Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Hata asipokutwa binafsi kanikera, anawezaje akagonga teja halafu teenager, kisa eti anaogopa katakuja kumwambia Mathew kuwa alitaka kukabaka.Dah naomba Jaj asikutwe tu na akifanya Naomi ampotezeee maana ataharibu kaziii inayokaribia kuisha
Ina maana binafsi hajitambui credibility yake kwa Mathew na other members kiasi cha kudhani wanaweza wakachagua kumuamini Huyo bint badala ya yeye...?
Nadhani hizo ni mbinu za mwandishi kuwatenganisha Elibariki na Peniela na kumpeleka Peniela kwa either Mathew au kumrudisha kwa Jason.