Pentagon ya Marekani yaanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Syria, Iraq baada ya vifo vya wanajeshi

Pentagon ya Marekani yaanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Syria, Iraq baada ya vifo vya wanajeshi

United Shits Of Americant kwisha habari yake yaani, 🤣😀😂
Mikwara yote mie nikajua atarusha hata jiwe pale iran
Americant ni nchi yakawaida sana tofauti na ilivyokua tunafanganywa na MSM
 
Americant hana uwezo wa kurusha hata puto ndani ya iran 😁😂🤣
 
Kuna washabiki humu ambao utafikiri wanajua vita kumbe ni vijana waliokaa na mahaba ya usa utakuta na vyumba vyao wameremba na bendera ya America
Vita sio ya kushabikia kama mpira
Ooh wanamtafuta Iran mara Mrusi
Cha ajabu Marekani kakaa ME kwa wizi wa mafuta na akiambiwa hataki ukweli eti anachunga amani
Tangu lini akawa na huruma nao zaidi ya mafuta yao kuyaiba kila leo?
Tuangalie ukweli Marekani hana undugu na mwarabu au mnaujua undugu wao?
 
Uwezo wanao, nguvu wanazo na wana nia pia ya kupiga na wanapiga......
Iran imetafutwa sana kwa nguvu zote na imejiingiza yenyewe na kunasa...

US says strikes in Iraq and Syria hit over 85 targets linked to Iran’s IRGC

The US military issues a statement confirming American aircraft have carried out strikes in Iraq and Syria, following a deadly drone attack blamed on an Iran-backed militia group.

According to a CENTCOM statement, American forces — including long-range bombers that flew from the United States — hit over 85 targets linked to Iran’s Islamic Revolutionary Guards Corps

“The facilities that were struck included command and control operations, centers, intelligence centers, rockets, and missiles, and unmanned aired vehicle storages, and logistics and munition supply chain facilities of militia groups and their IRGC sponsors who facilitated attacks against US and Coalition forces,” the statement says.
ngoja tuone kama iran ndo imejiingiza na kunasa au US ndo anajiingiza kwenye moto,asipeleke blacklivesmatter uwanja wa vita
 
Iran ni nchi ndogo kijeshi ukilinganisha na USA, sasa nilitegemea USA afanye lile ambalo Iran anashindwa kulifanya, ili kumfunza adabu.
Marekani hailazimiki kuipiga Iran. Hata Iraq hawakufanya kosa moja immediately wakashambuliwa, hata Libya walipolipua ukumbi Ujerumani hawakupigwa na jeshi walilipishwa rambirambi tu, Afghanistan ilipoanza kuhifadhi magaidi haikushambuliwa mapema ilisikiliziwa kwanza.

Ni Israel inayopenda kujibu haraka, Marekani inaweza subiri miaka. Ugomvi wa Iran na Marekani hauishi mwaka huu, muda wowote Marekani ikiamua itaanza. Iran imekana kuhusika na mashambulizi, wacha itafutiwe justification ya wazi.
 
USA hana uwezo wa kumaliza hivyo vikundi, angekuwa Rusia au Israel hapo sawa, USA siasa ni nyingi kuliko vitengo, protocol ni nyingi, mara wageukane democratic na republic, wajifunze kwa Israel na Rusia, Putin alisema hakuna kitakachozuia land annexation pale Ukraine, wapinzani wake walikuja juu lakini hakuna kilichobadilika, Netanyahu alisema Gaza itarudi nyuma miaka 10, na HAMAS watajuta kwa walichokifanya , Israel ikapata upinzani mkali sana ndani na nje ya nchi, tumeshuhudia maandamano dunia nzima, Netanyahu akasema hakuna wa kuzuia mission yetu na ambaye haitakii mema Israel na anaogopa vita aondoke Israel ili wabaki wenye mapenzi mema na Israel na walioko tayari kufa kwa ajili ya taifa lako la Kiyahudi, Bideni hawezi mifupa wa mashariki ya kati. Shida ya USA siasa za Republic na Democratic zimeharibu nchi.
 
PENTAHON : MAREKANI YAANZA MASHAMBULUZI YA KULIPA KISASI KWA KUPIGA NGOME ZA VIBARAKA WA IRAN NCHINI IRAQ NA SYRIA.

SPECIAL REPORT

View: https://m.youtube.com/watch?v=ckOSPG_A8AI
Marekani yashambulia mgambo vikaragosi vya Iran ambao walishambulia ngome ya askari wa Marekani nchini Jordan na kusababisha vifo vya askari 3 wa marekani huku wengine 34 walijeruhiwa.

Shambulizi la kutoka angani kwa njia ya drone kulenga majeshi ya Marekani, ni hatua ambayo Marekani inasema inataka kutoa onyo kali kwani halijawahi kutokea hivyo Pentagon makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Marekani inataka kutuma ujumbe mzito kwa mgambo vikaragosi na wafadhili wao wa Iran.

