Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu unayoyasema watu wanayakimbia na usifikilie ukitoa hiyo pesa basi ndio utasoma hiyo story mwanzo mwisho ukiwa kwenye group hupewi yote kwa mara moja but kwa wiki unaweza ukapewa sehem 2 or 3 so na ada ya group unakuta imewekwa kwa mwezi .ni bora ukanunua yote ili ujikamue kusoma mwanzo mwisho.speed niliyokuwa naenda nayo mm kwa siku si chini ya sehem 5 lkn watu bado mlikuwa mnalalamika je speed ya kwenye group mngeiweza nyieSorry,kwanini asifanye elfu tano(5,000) kama kiingilio cha kwenye group kwa maana mtu akishalipia anakuwa added kwenye hilo group na kusoma story yote kuliko iyo 4500 per Season naona ni kubwa mno Sorry lakini ni ushauri tu brother
Karibu na kwa lipumba apa Buguruni karibu sana toto zurizuriWapi uko na mm nije kuchukua machungwa
uko mbali acha tu machungwa yanipite alafu uko si ndio kuna scorpion yule anaetoboa watu macho [emoji134]Karibu na kwa lipumba apa Buguruni karibu sana toto zurizuri
Anitha kapendezesha story kwa sababu yupo katika kizazi cha digital ambapo huwezi kuzungumzia ujasusi bila kuhusisha udukuzikatika zote nilizo wahi kusoma lakni hii ni mwisho hapa ni watu wawili tu wenye uwezo wa kushindana na hii nao ni Joram Kiango na Willy Gamba . Hatahivo kwa utundu wa Anitha inaifanya hii kuwa juu Zaidi.
Kesho Peniela ndani.
kwa iyo ndo kusema mfungo utakuwa umeishaa