Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

Kardinali alimshtaki Askofu Gwajima!!!
Na Kadinali alishindwa Mahakamani.

Kuna ukweli hapo? Au ndo Yale yale
 
Ngoja Nayeye Watu Wasio Julikana Wamtokee Ndipo Atapata Majibu Hao Waumini Endapo Hawana amani Wataendaje Huko Kanisani Ana Bweteka Na Cheo Chake Hivi Vyeo ni Dhamana tu 'He should wait until he sees the church is empty with no Pledges. This will wake him up''
 
Wew jamaa ni msema kweli
Nakushauli tafuta elimu
 
Nje ya Kanisa Katoliki una haki ya kusema chochote lkn ndani ya Kanisa Katoliki Papa ni mtumishi wa Mungu, ameteuliwa na Mungu kuongoza Binadamu billioni 1.23 wakiwemo Wakatoliki wa Tanzania!

MUNGU alikwambia lini kwamba amemteua Papa Ndani ya kanisa katoliki au umejitungia
 
Anakaribia kustaafu we mwache aongee tu
Hata yeye kauli yake haina mamlaka yoyote ndani ya kanisa katoliki
Utawala uko kwa baraza lile TEC
 
Kurekebusha katiba ya chama chenu mmeshindwa mtaweza ya nchi!
Katiba ya nchi "inarekebushwa" na wananchi na wala si wanachama wa vyama vya siasa peke yao!

CCM bwana yaani akili zenu haziwezi kutoka nje ya mzingo wa vyama vya siasa. Yaani kama vile mnadhani watanzania wote wako bize na mambo ya vyama vya siasa!
 
....Kwa mujibu wa utafiti wa Twaweza ni chama gani chenye wanachama wengi vilaza? Kumbuka utafiti hupingwa kwa utafiti na siyo kwa nyimbo za taarabu.
 
Mm n mRc kwa vigezo vyote vya kanisa katoliki ila naudhiwa na kukerwa na viongozi wa kanisa lang hasa kukemea maovu
N wanafiki kuliko ata unafiki wenyewe
Anyway wako busy kuongeza sadaka
 
Hiyo shule ya Upadri uliyosoma ipo mkoa gani? Acha mambo yako ya ajabu kumuhusisha Askofu na siasa zenu chafu, unatafuta huruma kwa kanisa.

Mkuu hamna viongoz wanafiki kama wa kanisa katoliki
 
Wewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
Ndugu yangu cheo cha ukadinali hakina maana yoyote zaidi ya kuchagua kiongozi mkuu wa kanisa
Kanisa linajitegemea kila nchi

Na hapa tanzania kanisa linaongozwa na baraza lile la maaskofu kuanzia rais, makamu,katibu,msemaji,mweka hazina na vitengo mbalimbali vya afya, elimu,dini,uinjilishaji,mahusiano na kadhalika
Pengo hapa Tanzania ni askofu mkuu wa Dar es salam

Kitengo ambacho atakiachia muda sio mrefu kwa kuwa muda wa kustaafu unakaribia

Lakini kingine pengo ni mwana ccm
So sishangai anapomtetea magufuli huku akisahau kazi yake kuu ni kuonya maovu yanayotokea nchini
Atajua yeye na Mungu wake
 
Ila ule ni msimamo wake binafsi sio wa waumini wote, pia ye si msemaji wa kanisa.
 
Hao mapadrii wa kikatoliki sii ndio wanaowalawiti watoto wa watu huko ulaya mashariki na kurudi madhabauni tena
 
Papa hana amri yoyote ndugu kama makadinali wakimgomea ndio maana kuna kitu kinaitwa sinodi wanakutana wale wanaamua wanazodoana wee huko ndani wakitoka na jibu moja
Papa hajiongozi bali anaongozwa na makadinali kote duniani hawa wanauwezo wa kumwambia huko unakoenda siko
 


Ni nani amekudanganya Kanisa Katoliki linajitegemea? Hivi hizi Dini mnazielewa lkn au mnafwata mkumbo tu? Hivi unafahamu kwamba Askofu Mkuu wa Jimbo lao ameletwa kwenye Jimbo lako na Papa aishiye Roma na kwamba wewe kama muumini na mkazi wa hilo Jimbo hauna uwezo wowote wa kuamua ni Askofu yupi awe Mkuu wa Jimbo lako? Ni kama vile Mkuu wa Mkoa/Wilaya Raisi ndiyo anaamua nani amlete kukuongoza Mkoani/Wilayani kwako na haijalishi kama unampenda au laa na hakuna kitu utafanya, basina Ukatoliki ni hivyo hivyo!
 
Hao mapadrii wa kikatoliki sii ndio wanaowalawiti watoto wa watu huko ulaya mashariki na kurudi madhabauni tena
Hiyo ni stori ya miaka 60iliopita ndugu ndio maana wanaostaki ni wazee wa miaka 90 70 80 60
 
Wewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
Kuwa nastaha unapotoa Maoni yako, pia tambua kuwa na kiti vatcan na kuwa na opportunity ya kumpigia simu Papa siosababu tosha ya kutokuwa Msaliti. Askofu Niwemugizi, alisema Maoniyake yasichukuliwe kuwa ni Maoni ya kanisa. Yeye ni mtanzania kama wewe na Mimi anahaki ya kutoa Maoni. Na huo ni wajibu na haki ya kila binadam aliye hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…