babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Kidogo moyo umetulia. Tunaisubiri kwa hamupoleni sana wakuu nilikuwa nashida kidogo na halotel jana wakanikatili kwenye network basi ikawa kimyaa.tunaliendeleza week end hii hakuna kutoka home wala kuchepuka. ni mwendo wa peniele tuu