Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
- Thread starter
- #141
Hakunaga dini yenye chuki ila wewe et al mnajaribu kupandikiza dini chuki.Jifundishe kujibu maswali kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakunaga dini yenye chuki ila wewe et al mnajaribu kupandikiza dini chuki.Jifundishe kujibu maswali kwanza
Aliyepandikiza chuki huyu hapaHakunaga dini yenye chuki ila wewe et al mnajaribu kupandikiza dini chuki.
Nyie watanganyika ndio mnalizimisha muungano, wazanzibar hawana haja na ukoloni huu.Ninafikiri Katiba za JMT na Znz zidurusiwe ili vikosi vya SMZ viingizwe kwenye Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ili viamuriwe na Amiri Jeshi Mkuu. Hii pia itapunguzia SMZ zigo la bajeti ya kuendesha vikosi hivi maana zigo hilo litapewa JMT.
My time is limited for such stuff!
Tunalizimisha au tunalazimisha? Kama tunalizimisha basi kumbe tuko sawa na Zanzibar isiyotaka ukoloni huo!Nyie watanganyika ndio mnalizimisha muungano, wazanzibar hawana haja na ukoloni huu.
Zanzibar ikijiondoa kwenye muungano kuna hatari Pemba ikajiondoa kwenye Uzanzibar. Pemba inaweza kutafuta kuungana na Tanganyika, hii itaitia Unguja hofu na huenda Unguja nayo ikaomba kujiunga na Tanganyika pia hivyo Muungano uliouawa unarudi tena, mark my words. Hii ndiyo siri ya Mwl Nyerere kusema kwamba Muungano huu ni unique duniani na kuuvunja ni ngumu sana.Tunalizimisha au tunalazimisha? Kama tunalizimisha basi kumbe tuko sawa na Zanzibar isiyotaka ukoloni huo!
Bila Nyerere na Tanganyika kujiongeza Sultani angekuwa bado yuko Zanzibar hata leo. Ili masalia ya Ma-Hizbu mpone jiungeni na warasimu (Polity).
Si bora hao, muasisi wenu je? Komandoo je? Al haj Jumbe je?Kamuulize Mkapa na Babayake Nyerere bila kumsahau Jiwe la Chato walifikwa na nini ghafla ??
Zanzibar ina historia ya kuwa nchi kabla ya Tanganyika. Tanganyika haina historia ya sovereignity. Ilikuwa eneo la German East Africa halafu baada ya vita ya dunia ya kwanza ikawa chini ya mandate ya Uingereza mpaka ilipopata uhuru. Muungano ukivunjika Pemba itake kuungana na Tanyanyika kwa faida gani? Muungano ulileta faida gani Pemba? Muungano ukivunjika, ni Tanganyika ndiyo inaweza kusambaratika ikajigawa kwenye kanda tofauti. Lukuvi mpaka kasema kwa nini CCM hawataki Muungano uvunjike. Wanajua kati ya Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika ndiyo itasambaratika tena mapema sana. Tanganyika ni kama utando wa buibui, inaweza kusambaratika kirahisi mno.Zanzibar ikijiondoa kwenye muungano kuna hatari Pemba ikajiondoa kwenye Uzanzibar. Pemba inaweza kutafuta kuungana na Tanganyika, hii itaitia Unguja hofu na huenda Unguja nayo ikaomba kujiunga na Tanganyika pia hivyo Muungano uliouawa unarudi tena, mark my words. Hii ndiyo siri ya Mwl Nyerere kusema kwamba Muungano huu ni unique duniani na kuuvunja ni ngumu sana.
Critically, Zanzibar revolution took place in Unguja NOT Pemba, if things worsen (GOD forbid), it may be perceived that revolution was for Unguja as that was its centerpiece. Pemba was dragged into Zanzibar afterwards. So Pemba may decide to complicate the matter by holding her position that it was separate entity in the revolution process. "On the morning of January 12th, the ASP’s John Okello gathered around 800 men to the main island of Unguja (Zanzibar Island). The soldiers overtook the police and its weapons then aimed their efforts toward Zanzibar Town and ousted the Sultan and his followers CHANDLER, D.L. (2015) " You can now note that Pemba was not involved on the spur of the moment of revolution.
Moreover, Zanzibar ikijiondoa kwenye muungano automatically imejiondoa EAC, GLR, SADC nk.
MTAVUNJA MUUNGANO NA BAADAYE MTARUDI KUOMBA MUUNGANO TENA!
Underline this classical presentation for future reference.
My Time is limited for this shitCritically, Zanzibar revolution took place in Unguja NOT Pemba, if things worsen (GOD forbid), it may be perceived that revolution was for Unguja as that was its centerpiece. Pemba was dragged into Zanzibar afterwards. So Pemba may decide to complicate the matter by holding her position that it was separate entity in the revolution process. "On the morning of January 12th, the ASP’s John Okello gathered around 800 men to the main island of Unguja (Zanzibar Island). The soldiers overtook the police and its weapons then aimed their efforts toward Zanzibar Town and ousted the Sultan and his followers CHANDLER, D.L. (2015) " You can now note that Pemba was not involved on the spur of the moment of revolution.
Moreover, Zanzibar ikijiondoa kwenye muungano automatically imejiondoa EAC, GLR, SADC nk.
MTAVUNJA MUUNGANO NA BAADAYE MTARUDI KUOMBA MUUNGANO TENA!
Underline this classical presentation for future reference.
Si bora hao, muasisi wenu je? Komandoo je? Al haj Jumbe je?
