Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Dah naomba Jaj asikutwe tu na akifanya Naomi ampotezeee maana ataharibu kaziii inayokaribia kuisha
Hata asipokutwa binafsi kanikera, anawezaje akagonga teja halafu teenager, kisa eti anaogopa katakuja kumwambia Mathew kuwa alitaka kukabaka.
Ina maana binafsi hajitambui credibility yake kwa Mathew na other members kiasi cha kudhani wanaweza wakachagua kumuamini Huyo bint badala ya yeye...?
Nadhani hizo ni mbinu za mwandishi kuwatenganisha Elibariki na Peniela na kumpeleka Peniela kwa either Mathew au kumrudisha kwa Jason.
 
Kwani Elibariki akigonga Naomi kutakuwa na ubaya gani?
Mbona Peniela na yeye analiwa na watu wengine huku Elibariki akifahamu kabisa..
Kama akikutwa, bhass hayo maumifu atalayopata Peniela ndo maumivu hayo hayo anayopataga Elibariki wakat Peniela akiyembea na watu wengine
 
Elibariki has accepted the deal....
 
Hata asipokutwa binafsi kanikera, anawezaje akagonga teja halafu teenager, kisa eti anaogopa katakuja kumwambia Mathew kuwa alitaka kukabaka.
Ina maana binafsi hajitambui credibility yake kwa Mathew na other members kiasi cha kudhani wanaweza wakachagua kumuamini Huyo bint badala ya yeye...?
Nadhani hizo ni mbinu za mwandishi kuwatenganisha Elibariki na Peniela na kumpeleka Peniela kwa either Mathew au kumrudisha kwa Jason.
Licha ya credibility baba Mimi naomba wasikutwe tu maana hata Penuel anagongwa na Jaj anajua
 
Elibariki namkubali sana. Yaani nilitamani nimtie kofi yule mcharuko maana ataharibu picha nzima. Na muonja asali haachi. Ila miaka minne bila kugegedwa ana haki ya kuitafuta kwa udi na uvumba
Hata mim sijapenda Jaj anamsimamo ila tatzo hakuna mwanaume mwenye msimamo mbele ya K hata methew mwenyewe ameteteleka baada ya kuona uchi wa Penuel
 
Bonge la Series yaani. Hatimae nimefika mahala na mie niwe mwathirika wa kumsubiri Lege. Duh ila spidi ya lege inavutia kwa kweli.

Peniela ni sooo. Lakini nyumba ya Mathayo ina security ya kutosha hivyo Elibariki si ndo angejipatia sababu ya kutomgaladudua Naomi!
 
Halafu lege sijui kimetokea nn! Mi ninawasi Lege hana uwezo tena wa kuendelea kuileta hii story hapa" kuna mahali lege alisema kuwa ipo facebook na ktk whatsap group la huyo mtunzi" ni wakati mzuri sasa kwa mwenye kuweza kuitoa huko na kuiweka hapa!
mkuu humu tupo tofauti sana .wengine sio kwamba mda wote tunakuwa hewani harafu hizi story zipo huko kwenye ma group yao ya fb na watsapp.mm niliona sio mbaya na wapenda story wenzangu mkifaidi.hivyo ninapopata mda naiweka.au nkuu unataka nilale hapa na kushinda hapa
 
Hahahahaaaa Lege anachungulia analike afu anasepa. Nadhani peniela atakuwa hajamletea ile package E29 ili aimwage hapa.
 
Back
Top Bottom