Pentagon Yairuhusu Ukraine Kushambulia Kwa "DRONES "Ndani Ya Urusi!

Pentagon Yairuhusu Ukraine Kushambulia Kwa "DRONES "Ndani Ya Urusi!

Marekani yawapatia Ukraine mifumo ya ulinzi ya kudungua makombora na ndege za kivita[emoji848]
....View attachment 2442523
The United States has provided Ukraine with 'threat emitters' built to replicate surface-to-air missiles and aircraft, and are a cheap, innovative way to further complicate the air picture for russia
US wanaupiga mwingi.
 
Hakika USA ni hatari sana.

USA ana mikakati mikali ya kuidhoofisha Urus katika vita hii, hakurupuki.

Mwanzo wa vita alikuwa mzito wa kupeleka silaha Ukrain kwa sababu Urus alipiga mkwara mzito na inawezekana Urus alikuwa sirias kwa nchi itakayoisaidia Ukrain. Pia Urus alipiga mkwara wa kutumia Nyuklia.

Baada ya muda, USA akaanza kupeleka silaha Ukrain kwa kubip huku akisoma muitikio wa Urus.

USA akawa anaongeza idadi ya silaha kwa Ukrain huku vita ikizidi kuwa ngumu, lakini USA ikawa haitaki kuipa Ukrain silaha za kushambulia ndani ya Urus.

Wakati vita ikiendelea kuwa kali, USA ikawa inafanya mazungumzo na Urus juu ya kutumia silaha za nyuklia. Hatujui majadiliano yalikuwaje, ila inaonekana USA alimpiga mkwara Urus endapo angetumia silaha za Nyuklia, labda na yeye angeshambuliwa kwa silaha za nyuklia zilizopo Ulaya.

Baadae tukaona Putin anatamka mwenyewe kwamba, hawapo tayari kwa sasa kutumia silaha za nyuklia kwa Ukrain. Ni kipindi hiki ndipo tunaona Ukrain naye anashambulia hadi ndani ya Urus zaidi ya kilomita 600.

Suluhisho ni Putin kusitisha vita, mana akiendelea, Ukrain nayo itaanza kushambulia ndani ya Urus kwan amejihakikikishia Urus hawezi kutumia silaha za maangamizi kwani USA atajibu mashambulizi na ndiyo itakuwa mwisho wa Putin.

Ikumbukwe, kuna tetesi Urus ameishiwa baadhi ya silaha, na kwa sasa anasaidiwa na Iran.




Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Na endapo wakasitisha vita, hii itampa nafasi kubwa mno US kumzingira Russia, hiki ndicho wakihofiacho. Lakini ni bora wasitishe vita ili kujipanga namna gani ya kupambana na adui aliyepo mlangoni kuliko kuendeleza hii vita maana uchumi na ushawishi unashuka kwa kasi kubwa mno.
 
Kwahiyo Putin ndo mwenye haki ya kushambulia nchi nyingine ila yeye ni marufuku?

Vita havina macho hata yeye atashabuliwa tu kama alivyoshambuliwa juzi kwenye kambi zake za kijeshi ndani ya Urusi.

Ama kweli mkuki kwa nguruwe tu kwa binadamu mchungu.
Nna uhakika Ukraine ataendelea kupachapa sana Russia.
 
Wajaribu waone? Juzi drones za Ukraine zimeingia kilomita 600 ndani ya Urusi zikashambulia kambi muhimu za kijeshi za Urusi katika mji wa Saratov nakutoka salama kabisa.
Hii ilikuwa ni dharau nzito.
 
Na endapo wakasitisha vita, hii itampa nafasi kubwa mno US kumzingira Russia, hiki ndicho wakihofiacho. Lakini ni bora wasitishe vita ili kujipanga namna gani ya kupambana na adui aliyepo mlangoni kuliko kuendeleza hii vita maana uchumi na ushawishi unashuka kwa kasi kubwa mno.
ukiwa na nuke huguswi, wala huzingirwi

NK yule pale
 
Sasa hapa Putin huyu marekani anakujaribu anataka kuamsha waliolala, Putin toa hata nukes moja tuiangamize Ukraine, marekani ni nani hadi ampe jeuri dogo ZELE , me ni Mrusi wa Kondoa na mshabiki wako sana ila kiuhalisia marekani amekufatilia sana, nakushauri Putin mtafute marekani ulingoni kwa kupiga bom hata nchi moja ya NATO hapo marekani utampata na ndio sisi warusi wenzako wa Chato na Kilwa tutafurahua shoo utakayo toa kuiadhibu marekani.
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom