Pentagon Yairuhusu Ukraine Kushambulia Kwa "DRONES "Ndani Ya Urusi!

Patamu hapo.Russia na yeye amepata kazi ya kuziwinda drones na kuzidungua🤣
 
Safi sana. Kama Russia badala ya kupigana vita anaharibu miundombinu ni muhimu naye afanyiwe hivyo hivyo. Peleka drones za kutosha zenye akili.
Jana US katangaza fungu jingine la msaada kwenda Ukraine. Huyu mwamba hapoi, China anajipongeza mno kutoizingua Taiwan.
 
Safi sana. Kama Russia badala ya kupigana vita anaharibu miundombinu ni muhimu naye afanyiwe hivyo hivyo. Peleka drones za kutosha zenye akili.
.Kama Pentagon wanataka kuingiza drones Russia, basi watakuwa wamesaini hati ya kuanza kwa WWIII. Kwa kuwa Russia ata retaliate naye na washirika wake kutuma drones zake kushambulia USA
 
Mbona Russia keshachapwa sana na vifaa vya kimarekani kupoteza askari laki 1 lakini bado hatujaiona hiyo WW3?Kitu nilichogundua hawa madikteta wa kimashariki wana tambo za kiduanzi vitendo sifuri.Rejea tambo za Putin na Kiduku.Wamagharibi hawana show off za kiduanzi sijui magwaride ya kuonyesha zana za kijeshi,lakini ukizingua wanakupelekea moto mpaka unashangaašŸ¤”
 
Tuseme iko hivyo,Askari na vifaru vyote viko salama;Je,Malengo ya Urusi kuichukua Kyiv yamefikia wapi au ndio askari wake kukimbia maeneo ambayo walifanya annexation?
Usigeuze mada sasa
 
Mbona Russia keshachapwa sana na vifaa vya kimarekani kupoteza askari laki 1 lakini bado hatujaiona hiyo WW3?Kitu nilichogundua hawa madikteta wa kimashariki wana tambo za kiduanzi vitendo sifuri.Rejea tambo za Putin na Kiduku.Wamagharibi hawana show off za kiduanzi sijui magwaride ya kuonyesha zana za kijeshi,lakini ukizingua wanakupelekea moto mpaka unashangaašŸ¤”
Russia inapigana na NATO ambayo ni USA na washirika 28 or so. Unaweka idadi ya Warusi waliokufa weka na idadi ya NATO and allied forces waiokufa pia. USA iko overated sana
 
Mbona unaonekana msomi ila unajitoa ufahamu?

Lini umesikia serikali yoyote ya hayo mataifa tajwa yamepeleka wanajeshi wake Ukraine?

Kutaja idadi ya waliokufa ni jukumu la Urusi
 
Zitaje wewe basi hizo takwimu kwa vile unaonekana mbumbumbu lakini una akili.
 
Mbona unaonekana msomi ila unajitoa ufahamu?

Lini umesikia serikali yoyote ya hayo mataifa tajwa yamepeleka wanajeshi wake Ukraine?

Kutaja idadi ya waliokufa ni jukumu la Urusi
Mkuu ili mtu kuwa ProRussia lazima ajitoe ufahamu hata kama ana PhD
 
Ukraine huenda anaijua sana Russia kuliko hata Russia wenyewe wanavyofikiri.Putin alimtisha Zelensky ili akimbie nchi na nchi nyingine ikiwemo Marekani zikatishika na hata kutoa ndege ili Zelensky akimbie .
Alichokifanya Mwamba Zelensky ni kuwaambia hayo mataifa wampe silaha ila suala la kukimbia halipo.
Wote tumeshuhudia jinsi Zelensky anavyomtaabisha Putin.
Sasa hivi Putin na askari wake bila kuwasahau ProRussia ndio wanaotia hurumašŸ¤”
 
Back
Top Bottom