Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Weeeh wakili huyu pamoja na kumchukia ana gari kaliii
Mnoko sana jamaa. Ila Jaji Elibariki anazali, si mpatii picha jinsi anavyomfaidi Pen. Kila nikivuta picha ya Peniele nashindwa kuunganisha huo uzuri wake
 
Dah mtunzi wa stori hii Patrick C.K ni mahiri sana kwenye maswala haya ya kijasusi labda na yeye amewahi kuyapitia..
Riwaya zake nyingine kali nikiwahi kuzisoma ni SERENA na nyingine ilikuwa na jina la kiinglish hv
 
Hiyo Serena inapatikana wapi Mkuu?
 
LEGE tunakuitia polisia sasa maana umeshikilia roho zetu
 
LEGE umetunyima cha mchana .....cha usiku ni haki yetu bila hivyo LEGE ......
 
Back
Top Bottom