“No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people.”Myr ikijiondoa kwenye muungano kuna hatari Pemba ikajiondoa kwenye Uzanzibar. Pemba inaweza kutafuta kuungana na Tanganyika, hii itaitia Unguja hofu na huenda Unguja nayo ikaomba kujiunga na Tanganyika pia hivyo Muungano uliouawa unarudi tena, mark my words. Hii ndiyo siri ya Mwl Nyerere kusema kwamba Muungano huu ni unique duniani na kuuvunja ni ngumu sana.
My Time is limited for this shit
“No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people.”
Julius Kambarage Nyerere, from his A Peaceful New Year speech given in Tanzania on 1 January 1968.
Unguja has no right to make decision for Pemba.
Siyo Tanganyika, dunia nzima Katoliki ina nguvu. Protestants walikuja baada ya Ukatoliki kuwepo, na Uprotestant ulitoka Ukatoliki. Wewe Yosefu Jagina uelewe.
Yosefu Jagina "Hukumu ya fisi haina rufaa"
Chuki zisizo na msingiMuhimu muungano uvunjwe huyu bibi akaongoze kwao tumemchoka
Mbona hakuna mtu wa bara ambaye ni waziri huko kwenu?Chuki zisizo na msingi
“No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people.”
Julius Kambarage Nyerere, from his A Peaceful New Year speech given in Tanzania on 1 January 1968.
Unguja has no right to make decision for Pemba.
Mbona hakuna mtu wa bara ambaye ni waziri huko kwenu?
Yosefu Jagina "Hukumu ya fisi haina rufaa"
Maswali kuntuZanzibar ina Rais, ina wimbo wa taifa, ina bendera ya taifa na ya Rais, ina Baraza la Wawakilishi, ina Baraza la Mapinduzi, ina Valantia, Mafunzo na KMKM, ina Serikali Kamili ya Mapinduzi SMZ, ni taifa kamili lililoungana na Tanganyika kutengeneza Tanzania bila kupoteza utaifa wake.
Mojawapo ya sifa za Rais ni kuamuru majeshi yoooote ya Ulinzi na Usalama kwa cheo chake cha Amiri Jeshi Mkuu. Tanzania ina Amiri Jeshi Mkuu mmoja tu anayeamuru majeshi (JWTZ, JKT, Polisi, Magereza, Mgambo, Jeshi Usu la Uhifadhi; Katiba ya JMT Ibara ya147 (2) na (4) ingawa ibara ndogo ya 4 haijataja Jeshi la Mgambo, Jeshi Usu la Uhifadhi, Mafunzo Znz, Valantia na KMKM) ambaye ni Rais wa Muungano (isome Ibara ya 147 pamoja na Ibara ya 148 inayohusu madaraka ya Amiri Jeshi Mkuu ili upate muktadha mzuri):-
1. Je, vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM vinaamuriwa na Amiri Jeshi Mkuu (Rais wa JMT)? Au vinaamuriwa na Rais wa SMZ (Zanzibar) ambaye siyo Amiri Jeshi Mkuu?
2. Na kama Rais wa JMT hana Mamlaka kuamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM je, vinaamuriwa na nani?
3. Je, ni vibaya kama tukifanya marekebisho ya Katiba ili Rais wa Znz ambaye (naomba nitumie neno huenda) ndiye anayeamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM aitwe Amiri Jeshi wa Vikosi vya SMZ (tumuongezee hiyo title) ili kuweka perspective vizuri kwa vikosi vya SMZ kuamuriwa na Amiri Jeshi pia kama ilivyo itifaki ya majeshi duniani kote? Kwahiyo Rais wa Znz atakuwa na titles za Rais wa SMZ, Mwenyekiti wa BMZ (Baraza la Mapinduzi Zanzibar), Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na AMIRI JESHI WA VIKOSI VYA SMZ (kwa minajili ya itifaki tusimuwekee neno #Mkuu kwenye maneno “Amiri Jeshi Mkuu”).
4. Katiba ya Muungano (ambayo inafanyakazi Znz pia) inazuia mtu, shirika, kikundi isipokuwa serikali kuanzisha majeshi soma Sehemu ya Nane, Sura ya Tisa (Majeshi ya Ulinzi), Ibara ya 147, Ibara ndogo ya (1), uk. 203. Sasa basi, Ibara hii imetaja serikali ndiyo inayoruhusiwa kuunda majeshi lakini haijabainisha ni serikali ipi, ya JMT, ya SMZ au zote?
5. Na kama ni hivyo je, vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM vimeanzishwa na nani? Vinaamuriwa na nani? Anayeviamuru ana wadhifa wa Amiri Jeshi au Amiri Jeshi Mkuu? Je, vikosi hivyo si vinafanyakazi ndani ya mipaka ya JMT? Nani anaamuru ulinzi wa mipaka ya nchi (JMT)?
6. Kama suala la Ulinzi na Usalama ni suala la Muungano je, ni Rais wa JMT ndiye anayeamuru vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM? Au vinaamuriwa na Rais wa SMZ ambaye siye Amiri Jeshi Mkuu na wala siye Rais wa Muungano?
7. Kama tukiruhusu Rais wa Zanzibar awe Amiri Jeshi kwa vikosi vya Mafunzo, Valantia na KMKM je, Zanzibar itakuwa na Waziri wake wa Ulinzi (wa vikosi?)
Mwenye ufahamu na Katiba ya Zanzibar atujuze.
Tuko tayari kujifunza ambayo siyo dhambi hii.