Kanisa katoliki sio Sawa na la gwajima ambako kila mtu ana ndevu za kutoa tamkoHopeless kabisa!!
Pengo siyo msemaji wa kanisa mpuuzi mkubwa wewe.Mpuuzi ni wewe, nani aliyekwambia kuwa Pengo ni bosi wa askofu wa Rulenge?. Pengo kaeleza kadri ya ufahamu wake na hii sio mara ya kwanza kwake kuongea.
Kama wewe haumheshimu Askofu Pengo sisi wengine tunamheshimu sana. Sio kwa umri wake tu, bali kwa kazi kubwa ya kiroho ambayo humu ndani hakuna anayeweza kuielezea mpaka ikaeleweka.
Hayo ya kujiuzuli Papa Benedict yamekuja kwa sababu Askofu Pengo katoa maoni yake kama kiongozi mkuu wa jimbo katoliki la Dar?.Usijitie wazimu km wale wapuuzi wa vijijini wanaopita kudanganya walezi na ma house girl wa vijijini kuwa wao sijui ni master na ujinga mwingine. Wewe unayejidai una AKILI HUJUI KUWA PAPA BENECICT ALIJIUZULU? Unajua sababu aliyosema? Alikuwa honest enough kukiri afya yake kiakili haiwezi tena ongoza wakatoliki zaidi ya bilioni moja duniani. Sio kwamba alikuwa kachoka hivyo, yule mzee ni msomi vibaya, kachapisha vitabu vingi sana na alikuwa ndio engine ya ukatoliki kifikra, na alikuwa sharp mbaya ingawa alianza umwa umwa ila sio km hata pengo. Pengo ni mgonjwa kila angle. Pengo alichofanya ni kuthibitisha alichosema Gwajima.
Mkuu mpumbavu ni wewe ambaye mambo ya kiroho unayajadili kwa nguvu kubwa kwenye jukwaa la kisiasa.Pengo siyo msemaji wa kanisa mpuuzi mkubwa wewe.
Nyinyi ndio wale wapumbavu mlioweka picha za Brian Deacon sebuleni kwenu, itachukuwa kizazi kingine kuja kujitambuwa upagani na ubatili mlionao.
View attachment 604634
Current photo ya Yesu wako.
View attachment 604636
Hapana. Ni Waziri mteule wa Maliasili Na UtaliiHivi Kigwangwala bado yuko wizara ya afya ?
Sio kwa kitengo alichonachoPengo nae ni mwananchi wa Tanzania, ana uhuru wa kutoa maoni
Nyie mumo humu tuKwani tuliomo humu JF hatuishi mitaani wanakoishi watanzania wengine bali tunaishi kwenye hizi "Keyboard" tunazozitumia kuandikia?
Bure kabisa!
Watanzania wengi walidanganywa kwa miaka mingi sana kwamba Pengo yuko na madaraka kama ya Mufti .Pengo aongee na waumini wake wa Dar es salaam tu ndipo kwenye mamlala yake, akivuka tu kiluvya kuingia Kibaha hana mamlaka.
Kwa sababu ccm imejaa mijitu mijinga ilikuwa inamtumia Pengo wakidhani cheo chake ni kama cha Mufti kwa waislamu kwamba Mufti ni Tanzania nzima.
Hatutochoka kutoa elimu hii ili ukweli uwe wazi na watu wajuwe kweli.
Ukatoliki wako ni wakutiliwa mashaka makubwa kama hujui Papa ana muwakilishi wake Tanzania ambaye ni balozi wa Vatican, pengo si mwakilishi wa Papa.Mkuu mpumbavu ni wewe ambaye mambo ya kiroho unayajadili kwa nguvu kubwa kwenye jukwaa la kisiasa.
Jinsi unavyomjua mwanasiasa wako na nyendo zake unadhani na kwenye masuala ya dini ni hivyo hivyo.
Askofu Pengo ni kiongozi wetu na tunaheshimu maoni yake. Ndio mwakilishi wa Pope hapa Tanzania. Kama mnae kardinali mwingine mnayemuamini basi hilo ni tatizo lenu wenyewe.
Labda ufalme wa shetaniNi bora tusishike dola lakini siku ya mwisho TUUONE UFALME WA MUNGU .
Umehangaika sana kujibu hoja mojaSio kweli balozi wa Papa hawezi mwaproach direct lazima apitie kwa pengo kiprotocol sababu akienda direct balozi wa Papa atampelekea kardinali aone pengo anasemaje Kama askofu wa magufuli jimbo la dar es salama magufuli lazima apitie kwa pengo kwanza hawezi enda ubalozi wa Vatican straight
Mmmmm Niwemugizi Ana kiburi cha kihaya Kama kilaini aliyeondolewa dar kwa kushindana na pengo. He is a much know hajui kardinali ni nani? Na anastahili heshima ipi? Kama hajui akae na askofu kilaini amweleweshe kardinali ni nani wako wote mkoa wa kagera si vibaya akatafuta ushauri kwake badala ya kukariri notisi za vyuoni za urbaniana university italiaKwani ameshindwa kumweleza hukohuko mpaka alitoe public? hii ni kuliingiza kanisa katika malumbano ya kisisa na kuligawa kanisa! kama ameona mwenzie kakosea angelishawishi kakao cha baraza la maaskofu ndipo baraza litoe tamko!
Askofu Pengo ni kiongozi wetu na tunaheshimu maoni yake. Ndio mwakilishi wa Pope hapa Tanzania. Kama mnae kardinali mwingine mnayemuamini basi hilo ni tatizo lenu wenyewe.
Sure,ya kaizari amuachie kaizari,anafanya kazi ya Humphrey PolepoleKwani muadam kadinali naomba nikukumbushe kuwa KATIBA kwa SERIKALI ni kama ilivyo BIBLIA. kwa KANISA.
Leo hii mtu akikuambia kuwa BIBLIA sio muhimu kwa kanisa bali kilicho muhimu ni HUDUMA bila shaka utamuona ni mwendawazimu
Inakuwaaje hii post iwe kwenye jukwaa la siasa? Inamaana sasa dini na siasa siku hizi ni kitu kimoja?