDU LISSU

....PREY FOR TUNDU LISSU ndiyo kitu gani????PREY?????dah...anyway...Ila Ndugu yangu siyo wakati wote unalazimika kutoa comment humu...Kanisa Katoliki, ni kubwa ...uwe makini unapotoa comment dhidi ya kanisa Katoliki na hasa kiongozi wa Kanisa kama vile Kardinali Pengo...be very careful....wakati mwingine ni vema unyamaze... Wakatoliki watanielewa nina maana gani...Tuweke siasa pembeni...
 
Wewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
Uko nje ya mada, mtoa mada haongelei kuongea na cm na papa, halafu by the way who is papa?we unamuona papa mtu muhimu sana? Huu bado ni utumwa wa fikra
 
Ni swala la mtazamo tu, kwako ni kauli ya ukakasi kwa wengine ni kauli ya Mungu kwani Kardinali ni mtumishi wa Mungu ambaye ameteuliwa na Mungu kuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki hivyo sauti yake ni sauti ya Mungu kwa wafuasi wa Kanisa Katoliki!
Unajua ni kwa nini Paulo Mtume kuna wakati alikuwa anasema maneno haya' Hapa ni mimi wala si Bwana"? Paulo Mtume alijua wakati mwingine anatoa maoni kama yeye binafsi na si kama Mtume wa Kristo.

Kadinali Pengo kama anataka kuongea kama mwana CCM awe anasema "hapa naongea kama mwana CCM na si kama Askofu" na watu tutamwelewa!
 
Ishu hapo ni hoja, hayo mambo ya kujuana hayana tija katika taifa, kama mnafiki asiambiwe [emoji30] eti kisa anamjua papa na kuongea naye kwa simu [emoji36] hebu badilika acha fikra mgando....

Nje ya Kanisa Katoliki una haki ya kusema chochote lkn ndani ya Kanisa Katoliki Papa ni mtumishi wa Mungu, ameteuliwa na Mungu kuongoza Binadamu billioni 1.23 wakiwemo Wakatoliki wa Tanzania!
 
Kinachotia shaka enzi za kikwete kabisa hili lilikua mbele kukosoa lkn Tangu alipoingia mkatoriki du! Kimyaaaaaaaaa totolo.
Hivi nini kimelisibu wajameni?????
 
Unajua ni kwa nini Paulo Mtume kuna wakati alikuwa anasema maneno haya' Hapa ni mimi wala si Bwana"? Paulo Mtume alijua wakati mwingine anatoa maoni kama yeye binafsi na si kama Mtume wa Kristo.

Kadinali Pengo kama anataka kuongea kama mwana CCM awe anasema "hapa naongea kama mwana CCM na si kama Askofu" na watu tutamwelewa!

Kwa Wakatoliki Kardinali ni mtumishi wa Mungu, anateuliwa na Mungu baada ya kushukiwa na roho Mtakatifu hivyo sauti yake ni Sauti ya Mungu kwa Wakatoliki!
 
Hiyo shule ya Upadri uliyosoma ipo mkoa gani? Acha mambo yako ya ajabu kumuhusisha Askofu na siasa zenu chafu, unatafuta huruma kwa kanisa.
Huyo askofu kama unataka asijibiee yeye?? nani kama anakosewa ataelezwa tu hata awe pengo au mwanya [emoji31]
 
Mwanahabari Huru

Askofu Pengo unafiki sio sehemu yetu wakatoliki, sikutaka kuandika chochote kuhusiana na wewe, mimi nimebatizwa katika RC nimekuwa muumini mkubwa, nimesoma shule ya Upadri St Mary's Seminary, ninaijua Rc.

Nimesikitishwa sana na kauli zako za kipuuzi, zilizo jaa unafiki, tumekusikia sana ukijipambanua kuwa wewe si muumini wa mabadiliko, tuambie upande wako ni UPI.

Askofu wangu Pengo umemjibu Askofu Niwemugizi alie jitokeza hadhalani na kusema watanzania wanataka katiba mpya, umefufuka ulikotoka na kumshambulia Askofu kuwa katiba au maneno ya Askofu sio msimamo wa RC lakini hakusema kuwa ni msimamo wa RC. Lakini unajua Askofu Niwemugizi si msemaji wa Rc, maana yake alisema kama Mawazo yake kikatiba, na wewe unamjua msemaji wa RC ulitaka kutafuta uhalali wa kujibu mashambulizi la watawala, of target.

Naona umetoka kwa kasi sana kujibu shambulizi hill!,! Lakini hutoki hadhalani kuonya matukio ya kuuwawa kwa watanzania na kutupwa kwenye maji wakiwa wamefungwa mikono Nyuma, wanaopigwa Risasi kama kina tundu Lissu, kuonya viongozi wanao toa maneno ya kibaguzi na kikabila, huwezi kuonya kufokea au kushauri, kazi yako imekuwa ni kujibu mashambulizi kwa wanao ikosoa serikali,

Au unavyeti feki? Unamiliki Mali zisizo halali? Kiongozi wa kiroho unashindwa kujua nini wajibu wako? Sio mala ya kwanza kupingwa na maaskofu wenzio akiwepo Gwajima na kupelekana mahakamani ambapo Askofu Gwajima alikushinda kesi.

Viongozi wa dini simamieni haki na sio unafiki kujipendekeza kama mnataka ubunge, au teuzi za kina mama Lwakatale sawa, Hata mkitaka usemaji wa Ccm nafasi za kina polepole.

Swali la Kizushi: WATU WASIOJULIKANA WANATOKEA RWANDA PREY FOR TUNDU LISSU

Huyu askofu ni mgonjwa mwacheni maana hata kwa jumbo lake tu la DSM kavuruga kisa anajua anaumwa and he has nothing to loose wakatoliki dar tumemchoka kwa unafiki wake,mwanzo alimsapoti Linda eti kwa sababu katokea anakotoka yeye
 
Wewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
Kristo amejaa unyenyekevu wa hali ya juu sana, lakini maneno yako haya ni kama vile unataka watu wawatukuze Papa na kadinali Pengo! Jee Kadinali Pengo na Papa si binadamu waliojaa madhaifu kama tulivyo sisi kwa ivo kukosea ni jambo linalotegemewa?

Unajua ni kwa nini Paulo Mtume alimkemea na kumfokea Mtume Petro kwenye mambo ya Tohara?
 
Back
Top Bottom