Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnoko sana jamaa. Ila Jaji Elibariki anazali, si mpatii picha jinsi anavyomfaidi Pen. Kila nikivuta picha ya Peniele nashindwa kuunganisha huo uzuri wakeWeeeh wakili huyu pamoja na kumchukia ana gari kaliii
Dah mtunzi wa stori hii Patrick C.K ni mahiri sana kwenye maswala haya ya kijasusi labda na yeye amewahi kuyapitia..
Riwaya zake nyingine kali nikiwahi kuzisoma ni SERENA na nyingine ilikuwa na jina la kiinglish hv
niliisoma fb kwenye page yao ya masimuliziHiyo Serena inapatikana wapi Mkuu?
Utamu wa mh jaji si mchezoNamhurumia sana John,peniela nae ananibore kumdharau John
Hiki kiswahiliLEGE umetunyima cha mchana .....cha usiku ni haki yetu bila hivyo LEGE ......
HahahahaHiki kiswahili