Pentagon ya Marekani yaanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Syria, Iraq baada ya vifo vya wanajeshi

Pentagon ya Marekani yaanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Syria, Iraq baada ya vifo vya wanajeshi

PENTAHON : MAREKANI YAANZA MASHAMBULUZI YA KULIPA KISASI KWA KUPIGA NGOME ZA VIBARAKA WA IRAN NCHINI IRAQ NA SYRIA.

SPECIAL REPORT

View: https://m.youtube.com/watch?v=ckOSPG_A8AI
Marekani yashambulia mgambo vikaragosi vya Iran ambao walishambulia ngome ya askari wa Marekani nchini Jordan na kusababisha vifo vya askari 3 wa marekani huku wengine 34 walijeruhiwa.

Shambulizi la kutoka angani kwa njia ya drone kulenga majeshi ya Marekani, ni hatua ambayo Marekani inasema inataka kutoa onyo kali kwani halijawahi kutokea hivyo Pentagon makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Marekani inataka kutuma ujumbe mzito kwa mgambo vikaragosi na wafadhili wao wa Iran.

Mashambulizi hayo ya Marekani yameanza mara baada ya kuagwa kwa askari watatu wa Marekani kuangwa kwa heshima zote za kijeshi leo ijumaa tarehe 2 February 2024 yaliyofanyika katika kambi ya jeshi la anga la Marekani Dover Air Force Base iliyopo Delaware nchini Marekani

View: https://m.youtube.com/watch?v=6KXgKWbPXlw

Marekani inatumia ndege aina ya B1 Bomber yenye uwezo wa kubeba 75,000 pounds ya milipuko kuhakikisha inaharibu miundo-mbinu, ngome na hifadhi za mgambo vikaragosi na wafadhili wao waliojichimbia kuongoza mashambulizi dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Jordan, Syria na Iraq

View: https://m.youtube.com/watch?v=Wh18_bqX-v4


02 February 2024

The US military struck back late Friday at Iranian proxies in Syria and Iraq in retaliation for a drone attack last weekend that killed three US Army soldiers in Jordan, the Pentagon announced.

The strikes began a little more than an hour after the conclusion of a dignified transfer ceremony honoring the three soldiers at Dover Air Force Base in Delaware.

Haiko mbali kuna siku watu wanapigana mipakani ya Marekani na raia wake wanaomba ukimbizi mchi za Afrika. Lema alisema Mungu hadhihakiwi
 
Wamepiga Syria na huko Iiraq hawajathubutu kupiga Iran kwenyewe..Iran itahitimisha kazi ya kupata Nuclear hivi karibuni..Wako karibu sanaa kuipata Nuclear siku wakifanikiwa ujue hamna kenge atasogea pale....Iran sio wajinga wanakwenda kwa mkakati mzito sana wana akili sio malofa kama sisi hatujielewi... Ndio mana Warundi wanapewa nafasi
Kwamba wakipata Nuclear watakuwa wanazirusha tu kwa atakae sogea....mawazo mengine yanasikitisha sana, Nuclear ni silahaa kama silahaa zingine hivyo usitishwe nazo sana.
Shida ni kuwa na ukipiga unapigwa ila kabla ya kuyapiga umejiandaeje?
 
04 February 2024

RIPOTI MAALUM, MAREKANI NA NCHI MARAFIKI WASHIRIKA WAENDELEA KUTOA KIPIGO


View: https://m.youtube.com/watch?v=fkfq0iKNEjY

Lengo ni kufanya eneo zima la Mashariki ya Kati lisiwe sehemu salama kwa vikaragosi vya Iran kurishia usalama wa maslahi ya nchi kadhaa dunia zinazotumia njia za meli kupitia Bahari Nyekundi Red Sea na rasi ya Eden Gulf of Eden pia maeneo mengine kama Syria, Iraq, Lebanon kuleta chokochoko kuingiza dunia katika vita kubwa zaidi ya iliyopo Gaza ....

Ayatollah adai yeye mwenyewe alinyoosha kiganja chake cha mkono kupigwa busu na makamanda jeshi la IRGC ambao walienda Gaza, Syria, Iraq na Lebanon kuwaongezea ujuzi na rasilimali fedha pia vifaa vikaragosi vya Hezbollah ...

Hadi siku za karibuni Marekani na marafiki washirika wamejizua kwa kiwango kikubwa kuto ishambulia Iran moja kwa moja lakini hii haina maana kuwa katika siku zijazo Iran haiwezi kushambuliwa ili kuukata mkono wa mfadhili mkuu Iran unaolisha na unaowapa kiburi vikaragosi vya Iran kujitutumua kufanya mashambulizi ya kuvizia ...
 
Jeuri alikuwaga Saddam na alipata Dawa yake hao Wengine watafata Mkondo Ule Ule Muda ndo Utaongea
 
Jeuri alikuwaga Saddam na alipata Dawa yake hao Wengine watafata Mkondo Ule Ule Muda ndo Utaongea
Shida Iran sio Iraq.
Saddam jeuri yake yote ilitokana na US.
Ila Iran jeuri yake ya kipeke yake.
Hivi kuna nchi middle east iloandamwa kwa vikwazo na kijeshi kuizidi Iran?
 
Back
Top Bottom