LEGE mfikishie taarifa mtunzi kuwa hii ndio hadithi yake ya kwanza mimi kuisoma ila atambue hatakuja kunikamata tena katika utunzi wake wowote kwangu mimi mtunzi kafika katika kilele chake cha utunzi nimejaribu kuwaza labda akitunguka hivi au vile nimekosa jibu. Kuhusu usaliti imebaki mtu kusalitiwa na kivuli chake tu ila kwa binadamu tumeshuhudia kila rangi ya usaliti najaribu kucheka pale waliokuwa wanaonekana malaika wamegeuka kuwa mashetani na wengine wametangulia mbele ya haki bila kutubu pumzika kwa amani anitha.