kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,977
Unajua kazi za TEC weweKiongozi wa Kanisa katoliki Tanzania !
Hapana mkuu. Niwemugizi aliishakuwa Rais wa TEC nadhani mihula miwili, na baadaye akawa makamu hadi alipoachia kwa mujibu wa Katiba. Kwa sasa sio makamu /msaidiziMkuu raisi wa baraza la maaskofu ni wa Iringa, Ngalalekumtwa alichukua kutoka kwa huyo wa Mwanza Dr. Ruweichi na msaidizi ni Niwemugizi wa jimbo la Rulenge kama sijakosea!
Pengo yuko sahihi hata Uingereza kipaumbele chao sio katiba na hawajawahi kuwa na katiba na hawatarijii kuwa na katiba. Kipaumbele ni kero halisia za raia wake kutatuliwa. Askofu Pengo yuko sahihi asilimia 100.Pengo anaposema Kipaumbele chake ni kuona wananchi wanapata huduma kwanza na sio katiba mpya, inaashiria Akili yake imeanza kuzeeka
Kipaumbele chao ni nini?
Hivi kuna mtu anamuamini Pengo mpaka leo ?Mhashamu Askofu Kardinali Pengo amesema kuwa kauli iliyotolewa na askofu Niwemugizi kuwa katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi sio msimamo wa kanisa kwa sababu kanisa lina taratibu zake za kuishauri serikali au kuzungumzia masuala ya jamii.
pia amesema kwake yeye katiba ni kitu kije baadaye si cha haraka.
chanzo: gazeti la Mwananchi via facebook.
Nakuhakikishia Yesu akirudi leo atamtimua Pengo kanisani, huyu mzee haaminiki tena na sisi waumini.Pengo yuko sahihi hata uingereza kipaumbele chao sio katiba na hawajawahi kuwa na katiba na hawatarijii kuwa na katiba. kipaumbele ni kero halisia za raia wake kutatuliwa. Askofu pengo yuko sahihi asilimia 100
Hiyo unwritten constitution koko yako iweke basi. Katiba isiyoandikwa ilipitishwa lini weka mwaka ilipopitishwa na bunge la uingereza na kupigiwa kura na wananchi. Weka hapa huo ushahidiacha kudanganya kawadanganye mijinga wenzio ccm, wanayo ni unwritten constitution,
Hata kauli ya Pengo Bila Shaka sio msimamo wa kanisa katoliki ni maoni yake binafsiMhashamu Askofu Kardinali Pengo amesema kuwa kauli iliyotolewa na askofu Niwemugizi kuwa katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi sio msimamo wa kanisa kwa sababu kanisa lina taratibu zake za kuishauri serikali au kuzungumzia masuala ya jamii.
pia amesema kwake yeye katiba ni kitu kije baadaye si cha haraka.
chanzo: gazeti la Mwananchi via facebook.
Sasa Kama Niwemgizi alitoa maoni binafsi sio ya kanisa kwa Nini wakati anayatoa alikuwa amevaa mavazi ya kiaskofu ikiwemo Pete na msalaba shingoniPengo ni MNAFIKI sana ,Niwemugizi alitoa maoni yake binafsi wakati wa kongamano lile,kwani kuna sehemu ilinukuliwa ikisema yale ni maoni ya Kanisa Katoliki? Tuache unafiki nimekosa uvumilivu na Baba kadinal Pengo
Huyu mzee anajifanya kimbelembele sana ! Nina uhakika Yesu akirudi atamtimua na mfuko wake wa rambo . Kwanini anataka kujifanya ndio muamuzi wa nchi hii, hayo madaraka kampa nani?Nimesikitishwa sana na kauli ya Kardinali Pengo juu ya Katiba Mpya.Nilitegemea Kardinali Pengo angeungana na Watanzania kutaka Katiba Mpya badala yake anasema eti IJE BAADAE.
Tulia wewe ! Uingereza umesikia kuna udikteta uchwara?Hiyo unwritten constitution koko yako iweke basi. Katiba isioyoandikwa ilipitishwa lini weka mwaka ilipopitishwa na bunge la uingereza na kupigiwa kura na wananchi. Weka hapa huo ushahidi
Unajua unachoongea mkuu? Ulishamwona Askofu wa kanisa Katoliki amevaa gwanda au shati la kijani?Sasa Kama Niwemgizi alitoa maoni binafsi sio ya kanisa kwa Nini wakati anayatoa alikuwa amevaa mavazi ya kiaskofu ikiwemo Pete na msalaba shingoni