Mashambulizi hayo ya Marekani yameanza mara baada ya kuagwa kwa askari watatu wa Marekani kuangwa kwa heshima zote za kijeshi leo ijumaa tarehe 2 February 2024 yaliyofanyika katika kambi ya jeshi la anga la Marekani Dover Air Force Base iliyopo Delaware nchini Marekani

View: https://m.youtube.com/watch?v=6KXgKWbPXlw

Marekani inatumia ndege aina ya B1 Bomber yenye uwezo wa kubeba 75,000 pounds ya milipuko kuhakikisha inaharibu miundo-mbinu, ngome na hifadhi za mgambo vikaragosi na wafadhili wao waliojichimbia kuongoza mashambulizi dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Jordan, Syria na Iraq

View: https://m.youtube.com/watch?v=Wh18_bqX-v4


02 February 2024

The US military struck back late Friday at Iranian proxies in Syria and Iraq in retaliation for a drone attack last weekend that killed three US Army soldiers in Jordan, the Pentagon announced.

The strikes began a little more than an hour after the conclusion of a dignified transfer ceremony honoring the three soldiers at Dover Air Force Base in Delaware.

Marekani itajikuta inakwama tena kwenye tope la Vita vya muda mrefu huko mashariki ya Kati.
 
All the way from the US to Middle East only for striking the so called kobaz- real definition of super power.
 
ngoja tuone kama iran ndo imejiingiza na kunasa au US ndo anajiingiza kwenye moto,asipeleke blacklivesmatter uwanja wa vita

Iran keshajiondoa kwenye msala....
 
MAREKANI YASISITIZA HUU NI MWANZO TU, MAMBO BADO PIGO ENDELEVU KALI KUENDELEA


View: https://m.youtube.com/watch?v=tlimi6LaQe8 mambo bado, pigo kali dhidi ya vikaragosi vya Iran popote walipo iwe Jordan, Iraq, Yemen na Syria , vipigo kuendelea hadi kuhitimisha lengo la Marekani salama ndani na nje ya mipaka kuhitimishwa.

Mratibu wa mawasiliano kwa umma wa baraza la ulinzi la Marekani mstaafu US Navy rear admiral John Kirby asisitiza hakuna atakayebaki salama kwa kuumiza, kuua raia wa Marekani au kuharibu na kutishia usalama wa nchi ya Marekani.

Na mstaafu US Navy rear admiral John Kirby, kuongeza shambulizi hili la dakika 30 lililopiga maeneo 85 yanayotumika na vikaragosi vya Iran ni ujumbe usio na masihara kuwa vipigo vitaendelea ikiwa Iran hawataacha mbinu zao chafu za kutumia mamluki katika nchi hizo za Syria, Lebanon, Iraq, Yemen na Jordan...


Naye mtumishi wa usalama wa taifa mstaafu, mwanajeshi yaliyepigana vita mstari wa mbele mara mbili mashariki ya kati, mtaalamu wa intelejensia, utawala wa serikali, stratejia, ulnzi na usalama aliye kwa sasa mhadhiri mwandamizi katika chuo kikuu cha Coastal Carolina University professor Mark Chandler anadadavua Amerika ilipo na nini tutegemea kufutia hali hii mpya Mashariki ya Kati.

Kampeni hii ya vita iliyoanza, neno kampeni anasema professor Mark Chandler lipigiwe mstari kwa msisitizo kuwa hakuna kampeni ya kivita ya siku mmoja hivyo ina maana huu ni mwanzo wa kampeni endelevu kumlegeza, kumjeruhi na kumuondele uwezo Iran kutumia vikaragosi vyake eneo hili la Mashariki ya Kati ...


View: https://m.youtube.com/watch?v=owbGCk7gcZ8
 
ngoja tuone kama iran ndo imejiingiza na kunasa au US ndo anajiingiza kwenye moto,asipeleke blacklivesmatter uwanja wa vita
United Shits Of Americant kwisha habari yake yaani
 
Marekani hailazimiki kuipiga Iran. Hata Iraq hawakufanya kosa moja immediately wakashambuliwa, hata Libya walipolipua ukumbi Ujerumani hawakupigwa na jeshi walilipishwa rambirambi tu, Afghanistan ilipoanza kuhifadhi magaidi haikushambuliwa mapema ilisikiliziwa kwanza.

Ni Israel inayopenda kujibu haraka, Marekani inaweza subiri miaka. Ugomvi wa Iran na Marekani hauishi mwaka huu, muda wowote Marekani ikiamua itaanza. Iran imekana kuhusika na mashambulizi, wacha itafutiwe justification ya wazi.
Justification ya wazi [emoji3]
 
Back
Top Bottom