Pentagon ya Marekani yaanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Syria, Iraq baada ya vifo vya wanajeshi

Haiko mbali kuna siku watu wanapigana mipakani ya Marekani na raia wake wanaomba ukimbizi mchi za Afrika. Lema alisema Mungu hadhihakiwi
 
Kwamba wakipata Nuclear watakuwa wanazirusha tu kwa atakae sogea....mawazo mengine yanasikitisha sana, Nuclear ni silahaa kama silahaa zingine hivyo usitishwe nazo sana.
Shida ni kuwa na ukipiga unapigwa ila kabla ya kuyapiga umejiandaeje?
 
04 February 2024

RIPOTI MAALUM, MAREKANI NA NCHI MARAFIKI WASHIRIKA WAENDELEA KUTOA KIPIGO


View: https://m.youtube.com/watch?v=fkfq0iKNEjY
Lengo ni kufanya eneo zima la Mashariki ya Kati lisiwe sehemu salama kwa vikaragosi vya Iran kurishia usalama wa maslahi ya nchi kadhaa dunia zinazotumia njia za meli kupitia Bahari Nyekundi Red Sea na rasi ya Eden Gulf of Eden pia maeneo mengine kama Syria, Iraq, Lebanon kuleta chokochoko kuingiza dunia katika vita kubwa zaidi ya iliyopo Gaza ....

Ayatollah adai yeye mwenyewe alinyoosha kiganja chake cha mkono kupigwa busu na makamanda jeshi la IRGC ambao walienda Gaza, Syria, Iraq na Lebanon kuwaongezea ujuzi na rasilimali fedha pia vifaa vikaragosi vya Hezbollah ...

Hadi siku za karibuni Marekani na marafiki washirika wamejizua kwa kiwango kikubwa kuto ishambulia Iran moja kwa moja lakini hii haina maana kuwa katika siku zijazo Iran haiwezi kushambuliwa ili kuukata mkono wa mfadhili mkuu Iran unaolisha na unaowapa kiburi vikaragosi vya Iran kujitutumua kufanya mashambulizi ya kuvizia ...
 
Jeuri alikuwaga Saddam na alipata Dawa yake hao Wengine watafata Mkondo Ule Ule Muda ndo Utaongea
 
Jeuri alikuwaga Saddam na alipata Dawa yake hao Wengine watafata Mkondo Ule Ule Muda ndo Utaongea
Shida Iran sio Iraq.
Saddam jeuri yake yote ilitokana na US.
Ila Iran jeuri yake ya kipeke yake.
Hivi kuna nchi middle east iloandamwa kwa vikwazo na kijeshi kuizidi Iran?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…