Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Pengo alisema kuwa maoni ya Askofu yule wa Karagwe ni maoni yake binafsi lakini hata yeye akashindwa kuwa mkweli kuwa 'katiba kutokuwa kipaumbele', ni maoni yake binafsi kama Pengo, na siyo ya Catholic Church. Pengo siyo msemaji wa Kanisa Katoliki. Msemaji wa Kanisa Katoliki Tanzania ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu.
Pengo kama kadinali, ni mjumbe wa Baraza la Papa kule Vatican. Kwa hapa nafasi yake ni Askofu Mkuu sawa na maaskofu wakuu wengine.
Pengo kama kadinali, ni mjumbe wa Baraza la Papa kule Vatican. Kwa hapa nafasi yake ni Askofu Mkuu sawa na maaskofu wakuu wengine.