Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
WACHA BALL ITEMBEE,Haya kumekucha, nasoma comments za warusi na wayukrain.
Mungu atunusuru na haya majaribu.
Naam, ila ni hatari zaidi...Hii ni sawa kabisa, huwezi kuharibu miundombinu ya nchi nyingine afu wewe hutaki kuvamiwa kwako.
Nakuona matron umekaa pembeniHatimaye mume wa bar maid ametoa ruhusa dah!
Kishamchoka, anamtoa sadaka ili atafute kimada mwingine!Hatimaye mume wa bar maid ametoa ruhusa dah!
HIMARS ziliishia wapi?Kremlin kugeuzwa majivu
... anachanua chanua mapaja huenda akakonyezwa yeye!Nakuona matron umekaa pembeni
Kweli mkuu, Zelensky ni kama refarii tu.
Mrusi hakupiga mahesabu kuwa yote Ukraine na Russia ni U.S.S.R ya zamani hivyo wanajiua ndugu kwa siraha za mmarekani...Hii i vita ya Marekani na Urusi ambayo inapiganwa Ukraine huku mchekeshaji Zelensky akiwa kama mshereheshaji
Huko ni kutisha tu hawezi shambulia raia direct yeye asubir sindano za makalioniHatari sana kwa Ukraine hapatakuwa na kiumbe hai .
Yeah, Marekani hawana hasara. Ndio faida ya kuwa na akili.Mrusi hakupiga mahesabu kuwa yote Ukraine na Russia ni U.S.S.R ya zamani hivyo wanajiua ndugu kwa siraha za mmarekani...
U.S.A ni kushusha mzigo tu....😅😅😅
kuja kushtuka kaka kampasua pua mdogo mtu naye kamtoboa jicho kaka mtu...😅😅😅
Mimi nikajua ni Ukraine kumbe ni USA ndio anatoa ruhusa? Kwa hiyo asingetoa ruhusa ukraine asingeeza thubutu?WAR IN UKRAINE
Pentagon gives Ukraine green light for drone strikes inside Russia
Pentagon gives Ukraine green light for drone strikes inside Russia
The Pentagon has given a tacit endorsement of Ukraine’s long-range attacks on targets inside Russia after President Putin’s multiple missile strikes against Kwww.thetimes.co.uk
Naona mnalialia kule amnesty eti"I USED TO HAVE HOME" we unaenda kushika mwanaume sharubu unategemea nini?Nakuona matron umekaa pembeni
Mume wenu katoa amri wewe ni nani wa kupinga.... anachanua chanua mapaja huenda akakonyezwa yeye!
Baada ya vifo vya askari wengi wa Urusi kutokea na hasara kubwa ya vifaa vya kijeshi tulitegemea kuona nguvu ya Mrusi.Mpaka hapa bado unategemea jipya toka kwa mrusi?Labda atumie nukes kama anavyojinadi🤔Ohoooo...... anayepambanisha yeye yuko magharibi ya mbali. Hapa ndio tutaiona rasmi nguvu ya Mrusi.
Baada ya vifo vya askari wengi wa Urusi kutokea na hasara kubwa ya vifaa vya kijeshi tulitegemea kuona nguvu ya Mrusi.Mpaka hapa bado unategemea jipya toka kwa mrusi?Labda atumie nukes kama anavyojinadi🤔Ohoooo...... anayepambanisha yeye yuko magharibi ya mbali. Hapa ndio tutaiona rasmi nguvu ya Mrusi.