Pengo kwenye Muungano

Pengo kwenye Muungano

Nchi zote zilizokolonishwa zilipambana kupata uhuru lakini Zanzibar ilipewa uhuru mkononi na Mwl Nyerere baada ya ASP et al kusurrender kwa Sultani. Bora India walijiongeza kwa kubadili mbinu ya kudai uhuru kwa kujisaidia haja kubwa kwenye mitaa ya wakoloni hadi wakakimbia, nyie Ma-Hizbu hata akili ndogo tu namna hiyo hamkuwa nayo. Mlikubali kuuzwa kama njugu Kilwa Masoko, sasa hapo Nyerere anahusikaje?

Ndivyo alivyowadanganya kardinal wenu Pengo?? Sikiliza vitu hivyo usirushe vichwa hewani
 
HABARINI NDUGU ZANGU NATUMAINI MU WAZIMA WA AFYA.

Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi juu ya hawa magaidi au vikundi vya waasi hasa barani Afrika lakini zaidi hawa Islamic state kutoka Mozambique Cabo delgado Jimbo ambalo lipo karibu kabisa na nchi yetu Tanzania.
Waasi hawa walianza kutikisa mnano katikati ya mwaka 2018-19 huku wakifanya mashambuliz yao kwa mara ya Kwanza 2019.

1.Je Ni Nani mshirika wao mkubwa au ambae yuko nyuma Yao sisi hatumuoni?
2.Ni Nani anayewauzia siraha au labla wanazitengeneza wenyewe.??
3.Hivi Ni kweli jeshi la wananchi wa Msumbiji/Mozambique wameshindwa kabisa kuwakabiri ikiwa makao makuu Yao yanajulikana?
4.Taasisi za amani duniani nazo nokweli zimeshindwa?? UN, AU na taasisi au nchi nyingine zenye nguvu??
5.Nini hasa wanachokitafuta huko Mozambique au Nini sababu ya wao kufanya mashambuliz yao huko.??

NATUMAINI MIONGONI MWETU KUNA WATAKAO TOA MAJIBU MAZURI YA MASWALI HAYO NNAYOJIULIZA(TUNAYOJIULIZA) AU KUTOA MWANGA UTAKAO NIFANYA NIELEWE(TUELEWE).ASANTE.View attachment 1981032View attachment 1981034

Ndivyo alivyowadanganya kardinal wenu Pengo?? Sikiliza vitu hivyo usirushe vichwa hewani
Serikali nyingi sana duniani zinaongozwa na zimewekwa na Ukatoliki, hii ni subject to history ambapo Ufalme wa Urumi ulitawala dunia na kuweka mfumo huo, tangu kuanguka kwa Ufalme wa Urumi dunia bado imenasa na inafuata mfumo/utamaduni uliowekwa na Ukatoliki wa Urumi. Huwezi na hutoweza kubadili hili hata uje na dini yako.

Zanzibar kwenu Katoliki ndiyo iliwapa uhuru, Nyerere Mkatoliki alimtumia Field Marshal Okello (Mkatoliki) kufanya Mapinduzi Zanzibar na uhuru kupatikana, hivyo kumbe Mapinduzi/Uhuru Zanzibar ni zao la Ukatoliki baada ya dini yako kushindwa kumtoa Sultani na kuwafanya msalimu amri na kuuzwa kama senene Kilwa Masoko. Zanzibar haiwezi kuandika historia ya mafanikio yake bila kutaja Ukatoliki. Ma-Hizbu MSITUKANE HISTORIA.
 
Ndivyo alivyowadanganya kardinal wenu Pengo?? Sikiliza vitu hivyo usirushe vichwa hewani
Ni Mashirika ya dini yakiongozwa na Ukatoliki ndiyo yalianzisha kampeni kubwa duniani kuwachagiza Mapapa wa biashara ya utumwa (wakoloni) kutokomeza utumwa ulioasisiwa na Waarabu na dini yao, bila Ukatoliki huenda hadi leo ungekuwa umeishauzwa mara 10 kama ngamia.
 
Ila mama yupo. Atabakia mpaka muda wake wa kuondoka ufike.
Ni kweli mkuu,
2021 - 2025 anakamilisha miradi ya JPM, 2025 - 2030 anabuni na kuanza utekelezaji wa miradi mipya ya awamu ya 6, 2031 - 2035 anakamilisha miradi aliyobuni kwenye awamu yake, jumla 15 yrs, bado tunaye sana tu! Naona wa kumzuia hajazaliwa nchi hii.
 
