Peniela (Story ya kijasusi)

Kwa hiyo kama unafanya kazi zako binafsi ndiyo unaruhusiwa kupoteza muda wa kazi zako?
 
Duuu ni balaa mkuu LEGE twende kazi naona story imebadilika hata sijui itakuwaje
 
Mbona stori inaharibika yaani naye Mathew kafanya Yale Yale ya Elibarik kwa Penuel? Kah! Nimesikitika sana naye Penuel anatamaa sana si mwanamke wa kumuweka ndani
Mathew hajamla penny
 
naona story inaanza upya tena bado mbichi sana mapambano yanaanza upyaa maana wamerudishwa kwenye 0.na mda ndio huo wajipange ne kuzuia dili la package.

ni ngumu sana hii story kuitabili kuwa sehem ijayo itakuwa hivi au vile
Kwa mara wakwanza namuona elibariki Ni msenge asie faa ata kwakupew nyongeza
Nimelia Leo kwa mara yakwanza toka nianze soma story hiii why Eli why maskini japo najua merth atarudi tena kwenye mapambano Na paniela ila nimepgopaaaaa
 
Asante sana Mkuu LEGE. Story umeanza kuingia mdudu. Mathew nae amekuwa too cheep to agree with Peniela. Investigator makini kama yeye asingepaswa kutumia muda mrefu nyumbani kwa Penny tena kuoga na sasa anataka kula kitumbua. Sehemu hii sijaipenda kabisa.
 
duuh kwa hilo biti vicent anampa rose n balaa yan anaambiwa asithubutu hata kidogo atapotezwa hahaaa
 
Chanzo cha yote ni huyu Peniela (Penyehela)....fwala sana yule bint...na bwana wake Chizibariki.
Mtunzi katushika masikio kwekweli...
ha ha ha ha mkuu hata ww umeshikwa masikio mtunzi anataka ukishika kitabu usitamani kukiweka chini na kamwe usije ruka ukurasa hata mmoja
 
mkuu ilitakiwa sehem hiyo iwepo ili kutoa nafasi kwa eribariki kufanya alichokifanya na mateka waliopo nyumbani kwa mathew kuja kuokolowa coz angeingia na kutoka kwa peniele basi nyumbani kwa mathew yasingekamilika yaliyotokea.

mkuu picha linaanza upya na hapo ndio linaongeza mzuka zaidi na kuwa tamu zaidi je niupande upi utafanikiwa kuinyaka package??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…