Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Chanzo cha yote ni huyu Peniela (Penyehela)....fwala sana yule bint...na bwana wake Chizibariki.
Mtunzi katushika masikio kwekweli...
Mtunzi katushika masikio kwekweli...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kama unafanya kazi zako binafsi ndiyo unaruhusiwa kupoteza muda wa kazi zako?Acha wenge wewe ... Sio kila mtu ameajiriwa Kama wewe ama anafanya kazi mchana Kama wewe . wengine wako nje ya nchi na Masaa yamepishana . tulia acha hadithi iwekwe Kama hutaweza kusoma muda huu waachie wengine wasome . usijifanye mjuaji wa kila kitu .
Mathew hajamla pennyMbona stori inaharibika yaani naye Mathew kafanya Yale Yale ya Elibarik kwa Penuel? Kah! Nimesikitika sana naye Penuel anatamaa sana si mwanamke wa kumuweka ndani
Kwa mara wakwanza namuona elibariki Ni msenge asie faa ata kwakupew nyongezanaona story inaanza upya tena bado mbichi sana mapambano yanaanza upyaa maana wamerudishwa kwenye 0.na mda ndio huo wajipange ne kuzuia dili la package.
ni ngumu sana hii story kuitabili kuwa sehem ijayo itakuwa hivi au vile
Nipo macho my annithaaCc seeker of knowledge mbona leo sikuoni umebanwa eenh au ndo upo na peniela
ha ha ha ha mkuu hata ww umeshikwa masikio mtunzi anataka ukishika kitabu usitamani kukiweka chini na kamwe usije ruka ukurasa hata mmojaChanzo cha yote ni huyu Peniela (Penyehela)....fwala sana yule bint...na bwana wake Chizibariki.
Mtunzi katushika masikio kwekweli...
mkuu ilitakiwa sehem hiyo iwepo ili kutoa nafasi kwa eribariki kufanya alichokifanya na mateka waliopo nyumbani kwa mathew kuja kuokolowa coz angeingia na kutoka kwa peniele basi nyumbani kwa mathew yasingekamilika yaliyotokea.Asante sana Mkuu LEGE. Story umeanza kuingia mdudu. Mathew nae amekuwa too cheep to agree with Peniela. Investigator makini kama yeye asingepaswa kutumia muda mrefu nyumbani kwa Penny tena kuoga na sasa anataka kula kitumbua. Sehemu hii sijaipenda kabisa.