Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Anitha maskini sijui Na yy atakatwa vidole maana rosemary mmmm si mchezo
Ila pia paniela aliweka nguvu nyingi sana kwenye kundi la kina elibariki akasahau wale Wa marecan Na ninaisi alipo zimia kwenye msiba Wa John ndipo Na wao waka mwekea Na yy kadude kwenye simu yake wasikilize maongezi yake yote
dont underestimate Anitha atapambana tu
 
Kama midadi ya story hapa ndiyo unapanda bila kushuka....ngoma mzito hii.

Jamani kumekucha kwa kuusaka mkate wa siku. Asante sana @ LEGE
 
Peniela amekuwa addicted na mb@## anataka kuonja kila iliyoko mbele yake too much mpaka Mathew ?na anajua ni rafiki wa Elibariki dah huyu mwansmke too much.Anafikiri sifa ni kugawa mbunye.
 
LEGE uwe unashusha vitano asubuhi na vitano usiku kila mtu atasoma kwa muda wake.jaribu kuwa consistency LEGE.ingawa tunajua maisha kuna hapapale lakini jiwekee ratiba ili tukiingia tunakuta mzigo tunapakua tunauula
 
Mtunzi ametumia character asiyefaa kuifanya story au kazi iwe nguvu. Yaani Elibariki aliyekuwa jasiri mwenye kusimamia uamuzi wake eti awazie maisha yake na kwenda kumuangukia Joshua aliyemuua mama mkwe wake na mkewe. Hata pamoja na kugundua hicho kirusi. Turn of events haijakaa sawa, ni mara mia angemtumia Naomi. Story haijaunganishwa vizuri sana.
 
Nadhani mtunzi ametuaminisha kuwa saa nyingine frustrations usipozicontrol zinakuweka kufanya maamuzi mabaya na pia binadamu wanatofautiana sana jinsi wanavyohandle issues.Nafikiri kisingetokea kitendo cha Naomi kumbaka Elibariki yasingetokea haya.Elibariki anaona kama Peniela hatamsamehe
 
Hata Mimi hapa nimeshangaa kwa akili ya kawaida haiwezekan maana hakuna wa kumuunganisha Elibariki kwa Dr. Joshua tena na hapa ili storii uendelee kuwa tamu inatakiwa Elibariki akufe tuuu maana hamna namna
 
Hata kama amefanya kitu cha kijinga sana, Penuel naye amejishusha sana thamni kias cha kila mwanaume kutoka kulala naye hafai kuwa First Lady
 
Nimemkubali sana mtunzi. Amejaribu kutuonyesha mambo yanayoweza kubadili tabia za watu.
Pamoja na kuwa smart mtulivu na mvumilivu lakini udhaifu katika mapenzi umeweza kumpelekea Chizibariki ghafla tu aone kinga ya kufichwa aliyopewa kama hifadhi kwa maisha ni utumwa na ufungwa kiasi cha kuweza kufanya usaliti mkubwa kama ule.
Pia ni somo kwamba in vizuri kuwapa watu nafasi ya Kujieleza ili ku clear bags, Chizibariki alunyimwa nafasi ya kujieleza mbele ya wenzake lazima aendelee kuhisi kudharauliwa akahisi ndiyo maana labda hawakumpa mrejesho Wa huko alikoenda. Mathew alijua Chizibariki alilazimishwa lakini hakumuonyesha mhusika kuwa anajua hilo. Chizibariki alihitaji sana nafasi ya kujieleza badala ya kuwekwa kiporo.

Kama wangekaa kama timu kulimaliza lile, hakika wasingefika huko.
Pia, iwe somo kwamba mapenzi siyo kitu cha kuchukuliwa poa, Pamoja na kufanya aliyoyafa lakini Peniela alikua akiumia sana kwa jinsi alivyompenda Jaji, hakufanya kwa usaliti bali kama kazi ambayo aliridhia...hivyo haikumaanisha Jaji akifanya basi eti na yeye achukulie poa pasipo Counseling.
 
Hata Mimi hapa nimeshangaa kwa akili ya kawaida haiwezekan maana hakuna wa kumuunganisha Elibariki kwa Dr. Joshua tena na hapa ili storii uendelee kuwa tamu inatakiwa Elibariki akufe tuuu maana hamna namna
Ninasubiri kuuona uwezo wa mtunzi wa hii kitu. Maana kaivuruga vuruga, nasubiri nione jinsi atakavyo iunganisha tena.
Ila hadi hapa ameshaonyesha uwezo mkubwa, maana hawachezeshi characters peke yake bali hadi wasomaji wake. Pia hana upendekeo kwa Characters wake Bali wote anawa treat kama binaadam kwa sifa zao za kitaalam, uzembe, wivu udhaifu na umakini kila pale inapobidi.
 
Hata kama amefanya kitu cha kijinga sana, Penuel naye amejishusha sana thamni kias cha kila mwanaume kutoka kulala naye hafai kuwa First Lady
Mkuu naungana na wewe 100% first lady kama Penuela no way.Atamuingiza raisi matatani kwa kutembea na watu wake wa karibuAnaamini mwili wake ndio utakaomfikisha popote anapotaka sasa hata kwa national security hafai.
 
Ninasubiri kuuona uwezo wa mtunzi wa hii kitu. Maana kaivuruga vuruga, nasubiri nione jinsi atakavyo iunganisha tena.
Ila hadi haoa ameshaonyesha uwezo mkubwa, maana hawachezeshi characters peke yake bali hadi wasomaji wake. Pia hana upendekeo kwa Characters wake Bali wote anawa treat kama binaadam kwa sifa zao za kitaalam, uzembe, wivu udhaifu na umakini kila pale inapobidi.
Mkuu bora nimesoma hii reply Yako nnaeza endelea kusoma maana nilishavurugwa na huyu chizibariki... Ila Matthew namkubali sana, pole zake pia Kwa mkasa wa Leo, team SC41 nao washavurugwa....um so nervous kwa kweli maana ni ngumu kutabiri jambo linalokuja..
 
Sikupata usingiz usiku kwa kumuwaza methew daah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu sio kwa mahaba hayo. Binafsi chizibariki kanivuruga kabisa. Na mathew alivyopigwa risasi ndo kabisa. Hii ndo inaitwa twisting events katika fasihi.
Peniela japo tunamlaumu kwa kupenda kila msumali lakini mi nazani ni kwa sababu ya maisha aliyoishi. Hajafundishwa kumpenda mtu yeyote. Lakini namuoma mathew anambadilisha kabisa anakua kiumbe kipya kabisa.
Dah bonge la story
 
Mkuu naungana na wewe 100% first lady kama Penuela no way.Atamuingiza raisi matatani kwa kutembea na watu wake wa karibuAnaamini mwili wake ndio utakaomfikisha popote anapotaka sasa hata kwa national security hafai.
Sitakuwa namtendea haki Penney kwa sababu yuko kazini na aliingizwa team Sc41 na kufunzwa kunasa marijali, kama team Mathew anawajibika ipasavyo. Hutaki lia....[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom