Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Acha wenge wewe ... Sio kila mtu ameajiriwa Kama wewe ama anafanya kazi mchana Kama wewe . wengine wako nje ya nchi na Masaa yamepishana . tulia acha hadithi iwekwe Kama hutaweza kusoma muda huu waachie wengine wasome . usijifanye mjuaji wa kila kitu .
Kwa hiyo kama unafanya kazi zako binafsi ndiyo unaruhusiwa kupoteza muda wa kazi zako?
 
Mbona stori inaharibika yaani naye Mathew kafanya Yale Yale ya Elibarik kwa Penuel? Kah! Nimesikitika sana naye Penuel anatamaa sana si mwanamke wa kumuweka ndani
Mathew hajamla penny
 
naona story inaanza upya tena bado mbichi sana mapambano yanaanza upyaa maana wamerudishwa kwenye 0.na mda ndio huo wajipange ne kuzuia dili la package.

ni ngumu sana hii story kuitabili kuwa sehem ijayo itakuwa hivi au vile
Kwa mara wakwanza namuona elibariki Ni msenge asie faa ata kwakupew nyongeza
Nimelia Leo kwa mara yakwanza toka nianze soma story hiii why Eli why maskini japo najua merth atarudi tena kwenye mapambano Na paniela ila nimepgopaaaaa
 
Asante sana Mkuu LEGE. Story umeanza kuingia mdudu. Mathew nae amekuwa too cheep to agree with Peniela. Investigator makini kama yeye asingepaswa kutumia muda mrefu nyumbani kwa Penny tena kuoga na sasa anataka kula kitumbua. Sehemu hii sijaipenda kabisa.
 
duuh kwa hilo biti vicent anampa rose n balaa yan anaambiwa asithubutu hata kidogo atapotezwa hahaaa
 
Chanzo cha yote ni huyu Peniela (Penyehela)....fwala sana yule bint...na bwana wake Chizibariki.
Mtunzi katushika masikio kwekweli...
ha ha ha ha mkuu hata ww umeshikwa masikio mtunzi anataka ukishika kitabu usitamani kukiweka chini na kamwe usije ruka ukurasa hata mmoja
 
Asante sana Mkuu LEGE. Story umeanza kuingia mdudu. Mathew nae amekuwa too cheep to agree with Peniela. Investigator makini kama yeye asingepaswa kutumia muda mrefu nyumbani kwa Penny tena kuoga na sasa anataka kula kitumbua. Sehemu hii sijaipenda kabisa.
mkuu ilitakiwa sehem hiyo iwepo ili kutoa nafasi kwa eribariki kufanya alichokifanya na mateka waliopo nyumbani kwa mathew kuja kuokolowa coz angeingia na kutoka kwa peniele basi nyumbani kwa mathew yasingekamilika yaliyotokea.

mkuu picha linaanza upya na hapo ndio linaongeza mzuka zaidi na kuwa tamu zaidi je niupande upi utafanikiwa kuinyaka package??
 
Back
Top Bottom