Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Mbona Iran hakupiga Marekani alipiga Jordan. Iran apige Marekani nayeyeApige Iran Moja kwa moja ndio atakua kapiga kwenye mshono.
Iran ni nchi ndogo kijeshi ukilinganisha na USA, sasa nilitegemea USA afanye lile ambalo Iran anashindwa kulifanya, ili kumfunza adabu.Mbona Iran hakupiga Marekani alipiga Jordan. Iran apige Marekani nayeye
ngoja tuone kama iran ndo imejiingiza na kunasa au US ndo anajiingiza kwenye moto,asipeleke blacklivesmatter uwanja wa vitaUwezo wanao, nguvu wanazo na wana nia pia ya kupiga na wanapiga......
Iran imetafutwa sana kwa nguvu zote na imejiingiza yenyewe na kunasa...
US says strikes in Iraq and Syria hit over 85 targets linked to Iranβs IRGC
The US military issues a statement confirming American aircraft have carried out strikes in Iraq and Syria, following a deadly drone attack blamed on an Iran-backed militia group.
According to a CENTCOM statement, American forces β including long-range bombers that flew from the United States β hit over 85 targets linked to Iranβs Islamic Revolutionary Guards Corps
βThe facilities that were struck included command and control operations, centers, intelligence centers, rockets, and missiles, and unmanned aired vehicle storages, and logistics and munition supply chain facilities of militia groups and their IRGC sponsors who facilitated attacks against US and Coalition forces,β the statement says.
Lile dude likiingia itakuwa hatari sanaSubilini Trump Aingie Madalakani anapiga Humo Humo Kwenye Mshono huyu Mzee Biden ana huruma Sanaa
Marekani hailazimiki kuipiga Iran. Hata Iraq hawakufanya kosa moja immediately wakashambuliwa, hata Libya walipolipua ukumbi Ujerumani hawakupigwa na jeshi walilipishwa rambirambi tu, Afghanistan ilipoanza kuhifadhi magaidi haikushambuliwa mapema ilisikiliziwa kwanza.Iran ni nchi ndogo kijeshi ukilinganisha na USA, sasa nilitegemea USA afanye lile ambalo Iran anashindwa kulifanya, ili kumfunza adabu.
Kafr HaaApige Iran Moja kwa moja ndio atakua kapiga kwenye mshono.
Marekani itajikuta inakwama tena kwenye tope la Vita vya muda mrefu huko mashariki ya Kati.PENTAHON : MAREKANI YAANZA MASHAMBULUZI YA KULIPA KISASI KWA KUPIGA NGOME ZA VIBARAKA WA IRAN NCHINI IRAQ NA SYRIA.
SPECIAL REPORT
View: https://m.youtube.com/watch?v=ckOSPG_A8AIMarekani yashambulia mgambo vikaragosi vya Iran ambao walishambulia ngome ya askari wa Marekani nchini Jordan na kusababisha vifo vya askari 3 wa marekani huku wengine 34 walijeruhiwa.
Shambulizi la kutoka angani kwa njia ya drone kulenga majeshi ya Marekani, ni hatua ambayo Marekani inasema inataka kutoa onyo kali kwani halijawahi kutokea hivyo Pentagon makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Marekani inataka kutuma ujumbe mzito kwa mgambo vikaragosi na wafadhili wao wa Iran.
Mashambulizi hayo ya Marekani yameanza mara baada ya kuagwa kwa askari watatu wa Marekani kuangwa kwa heshima zote za kijeshi leo ijumaa tarehe 2 February 2024 yaliyofanyika katika kambi ya jeshi la anga la Marekani Dover Air Force Base iliyopo Delaware nchini Marekani
View: https://m.youtube.com/watch?v=6KXgKWbPXlw
Marekani inatumia ndege aina ya B1 Bomber yenye uwezo wa kubeba 75,000 pounds ya milipuko kuhakikisha inaharibu miundo-mbinu, ngome na hifadhi za mgambo vikaragosi na wafadhili wao waliojichimbia kuongoza mashambulizi dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Jordan, Syria na Iraq
View: https://m.youtube.com/watch?v=Wh18_bqX-v4
02 February 2024
The US military struck back late Friday at Iranian proxies in Syria and Iraq in retaliation for a drone attack last weekend that killed three US Army soldiers in Jordan, the Pentagon announced.
The strikes began a little more than an hour after the conclusion of a dignified transfer ceremony honoring the three soldiers at Dover Air Force Base in Delaware.
Kwani Biden na Trump ni yupi alieanza kuwa rais wa Marekani!?Subilini Trump Aingie Madalakani anapiga Humo Humo Kwenye Mshono huyu Mzee Biden ana huruma Sanaa
ngoja tuone kama iran ndo imejiingiza na kunasa au US ndo anajiingiza kwenye moto,asipeleke blacklivesmatter uwanja wa vita
United Shits Of Americant kwisha habari yake yaaningoja tuone kama iran ndo imejiingiza na kunasa au US ndo anajiingiza kwenye moto,asipeleke blacklivesmatter uwanja wa vita
Justification ya wazi [emoji3]Marekani hailazimiki kuipiga Iran. Hata Iraq hawakufanya kosa moja immediately wakashambuliwa, hata Libya walipolipua ukumbi Ujerumani hawakupigwa na jeshi walilipishwa rambirambi tu, Afghanistan ilipoanza kuhifadhi magaidi haikushambuliwa mapema ilisikiliziwa kwanza.
Ni Israel inayopenda kujibu haraka, Marekani inaweza subiri miaka. Ugomvi wa Iran na Marekani hauishi mwaka huu, muda wowote Marekani ikiamua itaanza. Iran imekana kuhusika na mashambulizi, wacha itafutiwe justification ya wazi.
Na ndio ukweli nandio mwanzo wa mwisho wake pale MEMarekani itajikuta inakwama tena kwenye tope la Vita vya muda mrefu huko mashariki ya Kati.
Marekani imepiga walioshambulia. Au ulitakajeJustification ya wazi [emoji3]