Peniela (Story ya kijasusi)

Njoo tupange mpango wa kumteka lege
LEGE kwa kweli katukomeshaaa...halafu naanza kuona post za hatari mara contant za anaeuza hz stori sasa cjui biashara imeingilia katii. Itabidi tumteke kama Josh alivyofanya kwa wakili msomi Jason
 
LEGE kwa kweli katukomeshaaa...halafu naanza kuona post za hatari mara contant za anaeuza hz stori sasa cjui biashara imeingilia katii. Itabidi tumteke kama Josh alivyofanya kwa wakili msomi Jason
Nimejikuta naanza kukupenda kama mh jaji kwa peniela
 
Lakini umejua kutukomesha lege umetupa utamu weee halafu umetuacha njiani.ila kama mwenyewe amekataa ni bora utujulishe
 
Hahahaaa jiandae kupokea chupa ya uso toka kwa Jason...ngoja nilale tuu LEGE kaniligeza.
Yaani umekubali kulegezwa kirahisi hivyo?

Brgds,
John Mwaulaya Albert
 
Hahahahhh
 
Shukrani usijar tunaelewa
 
LEGE kwani unaishi wapi nije kuchukua mzigo😵
 
LEGE jitokeza mwenyewe kabla sijakutumia Team SC41 ije kukiangamiza
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37]
 
Anazingua apa ndo ninapomuwaza ilu wangu naye cjui kalala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…