G.25
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 1,737
- 1,891
Halafu lege sijui kimetokea nn! Mi ninawasi Lege hana uwezo tena wa kuendelea kuileta hii story hapa" kuna mahali lege alisema kuwa ipo facebook na ktk whatsap group la huyo mtunzi" ni wakati mzuri sasa kwa mwenye kuweza kuitoa huko na kuiweka hapa!