Ni Mashirika ya dini yakiongozwa na Ukatoliki ndiyo yalianzisha kampeni kubwa duniani kuwachagiza Mapapa wa biashara ya utumwa (wakoloni) kutokomeza utumwa ulioasisiwa na Waarabu na dini yao, bila Ukatoliki huenda hadi leo ungekuwa umeishauzwa mara 10 kama ngamia.

MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.

Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.

Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:

Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.

Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.

Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.

Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.

Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge; wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili. Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu. Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka). Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.

Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:

Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.

Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.

Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.

Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.

Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!

Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.

Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC". Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.
 
Ni kweli mkuu,
2021 - 2025 anakamilisha miradi ya JPM, 2025 - 2030 anabuni na kuanza utekelezaji wa miradi mipya ya awamu ya 6, 2031 - 2035 anakamilisha miradi aliyobuni kwenye awamu yake, jumla 15 yrs, bado tunaye sana tu! Naona wa kumzuia hajazaliwa nchi hii.
Na anawasilimisha nyote magalatia.
 
Znz iliomba kujiunga na Kenya kabla ya Tanganyika lakini Jomo Kenyatta aliweka sharti gumu kwamba lazima yeye ndiye awe rais Karume awe RC kwasababu Muungano walioutaka ulikuwa ni wa nchi moja (kupoteza sovereignty zao) ilhali Muungano aliouasisi Mwl ulibakisha sovereignty ya Znz na ndiyo maana hata leo wameendelea kutambulika kupitia alama nyingi za kitaifa kama bendera, wimbo wa taifa, nk je, muungano wa Mwl siyo kwamba ulikuwa mzuri kuliko ule wa Jomo Kenyatta? Na je, msaliti wa Znz kupitia Muungano ni Mwl? Ni Jomo Kenyatta? Au ni Karume mwenyewe aliyeasisi wazo hilo na kuanza kulinadi kimataifa mara Kenya, mara Tanganyika? Je, mbona Mwl alikubali kupoteza Tanganyika na kubakisha Znz sasa je, nani anapaswa kulalamika ni Znz inayoendelea kushi au Tanganyika iliyopotelea mbali?

Uongo sio kitu kizuri, unapata faida gani kuzusha mambo ya uwongo?
 
chokochoko zooote hizi zinaanzia ujermani!! lkn kwa siri kubwa sana! yamkini hata hapa nimeandika hivi wameshajua kuna mtu wetu katuandika huko JF! ebu mkaangalie anasemaje?

Ni hivi, wakoloni wanataka kurudi kwa kishindo, lkn sasa km Tanganyika haipo watarudi wapi? Hati zilizopo Vatican zinaonyesha Tanganyika ni ya Mjerman,.....na leo ni Tanzania ya Muungano ndo maana hawafungamani na upande wowote!

Mjermani anatutaka kwa nguvu zote!! ukienda kusoma ujerman unapigwa chapa! ya ''Micro chip'' wana kumonotor kwa matumizi ya baadae!! wanataka kuua muungano! ili warejeshewe tanganyika!!!

ni kuwa nyie huku ni kama mbuzi tu hamtajua kinachoendelea, mtashangaa tu mnawekewa Rais mtanzania mpya na ana leta Makampuni ya kijermani! kufanya kazi kwenye site za kijermani! wanazijua mpaka kesho hazja guswa!

Mtashangaa scholarship nyingi zitatolewa za ujermn baada ya miaka kumi na Bongo lugh rasmi ni kijermani tupu! nasema ivi nimeshapigiwa simu kutoka ujermani wako vizuri hawa jamaa....
 
Conspiracy theory
 
MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.

Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.

Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:

Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.

Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.

Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.

Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.

Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge; wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili. Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu. Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka). Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.

Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:

Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.

Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.

Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.

Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.

Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!

Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.

Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC". Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.
Jeez!

100% of your posts and contributions are Libelous. Take note of the following:-
You have zero knowledge about the doctrine of Christology. You need dig deep on the contrast btn Israelology vs Egyptology, unfortunately you are mentally constrained in scope, extent and activity. You can only afford copy paste of works of others without synthesis of compound and derivative words. You lack the basics of "Hegelian philosophy which holds that the final stage in the process of dialectical reasoning, in which a new idea resolves the conflict between thesis and antithesis" More so, if you had the skills of this Philosophy you would have abandoned the habit of plagiarism without acknowledgement either and rather.

Juggle these points:

1. Can a Christian (more especially of Catholic Denomination) lead Zanzibar as a President? If NOT why?

2. When Catholicism was crafting Zanzibar where was Islamism? Which religion dominates the Isles? Which religion has the population quorum therein?

3. Is Zanzibar Islamic or has diversity? Do other interest groups which are non Islamic have equal rights and opportunity?

4. Btn Catholics and Muslims who appealed for the delay of independence of Tanganyika? What was the cornerstone? Is that Metric Brain? Baghosha!
 
Back
Top Bottom